Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


USIKU WA JAKAYA SEPTEMBA 19, 2014 WASHINGTON DC

 

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

WADAU WALIVYOTOKELEZEA USIKU WA JAKAYA, WASHINGTON, DC

Wadau mbalimbali wakiwa katika picha kwenye usiku wa Jakaya uliofanyika Washington DC.Wadau katika picha ya pamoja.Balozi Karume akiwa na wadau toka Californiakwa picha zaidi bofya soma zaidi

























 

10 years ago

Vijimambo

AUNTY EZEKIEL NDANI YA USIKU WA JAKAYA WASHINGTON, DC

Aunty Ezekiel katika picha ya pamoja na mkuu wa wilaya Springfield Alhaji Isaaac Kibodya pamoja na mama mwenye nyumba wake.Aunty Ezekiel katika picha ya pamoja na kutoka kushoto Aunty Ashura, Iman Nkuwi, Asha Hariz na Asha Nyang'anyi.Aunty Ezekiel katika picha ya pamoja na Seif Ameir na mama mwenye nyumba wake.Aunty Ezekiel katika picha ya pamoja na wadau kutoka kushoto Salma, Missy Temeke na aliyekua Miss Tanga kutoka Houston, Texas.Kwa picha zaidi za Aunty na Wadau bofya soma zaidi

 

10 years ago

Vijimambo

ZAWADI NA UKODAK MOMENT NA JK, USIKU WA JAKAYA WASHINGTON DC

Rais Dkt Jakaya Kikwete akiwa na mwenyekiti wa CCM DMV Ndg. George Sebo wakipokea zawadi mbalimbali kutoka kwa jumuiya mbalimbali yakiwemo matawi ya CCM nchini MarekaniZawadi toka kwa MayorZawadi toka Jumuiy ya Watanzania California.Jumuiya ya Watanzania California katika picha ya pamoja na Mhe. Rais Dkt Jakaya Kiwete na Mkewe Salma Kikwete.kwa picha zaidi bofya soma zaidi
Zawadi toka CCM OhioCCM Ohio katika picha ya pamoja na Mhe.Rais Dkt Jakaya Kiwete na Mkewe Salma Kikwete.Zawadi toka CCM...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AHUDHURIA HAFLA YA KUMPONGEZA KWA UONGOZI MZURI YA USIKU WA JAKAYA JIJINI WASHINGTON DC

Rais Jakaya Kikwete akiwa na mtoto wa miaka minane aliejitambulisha kwa jina la Brian ambaye alitoa burudani ya kupiga kinanda wakati wa wimbo wa Taifa na nyimbo nyinginezo katika hafla ya USIKU WA JAKAYA uliofanyika usiku wa kuamkia leo katika hoteli ya JW Mariott jijini WashingtonRais Jakaya Kikwete akiongea na Dkt Seche Malecela baada ya kupokea risala ya pongezi kwa uongozi wake nchini Tanzania  katika hafla ya USIKU WA JAKAYA uliofanyika usiku wa kuamkia leo katika hoteli ya JW Mariott...

 

10 years ago

Vijimambo

USIKU WA JAKAYA WASHINGON DC

Katibu wa CCM DMV Jessica Mushala akisherehesha USIKU WA JAKAYADr. Seche Malecela akisoma lisalaMwenyekiti wa CCM DMV Ndg. George Sebo akionea machache na kumshukuru Rais Jakaya Kikwete na mkewe mama Salma Kikwete kwa kukubali mwaliko wao wa USIKU WA JAKAYABalozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula akionge machache.Rais  Dkt Jakaya Kikwete akiongea na Watanzania wa Marekani kwenye USIKU WA JAKAYA alipoaanza na historia ya kwanini aliamua kuwania Urais na sababu alizotoa ilikua...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani