Upinzani waanza kupekua mafaili
ZIKIWA ni siku tatu tu tangu Waziri wa Ujenzi, Dk. John Magufuli, kutangazwa kuwa mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi(CCM), Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Profesa Abdalah Safari, amesema hofu yao ilikuwa kwa Bernard Membe (Waziri wa Mambo ya Nje) na si Magufuli.
Akizungumza na gazeti hili jana jijini hapa, Profesa Safari alisema hawakuwa na hofu na Magufuli kutokana na kuwa na makabrasha watakayotumia kupambana naye kutokana na utendaji...
Raia Tanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania19 Aug
CCM waanza kupitia mafaili ya wagombea urais
![Mwenyekiti wa Kamati Ndogo ya Udhibiti na Nidhamu ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Philip Mangula.](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/08/Philip-Mangula.jpg)
Mwenyekiti wa Kamati Ndogo ya Udhibiti na Nidhamu ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Philip Mangula.
NA MWANDISHI WETU, DODOMA
KAMATI Ndogo ya Udhibiti na Nidhamu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) chini ya Mwenyekiti wake Philip Mangula, imeanza vikao vyake mjini Dodoma kupitia taarifa za utekelezaji wa adhabu kwa makada sita wa chama hicho wanaodaiwa kuanza kampeni kuwania urais mwaka 2015 kabla ya wakati.
Chanzo cha kuaminika kutoka ndani ya CCM kiliiambia MTANZANIA kuwa kikao hicho kilianza jana...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/DbrwTSp7ycMiQgKPyCedwa*44ERGLabV8-YsikUnNIaMIm0L*1MG0liCYf0vRL8MreV08MK2lse3caBtEA0glAy442AgCGsh/mahaba.gif?width=650)
KUNA UMUHIMU WA KUPEKUA SIMU YA MPENZI WAKO
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Ov90wJC7zCyhSELz2U3IY-lgBcZm-EQWXPqIjYP9vTAlDpOAjn8JM*FmJ5IrzIW5Xy7p8tfCxX9ZfWgZpPdReGfiK6H-AAU3/xxlv.jpg)
KUNA UMUHIMU WA KUPEKUA SIMU YA MPENZI WAKO?-2