Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UPITIAJI RASIMU YA KATIBA YA CLUB YA SIMBA WAMALIZIKA

Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Michezo Bw. Leornad Thadeo akitoa ufafanuzi kwa Wanahabari hawapo pichani kuhusu Rasimu ya Katiba ya Timu ya Mpira wa Miguu ya Simba baada ya wanahabari kutaka kupata ufafanuzi juu ya hatma ya Katiba na uchaguzi wa Klabu hiyo.
Na: Genofeva Matemu
Serikali kupitia Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo imemaliza kupitia Rasimu ya Katiba ya Club ya Simba kwa ajili ya kuidhinisha katiba hiyo na kuifanya Club ya Simba kuendelea na taratibu za...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

Mkutano wa kuwanoa Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba na Wanamtandao wa Wanawake na Katiba na TAMWA wamalizika jijini Dar

Usu Mallya Mwanamtandao wa Ulingo wa Katiba na wanawake ambaye alikuwa ndiye mwezeshaji wa Mkutano huo ambao  ulikuwa ni wa siku mbili akiendelea kutoa mwongozo wa mkutano huo.

Doreen E. Maro kutoka TAMPRODA ambaye pia ni Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba akiwakilisha Wafugaji Akileta Mrejesho wa walichokuwa wakikijadili katika Kundi lao juu ya mapendekezo ya kuimarisha Masuala muhimu ya Rasimu ya Pili ya Katiba Mpya.

 

Dkt. Macca A. Mbalwa, Mkurugenzi wa Giyedo Tanzania akiwa anatoa...

 

10 years ago

Vijimambo

MKUTANO WA WADAU WA KUPOKEA MAONI JUU YA SERA YA TAIFA YA MAGEREZA WAMALIZIKA WILAYANI BAGAMOYO, KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA APONGEZWA KWA KUFANIKISHA RASIMU HIYO

  Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Bw.  Mbarak Abdulawakil akitoa hotuba ya Ufungaji wa Mkutano wa Wadau uliohusu upokeaji wa maoni ya Sera ya Taifa ya Magereza. Mkutano huo wa siku mbili umefanyikia katika Hoteli ya Livingstone Bagamoyo ambapo wadau wamepitia rasimu hiyo na kutoa maoni kikamilifu Novemba 05, 2014. Wadau wakifuatilia kwa makini hotuba ya ufungaji wa Mkutano wa Wadau uliohusu upokeaji wa maoni ya Sera ya Taifa ya Magereza Novemba 05, 2014 katika Hoteli ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Madaraka ya Bunge sasa, katika Rasimu ya Katiba Mpya na Katiba inayopendekezwa

Natambua kwamba bado tuna joto la sakata la “escrow” ambalo hata baada ya Mkuu wa Nchi Rais Jakaya Kikwete kulifafanua na hata kama hujui kusoma upepo kiasi gani utakuwa umegundua na utaungana nami kwamba bado wananchi wamegawika kabisa.

 

10 years ago

Michuzi

Bunge Maalum la Katiba laanza mijadala ya Rasimu ya Katiba rasmi leo

Na Benedict Liwenga, Maelezo-Dodoma
BUNGE Maalum la Katiba leo tarehe 9 Septemba, 2014 limeanza kazi yake ya kusoma na kujadili taarifa za Kamati mbalimbali zikiwemo Kamati namba Kumi na Mbili, Kamati namba Mbili, Kamati namba Moja, Kamati namba Nne, Kamati namba Nane, Kamati namba Tano, Kamati namba Tisa, Kamati namba Tatu, Kamati namba Sita pamoja na Kamati namba Kumi na Moja.
Baadhi ya mambo yaliyojadiliwa katika Bunge hilo ni pamoja suala la baadhi ya viongozi kumiliki akaunti zao za fedha...

 

10 years ago

GPL

MH. CHENGE AWASILISHA RASIMU YA KATIBA INAYOPENDEKEZWA KWA MWENYEKITI WA BUNGE MAALUM LA KATIBA

Mwenyekiti wa Kamati ya Uandishi ya Bunge Maalum la Katiba Mhe. Andrew Chenge (kulia) akimkabidhi Mwenyekiti wa Bunge hilo Mhe. Samuel Sitta (kushoto) Rasimu ya Katiba Inayopendekezwa wakati wa kikao cha Kamati ya Uongozi cha Bunge hilo. Kamati ya Uandishi imemaliza kazi ya kuandaa Rasimu hiyo na inatarajiwa kusomwa Bungeni siku ya kesho. Makabidhiano yakiendelea.… ...

 

10 years ago

Dewji Blog

Bunge Maalum la Katiba laendelea na mjadala wa Rasimu ya Katiba

PIX 1

Baadhi ya Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wakiingia ndani ya Bunge hilo leo 10 Septemba, 2014 kwa ajili ya kuendelea na mjadala wa Rasimu ya Katiba.

Na Benedict Liwenga, Maelezo-Dodoma.

BUNGE Maalum la Katiba leo tarehe 10 Septemba, 2014 limeendelea na kazi yake ya kusoma na kujadili taarifa za Kamati mbalimbali Bungeni mjini Dodoma.

Baadhi ya mambo yaliyojadiliwa katika Bunge hilo ni pamoja masuala ya migogoro ya ardhi inayowahusisha wafugaji na wakulima, mambo ya Uraia pacha, haki ya...

 

11 years ago

Michuzi

HARAKATI ZA BUNGE LA KATIBA: WANAWAKE NA RASIMU YA KATIBA MPYA

Je, rasimu ya Katiba mpya imeongeza nini na imepunguza nini katika kumkomboa mwanamke? Msikilize hapa Profesa Ruth Meena akizungumzia jinsi mwanamke alivyopewa kipaumbele katika rasimu hii na ameelezea kundi gani limezungumziwa na kuongezwa kwenye rasimu hii ambayo imesahau makundi kama watoto wa kike, wazee na kusahau wanaathirika vipi katika jamii yetu ya Tanzania. Pia, amegusia kuwa nchi hii ina rasilimali nyingi zinazoweza kumlinda mwanamke na vizazi vyake. 
 Tazama video hapa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani