WADAU WALIVYOTOKELEZEA USIKU WA JAKAYA, WASHINGTON, DC
Wadau mbalimbali wakiwa katika picha kwenye usiku wa Jakaya uliofanyika Washington DC.Wadau katika picha ya pamoja.Balozi Karume akiwa na wadau toka Californiakwa picha zaidi bofya soma zaidi
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo10 years ago
Michuzi10 years ago
Michuzi10 years ago
VijimamboZAWADI NA UKODAK MOMENT NA JK, USIKU WA JAKAYA WASHINGTON DC
Rais Dkt Jakaya Kikwete akiwa na mwenyekiti wa CCM DMV Ndg. George Sebo wakipokea zawadi mbalimbali kutoka kwa jumuiya mbalimbali yakiwemo matawi ya CCM nchini MarekaniZawadi toka kwa MayorZawadi toka Jumuiy ya Watanzania California.Jumuiya ya Watanzania California katika picha ya pamoja na Mhe. Rais Dkt Jakaya Kiwete na Mkewe Salma Kikwete.kwa picha zaidi bofya soma zaidi
Zawadi toka CCM OhioCCM Ohio katika picha ya pamoja na Mhe.Rais Dkt Jakaya Kiwete na Mkewe Salma Kikwete.Zawadi toka CCM...
Zawadi toka CCM OhioCCM Ohio katika picha ya pamoja na Mhe.Rais Dkt Jakaya Kiwete na Mkewe Salma Kikwete.Zawadi toka CCM...
10 years ago
Vijimambo22 Sep
AUNTY EZEKIEL NDANI YA USIKU WA JAKAYA WASHINGTON, DC
Aunty Ezekiel katika picha ya pamoja na mkuu wa wilaya Springfield Alhaji Isaaac Kibodya pamoja na mama mwenye nyumba wake.Aunty Ezekiel katika picha ya pamoja na kutoka kushoto Aunty Ashura, Iman Nkuwi, Asha Hariz na Asha Nyang'anyi.Aunty Ezekiel katika picha ya pamoja na Seif Ameir na mama mwenye nyumba wake.Aunty Ezekiel katika picha ya pamoja na wadau kutoka kushoto Salma, Missy Temeke na aliyekua Miss Tanga kutoka Houston, Texas.Kwa picha zaidi za Aunty na Wadau bofya soma zaidi
10 years ago
Vijimambo10 years ago
MichuziRAIS KIKWETE AHUDHURIA HAFLA YA KUMPONGEZA KWA UONGOZI MZURI YA USIKU WA JAKAYA JIJINI WASHINGTON DC
Rais Jakaya Kikwete akiwa na mtoto wa miaka minane aliejitambulisha kwa jina la Brian ambaye alitoa burudani ya kupiga kinanda wakati wa wimbo wa Taifa na nyimbo nyinginezo katika hafla ya USIKU WA JAKAYA uliofanyika usiku wa kuamkia leo katika hoteli ya JW Mariott jijini WashingtonRais Jakaya Kikwete akiongea na Dkt Seche Malecela baada ya kupokea risala ya pongezi kwa uongozi wake nchini Tanzania katika hafla ya USIKU WA JAKAYA uliofanyika usiku wa kuamkia leo katika hoteli ya JW Mariott...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania