Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


USIKU WA ‘AMERUDI’ WAPAGAWISHA NA MALAIKA BENDI DAR LIVE

Bella akicheza na waimbaji wake. Mashabiki waliofurika ndani ya ukumbi huo wakiserebuka. Christian Bella akiimba wimbo wa ‘Nani Kama Mama’. Bella akiwahamasisha mashabiki kucheza huku akiwa na taulo mkononi. Waimbaji wa bendi ya Malaika wakiimba na kuserebuka. Mwimbaji Msagasumu akiwapadisha mzuka mashabiki.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Video: Christiani Bella & Malaika Music Band – Amerudi

Christiani Bella na Malaika Music Band wameachia video mpya wimbo unaitwa “Amerudi” video imeongozwa na Khalfani Khalmandro Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

9 years ago

Michuzi

CHRISTIAN BELLA, KADJANITO, MSAGA SUMU WAPAGAWISHA DAR LIVE

9Bella akicheza na waimbaji wake.5Mashabiki waliofurika ndani ya ukumbi huo wakiserebuka.6Christian Bella akiimba wimbo wa ‘Nani Kama Mama’.

KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

 

9 years ago

GPL

MASAI WARRIORS WAPAGAWISHA WATOTO SIKUKUU YA IDD DAR LIVE

Mmoja wa wanakikundi cha Masai Warriors akionesha ujanja wake wa kuendeha baiskeli ya tairi moja. Watoto wakimshangaa mtaalam huyo wa kutembelea baiskeli ya tairi moja. Masai Warriors wakionesha madoido kwa watoto. Msanii akionesha ujanja wa kukunja viungo. Watoto wakizidi kufurahia burudani. Mchezea baiskeli akiendelea na ujanja wake. Maonyesha yakiendelea. WAUMINI wa dini ya Kiislam nchini kote jana waliungana na waumini...

 

11 years ago

GPL

10 years ago

GPL

MALAIKA BAND WAFUNGUA PAZIA LA BURUDANI VALENTINE DAY, DAR LIVE

Waimbaji wa Malaika Band wakifanya makamuzi jukwaani. Umati wa mashabiki wa burudani wakicheza sambamba na bendi ya Malaika Music katika Usiku wa…

 

10 years ago

Vijimambo

Mwimbaji Wa Bendi Ya Malaika Band Afariki

Bendi ya muziki ya Malaika, imepata pigo kubwa baada ya kuondokewa na moja ya wanamuziki wake anayefahamika kwa jina Adaya, ambaye amepoteza maisha siku ya jana jijini Dar es Salaam baada ya kuugua malaria.Akiongea na eNewz kuhusiana na tukio hili, Kiongozi wa Bendi ya Malaika, ambaye amerejea Dar akitokea Morogoro leo Christian Bella, amesema kuwa anasikitika kwa msiba huu na siku ya leo wanatarajia kukutana kwa ajili yakuweka mipango ya msiba, na hapa anaeleza.CREDIT:THECHOICE

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani