Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwimbaji Wa Bendi Ya Malaika Band Afariki

Bendi ya muziki ya Malaika, imepata pigo kubwa baada ya kuondokewa na moja ya wanamuziki wake anayefahamika kwa jina Adaya, ambaye amepoteza maisha siku ya jana jijini Dar es Salaam baada ya kuugua malaria.Akiongea na eNewz kuhusiana na tukio hili, Kiongozi wa Bendi ya Malaika, ambaye amerejea Dar akitokea Morogoro leo Christian Bella, amesema kuwa anasikitika kwa msiba huu na siku ya leo wanatarajia kukutana kwa ajili yakuweka mipango ya msiba, na hapa anaeleza.CREDIT:THECHOICE

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

christian bella na bendi yake ya malaika wateka mji wa tabora

 Mpiga kinanda na stage manager wa Malaika Band akiwa kazini usiku wa kuamkia leo katika ukumbi wa Bwalo la Maafisa wa Polisi mjini Tabora wakati bendi hiyo inayokuja juu kwa kasi chini ya uongozi wa mtunzi na mwimbaji mahiri na mtunzi bora wa mwaka wa Kili Music Awards Christian Bella ilipotumbuiza mamia ya wapenzi wao katika ukumbi huo mkongwe  Safu ya ushambuliaji ya Malaika band wakiwa jukwaani  Mandhari ya ukumbi  Wanenguaji wa Malaika band wakiwajibika Kiongozi, mtunzi na...

 

9 years ago

GPL

USIKU WA ‘AMERUDI’ WAPAGAWISHA NA MALAIKA BENDI DAR LIVE

Bella akicheza na waimbaji wake. Mashabiki waliofurika ndani ya ukumbi huo wakiserebuka. Christian Bella akiimba wimbo wa ‘Nani Kama Mama’. Bella akiwahamasisha mashabiki kucheza huku akiwa na taulo mkononi. Waimbaji wa bendi ya Malaika wakiimba na kuserebuka. Mwimbaji Msagasumu akiwapadisha mzuka mashabiki.…

 

11 years ago

BBCSwahili

Ballo mwimbaji taarab afariki dunia

Mwimbaji maarufu wa taarabu nchini Kenya Muhammad Khamis Bhallo amefariki dunia katika mji wa Mombasa nchini humo .

 

11 years ago

GPL

MWIMBAJI AMINA NGALUMA AFARIKI DUNIA

Amina Ngaluma 'Japanese' enzi za uhai wake. MWIMBAJI nyota wa zamani wa bendi mbalimbali nchini ikiwamo Double M Sound, African Revolution 'Wana Tamtam', Amina Ngaluma 'Japanese' amefariki dunia akiwa nchini Thailand baada ya kupatwa na uvimbe kichwani. Mpaka mauti yanamfika, Amina alikuwa mwanamuziki wa bendi ya Jambo Survivors. Msiba upo Kipunguni B, Machimbo jijini Dar es Salaam. MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU AMINA MAHALI...

 

9 years ago

Bongo5

Video: Christiani Bella & Malaika Music Band – Amerudi

Christiani Bella na Malaika Music Band wameachia video mpya wimbo unaitwa “Amerudi” video imeongozwa na Khalfani Khalmandro Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

10 years ago

GPL

MALAIKA BAND WAFUNGUA PAZIA LA BURUDANI VALENTINE DAY, DAR LIVE

Waimbaji wa Malaika Band wakifanya makamuzi jukwaani. Umati wa mashabiki wa burudani wakicheza sambamba na bendi ya Malaika Music katika Usiku wa…

 

11 years ago

GPL

KIONGOZI WA BENDI YA THE NGOMA AFRICA BAND YA UJERUMANI AKUTANA NA ANKAL, JIJINI DAR


Ankal akimkabidhi zawadi ya Krismasi  na kadi Kamanda wa FFU Ughaibuni The Ngoma Africa Band ya Ujeruman, Ras Ephraim Makunja, a.k.a Field Marshal wa jamii ya Annunaki walipokutana leo katikati ya jiji la Dar es salaam na kufanya mazungumzo ya faragha ya saa moja katika kiota cha Break Point cha mjini.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani