Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UTT-AMIS YAFANYA MKUTANO WA TATU WA WAWEKEZAJI

 Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Uwekezaji Nchini (UTT-AMIS), Joseph Kuzilwa akizungumza wakati wa Mkutano Maalum wa Tatu wa Wawekezaji uliofanyika jijini Dar es Salaam. Mkurugenzi Mtendaji wa UTT-AMIS, HamisKibola, akizungumza wakati wa Mkutano Maalum wa Tatu wa Wawekezaji.
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

UTT-PID yashiriki mkutano wa mwaka wa Wanahisa wa UTT-AMIS jijini Dar es Salaam!

1 (1)

Maafisa masoko wa UTT-PID, Laurence Nzuki  (kushoto) na  Martin Mchanjila (katikati) wakitoa maelezo kwa baadhi ya watu waliotembelea kwenye banda hilo la UTT-PID wakati wa mkutano huo wa mwaka wa Wanahisa wa UTT-AMIS uliofanyika mwishoni mwa wiki, Novemba 21-22.2015, Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam.

Na Andrew Chale, Modewjiblog

Taasisi ya Miradi na Maendeleo ya Miundombinu iliyochini ya Wizara ya Fedha (UTT-PID)  inafanya miradi mbalimbali ikiwemo  huduma za uuzwaji wa viwanja katika...

 

10 years ago

Michuzi

UTT AMIS YATOA ELIMU YA MIFUKO YA UWEKEZAJI WA PAMOJA KWA WASHIRIKI WA MKUTANO MKUU WA 31 WA ALAT

Mifuko ya uwekezaji wa pamoja ni fursa mbadala inayowezasha watu, vikundi,taasisi na kampuni sawa na mahitaji yao kuwekeza pesa zao kwa meneja wa mfuko (UTT AMIS) kisha meneja huwekeza fedha hizo katika masoko ya fedha na masoko ya mitaji kulingana na waraka wa makubaliono. Faida ipatikanayo hugawanywa kwa wawekezaji kulingana na uwiano wa uwekezaji waliofanya katika mfuko husika.


Mifuko hii huwawezesha wawekezaji kuweka akiba na kuwekeza fedha zao na zikakua zaidi.Hatimaye huwawezesha...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Uwekezaji UTT AMIS na faida zake

WATANZANIA wengi wamepata mwamko wa kuwekeza fedha zao katika biashara mbalimbali lengo likiwa ni kujiongezea kipato na pia kuiongezea thamani fedha yao katika mzunguko. Katika makala haya, Mwandishi Wetu amefanya...

 

9 years ago

Michuzi

UTT AMIS YAHAMASISHA WANAVIKOBA ARUSHA KUWEKEZA

Mratibu wa Alliance For Social Education (ASE), Sunayritha Tawata akimkaribisha Mkurugenzi wa Masoko na Uhusiano wa UTT AMIS, Daudi Mbaga (kushoto) katika semina ya Uwekezaji wa Pamoja iliyofanyika jijini Arusha.Mkurugenzi wa Masoko na Uhusiano wa UTT AMIS, Daudi Mbaga akizungumza katika semina ya uwekezaji wa Pamoja uliofanyika jijini Arusha.Baadhi ya washiriki wa semina ya Uwekezaji wa Pamoja wakisikiliza mada.Ofisa Masoko Mkufunzi wa UTT AMIS, Waziri Ramadhan akitoa mada katika semina ya...

 

9 years ago

Michuzi

UTT AMIS YATOA ELIMU YA UWEKEZAJI WA PAMOJA-MBEYA

Ofisa Masoko na Uhusiano Mwandamizi wa UTT AMIS, Martha Mashiku akitoa elimu ya uwekezaji wa pamoja kwa wafanyakazi wa hospitali ya rufaa ya Mbeya. Mkurugenzi wa Masoko Mwandamizi wa UTT AMIS, Daud Mbaga akitoa darasa la uwekezaji wa pamoja kwa wajasiriamali Mbeya mjini.Mkurugenzi wa Masoko Mwandamizi wa UTT AMIS, Daud Mbaga akitoa darasa la uwekezaji wa pamoja kwa wajasiriamali Mbeya mjini.
 Mkurugenzi wa Masoko Mwandamizi wa UTT AMIS, Daud Mbaga akitoa darasa la uwekezaji wa pamoja kwa...

 

10 years ago

Michuzi

UTT AMIS ILIVYOSHIRIKI MAONYESHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA 2015

Ofisa Mafunzo Idara ya Masoko UTT AMIS, Waziri Ramadhani (kulia) akitoa maelezo ya namna ya kujiunga na Mfuko wa Umoja wakati wa maonyesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayoendelea katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Ofisa Mafunzo Idara ya Masoko UTT AMIS, Waziri Ramadhani (kulia) akitoa maelezo ya namna ya kujiunga na Mfuko wa Umoja wakati wa maonyesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayoendelea katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam. Kulia ni Ofisa wa Mafunzo wa...

 

10 years ago

Michuzi

UTT-AMIS YATOA ELIMU YA MIFUKO YA UWEKEZAJI WA PAMOJA KWA MADAKTARI

Mkurugenzi wa Masoko na Uhusiano wa UTT AMIS, Daudi Mbaga akitoa mada kuhusu Mifuko ya Uwekezaji wa Pamoja UTT-AMIS  katika mkutano Mkuu wa 47 wa Chama cha Madaktari Tanzania (MAT) uliofanyika katika Ukumbi wa Pius Msekwa mjini  Dodoma hivi karibuni. Mkutano huo ulidhaminiwa na UTT-AMISWashiriki wa semina hiyo.

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

10 years ago

Michuzi

MIFUKO YA UWEKEZAJI WA PAMOJA INAYOENDESHWA NA UTT AMIS YAPATA FAIDA KUBWA

Afisa Mwendeshaji Mkuu wa UTT AMIS Bw.Simon Migangala akiongea na waandishi wa habari jana Dar es salaam kuhusiana na ufanisi wa mifuko kwa kipindi cha miezi sita iliyopita.
UTT AMIS ndiyo waendeshaji na waanzilishi wa mifuko ya uwekezaji wa pamoja nchini.Mpaka sasa wanaendesha mifuko mitano ya uwekezaji ambayo ni Mfuko wa Umoja, Mfuko wa wekeza Maisha,Mfuko wa Watoto, Mfuko wa Kujikimu na Mfuko wa Ukwasi yenye zaidi ya shilingi bilioni 227.
Bwana Migangala aliwaambia waandishi wa...

 

10 years ago

Michuzi

UTT-AMIS YATOA ELIMU YA UWEKEZAJI KWENYE MASOKO YA FEDHA KWA WABUNGE

 Ofisa Masoko wa Kampuni ya UTT, Bi. Kilave (kulia) akiwa na Ofisa Mkuu wa Kampuni ya Maendeleo ya Miundombinu ya UTT-PID, Shakiru Abdulkarim wakitoa elimu ya Uwekezaji kwenye Masoko ya Fedha kwa Wabunge na Watumishi wa ofisi ya Bunge wakati wa maonyesho ya kazi zinazofanywa na makampuni ya UTT na kufanyika katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma. Maofisa Mafunzo kutoka UTT-Microfinance, Hilda Lyimo na Pauline, wakitoa maelezo kwa baadhi ya wabunge waliotembelea banda lao kuhusu Mikopo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani