Usain Bolt kuzuru Tanzania
 Mwanariadha nyota na bingwa wa dunia wa mita 100, Usain Bolt  kutoka Jamaica amealikwa kushiriki mbio za kimataifa za FBI zitakazofanyika kwa mara ya kwanza nchini.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili03 Aug
Usain Bolt aisaidia Jamaica kuwika
Bingwa wa michezo ya olimpiki Usain Bolt ameiongoza Jamaica kupata ushindi.
11 years ago
BBCSwahili08 May
Usain Bolt asaka viatu vyake
Viatu hivyo vya rangi ya chungwa chapa ya Puma , vinagharimu pauni za Uingereza elfu ishirini.
9 years ago
BBCSwahili27 Aug
Usain Bolt bingwa wa dunia wa mita 200
Usain Bolt ameshinda medali ya pili ya dhahabu katika mashindano ya riadha ya dunia yanayoendelea baada ya kushinda mbio za 200m
9 years ago
TheCitizen31 Aug
Usain Bolt strikes again as Mo Farah and Eaton shine
Farah became the first man to win back-to-back world distance doubles
10 years ago
Mwananchi22 Jun
Rekodi ya Usain Bolt ilivyonuswa Umisseta Taifa 2015
Usain Bolt ni mkimbiaji wa mbio fupi kutoka Jamaica, kwa sasa ndiye mkimbiza upepo wa hali ya juu duniani katika mbio hizo kutokana na kasi yake ya ajabu.
11 years ago
BBCSwahili02 Aug
Bolt aisaidia Jamaica kufuzu
Bingwa wa mbio za mita 100 duniani Usain Bolt amelisadia taifa lake la Jamaica kufuzu.
10 years ago
BBCSwahili02 May
Bolt kushindana na Gutlin wa Marekani
Usain Bolt hana tatizo la kushindana dhidi ya Justin Gatlin kwa kuwa anahisi kwamba marufuku ya miaka minne aliyopewa ilikuwa ya haki.
10 years ago
BBCSwahili14 Jan
Siri ya kasi ya Bolt yafichuliwa
Wanasayansi wanasema kwamba wanaweza kueleza kasi ya mwanariadha maarufu sana duniani Usain Bolt inatokana na nini kwa kutumia hisabati au hesabu.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania