Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UTI: Ugonjwa hatari unaoweza kuharibu figo, kibofu cha mkojo

Peter Elias,  Mwananchi

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Hatari ya saratani ya kibofu cha mkojo

>Si jambo geni kwa watu wanaoishi maeneo ya Kanda ya Ziwa kuwa na tatizo la kukojoa damu. Wataalamu wa afya wanaeleza hali hiyo kuwa inatokana na maambukizi ya ugonjwa wa kichocho.

 

9 years ago

Vijimambo

halassaemia — UGONJWA WA DAMU HATARI UNAOWEZA KURITHIWA


Na Mwandishi Wetu, 
Ibrahim (jina limebadilishwa) alizaliwa nchini Tanzania na alipokuwa na umri wa miezi 9 tu alionekana anang’aa na hakuwa na uwezo wa kula na kukua vizuri kama watoto wengine wa umri wake. Alikuwa na maambukizi ya mara kwa mara na vipimo vya damu vilionyesha upungufu mkubwa wa damu na kiwango cha ukosefu wa damu kwa gm 3.5! Ibrahim alikuwa akiishi na chini ya robo ya kiwango cha oksijeni kinachohitajika kwenye damu na alihitaji haraka kuongezewa damu ili kuokoa...

 

9 years ago

Michuzi

Thalassaemia — UGONJWA WA DAMU HATARI UNAOWEZA KURITHIWA


Na Mwandishi Wetu, Ibrahim (jina limebadilishwa) alizaliwa nchini Tanzania na alipokuwa na umri wa miezi 9 tu alionekana anang’aa na hakuwa na uwezo wa kula na kukua vizuri kama watoto wengine wa umri wake. Alikuwa na maambukizi ya mara kwa mara na vipimo vya damu vilionyesha upungufu mkubwa wa damu na kiwango cha ukosefu wa damu kwa gm 3.5! Ibrahim alikuwa akiishi na chini ya robo ya kiwango cha oksijeni kinachohitajika kwenye damu na alihitaji haraka kuongezewa damu ili kuokoa...

 

9 years ago

GPL

MAAMBUKIZI KATIKA NJIA YA MKOJO (UTI)

Leo tutazungumzia tatizo la maambukizi katika njia ya mkojo Urinary Tract Infection (UTI) ugonjwa ambao unawasumbua sana wanawake wengi na watoto japokuwa hata wanaume huugua. Maambukizi katika njia ya mkojo au kama unavyojulikana kwa wengi UTI huathiri mfumo wa mkojo ikiwa ni pamoja na Ureter ambayo ni kama bomba linalosafirisha mkojo kutoka kwenye figo, pia kibofu cha mkojo na mrija wa kutolea mkojo nje yaani Urethra. Ugonjwa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

UTI (Maambukizi katika njia ya mkojo)

UTI ni kirefu cha neno Urinary Track Infection au kwa Kiswahili tunasema ni maambukizi katika njia ya mkojo. Ni ugonjwa unaosababishwa zaidi na bakteria ambao wanapatikana ndani ya sehemu za...

 

9 years ago

GPL

MAAMBUKIZI KATIKA NJIA YA MKOJO (UTI)-2

Tunaendelea kuchambua maambukizi katika njia ya mkojo au UTI. UTI KWA WANAWAKE
Upungufu wa homoni ya wanawake iitwayo Oestrogen husababisha bakteria wanaosababisha maambukizi katika njia ya mkojo kuzaliana kirahisi. Pia matumizi ya baadhi ya dawa kwa muda mrefu, unywaji wa vinywaji vyenye sukari kwa muda mrefu na kutokunywa maji ya kutosha pia huchangia tatizo hili. Uwepo wa mawe katika figo na mirija ya figo pia ni mojawapo ya...

 

11 years ago

Mwananchi

UTI: Maambukizi ya njia ya mkojo yanayoathiri mamia ya wanawake nchini

>Katika magonjwa yanayosumbua wanawake wengi na watoto nchini hivi sasa ni ugonjwa unaoathiri njia ya mkojo U.T.I (Urinary Tract Infection).

 

10 years ago

Dewji Blog

Suluhu kwa wagonjwa wa Figo na mfumo wa mkojo yapatikana

logo_o_bnr

Watanzania  kunufaika na kile ambacho wachambuzi huona kama nafasi adimu katika sekta ya afya. Hii ni kwasababu nchi inatarajia kupokea wataalamu wawili kutoka taasisi mashuhuri ya matibabu duniani. Kwa kushirikiana na madaktari kutoka hosipitali ya Hindu Mandal. Madaktari kutoka hospitali ya Apollo watahudumia  na kutoa ushauri kwa wagonjwa wa figo na mfumo wa mkojo siku ya Oktoba 10 na Oktoba 11 katika Hospitali ya Hindu Mandal Dar es Salaam.

Watanzania wengi  wenye maradhi hayo hushindwa...

 

10 years ago

GPL

UGONJWA KWENYE KIBOFU KWA WANAWAKE

Kwa wanawake tatizo lao kubwa la sehemu za kibofu ni ‘Fibroid’ ambao ni uvimbe katika sehemu za uzazi (uterus) ambapo hutengenezwa na kambakamba zilizofungamana (muscle fibre). ‘Fibroid’ huanza kwa ukubwa kama punje ya njugu mawe lakini huweza kukua na kuwa kama boga.
 Huwapata kwa asilimia tano wanawake wenye umri kati ya miaka 20 hadi 30, asilimia karibu 20 kwa wenye umri kati ya miaka 30 hadi 40,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani