Utouh: Za EPA zilirudi, za Escrow zirudi
MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) mstaafu, Ludovick Utouh, amesema serikali inatakiwa kuhakikisha fedha zake zilizokuwepo kwenye akaunti ya Tegeta Escrow zinarudi kama ilivyokuwa kwa zile za EPA.
Katika mahojiano yake na Raia Mwema yaliyofanyika jijini Dar es Salaam wiki hii, Utouh alisema kama angepewa fursa ya kumshauri Rais Jakaya Kikwete kuhusu nini cha kufanya na suala la Escrow bila shaka angemwambia ahakikishe anapata kwanza fedha zilizopotea.
“Kwanza niseme kwamba...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
TheCitizen18 Sep
EPA, Jairo’s fundraiser gave Utouh sleepless nights
10 years ago
TheCitizen18 Sep
Utouh reveals how EPA, Jairo took heavy toll on him as CAG
10 years ago
KwanzaJamii17 Sep
KAFULILA AMVAA TENA CAG UTOUH KUHUSU RIPOTI AKAUNTI YA ESCROW
10 years ago
TheCitizen07 Dec
Spare me the details on EPA, Richmond and Escrow!
10 years ago
TheCitizen06 Jul
Slaa: Recover escrow, Epa money now
10 years ago
Habarileo23 Dec
Utouh awalipua wabunge
ALIYEKUWA Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Ludovick Utouh amesema baadhi ya wabunge hawazijui sheria walizozitunga na hivyo kujikuta wakitoa maamuzi ambayo hupingana na sheria hizo.
10 years ago
TheCitizen10 Jan
Ending graft: It’s now or never, says Utouh
10 years ago
Habarileo20 Sep
CAG Utouh astaafu
ALIYEKUWA Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Ludovick Utouh ameagwa rasmi baada ya kustaafu wadhifa huo alioutumikia kwa miaka minane huku akilishukuru Bunge kwa kumpa ushirikiano wakati wa utumishi wake.
10 years ago
IPPmedia20 Sep
Who will replace Utouh, the CAG?
Who will replace Utouh, the CAG?
IPPmedia
A Buzz has started in Dar es Salaam on who is likely to take over as Controller and Auditor General as the current CAG Ludovick Utouh prepares to leave office. The CAG's Office is one of the most high profile public functions, where personal style matters ...