Uraia katika Jamhuri ya muungano wa Tanzania kutoka katika Rasimu ya katiba inayopendekezwa
Uraia wa Jamhuri yaMuungano
65.-(1) Mtu ambaye, kabla ya Katiba hii kuanza kutumika, ni raia wa
Jamhuri ya Muungano ataendelea kuwa raia wa Jamhuri ya Muungano.
(2) Uraia wa Jamhuri ya Muungano ni wa aina mbili na utapatikana kwa
njia ya kuzaliwa au kuandikishwa.
Haki ya uraia 66. Kila raia ana haki ya kutambuliwa uraia wake na kwa
madhumuni haya, mamlaka ya nchi itaweka utaratibu wa sheria
utakaowezesha raia kupata hati ya kuzaliwa, kitambulisho cha uraia wake bila ya
upendeleo na ubaguzi wa aina...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi
MDAHALO WA KUJADILI UMUHIMU WA KUZINGATIA MAMBO YA MSINGI KATIKA KATIBA INAYOPENDEKEZWA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA UTAKAOFANYIKA KWENYE HOTELI YA BLUE PEARL, UBUNGO PLAZA DAR ES SALAAM JUMAPILI TAREHE 2 NOVEMBA 2014 KUANZIA SAA 9.00 MCHANA MPAKA

Lengo ni kutoa fursa kwa washiriki wa mdahalo na wananchi kwa ujumla kujielimisha kuhusu...
10 years ago
Mwananchi28 Dec
Madaraka ya Bunge sasa, katika Rasimu ya Katiba Mpya na Katiba inayopendekezwa
11 years ago
Dewji Blog05 Oct
TWPG wajivunia manufaa waliyopata wanawake katika Rasimu ya mwisho ya Katiba inayopendekezwa
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Angellah Kairuki akitoa mada wakati wa mkutano wa Umoja wa Wabunge Wanawake kuhusu maandiko ya kisera na manufaa waliyopata wanawake katika Rasimu ya mwisho ya Katiba inayopendekezwa uliofanyika mjini Dodoma 3 Oktoba, 2014.
Na Benedict Liwenga, Maelezo-Dodoma.
UMOJA wa Wabunge Wanawake Tanzania (TWPG) wamejipongeza kwa hatua kubwa waliyofikia na manufaa waliyoyapata wanawake katika Rasimu ya mwisho ya Katiba inayopendekezwa.
Kauli hiyo imetolewa jana...
10 years ago
Michuzi
11 years ago
GPL
10 years ago
Michuzi
MAKAMU WA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA AIWAKILISHA TANZANIA KATIKA UZINDUZI WA MFEREJI MPYA WA SUEZ

MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal jana ameiwakilisha Tanzania katika uzinduzi wa mfereji mpya wa Suez ...
9 years ago
Michuzi
HOTUBA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHESHIMIWA JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI, AKIFUNGUA RASMI BUNGE JIPYA LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, DODOMA, 20 NOVEMBA 2015

Niko hapa leo kutimiza matakwa ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ibara ya 91 Ibara ndogo ya kwanza inayonitaka kulihutubia na kulifungua rasmi Bunge hili. Naomba nimshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutujalia uzima na afya njema, na kutuwezesha kuwepo hapa siku ya leo. Aidha nitumie fursa hii kuwakumbuka wenzetu ambao, kwa namna na nafasi mbalimbali, walishiriki katika mchakato wa uchaguzi huu na kwa bahati mbaya walipoteza maisha yao kabla ya mchakato haujakamilika. Kwa...
10 years ago
Michuzi.jpg)
HOTUBA YA MHESHIMIWA MIZENGO P. PINDA (MB), WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, WAKATI WA KUHITIMISHA SHUGHULI ZA MKUTANO WA 16 NA 17 WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA TAREHE 29 NOVEMBA, 2014
Mheshimiwa Spika,1. Leo tunahitimisha shughuli za Mkutano wa Kumi na Sita na Kumi na Saba wa Bunge lako Tukufu. Ni jambo la kumshukuru Mwenyezi Mungu mwenye wingi wa Rehema kwa kutufikisha salama siku ya leo.
Mheshimiwa Spika,2. Mkutano huu ulijumuisha kujadili kazi kubwa zifuatazo:
Kwanza: Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa Mwaka 2015/2016;
Pili:Muswada wa Sheria ya Usimamizi wa Kodi wa Mwaka 2014 [The Tax Administration...
11 years ago
MichuziMshauri wa Masuala ya Ulinzi wa Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Comoro afanya ziara ya kikazi katika visiwa vya Comoro