UZINDUZI VIDEO YA MH.TEMBA, CHEGE NA MADEE
Mh. Temba pamoja na Chege wakionesha manjonjo stejini. Madee akiwa na wacheza shoo wake kwenye hafla hiyo wakitoa burudani.…
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL17 Feb
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/5_1FaHLPRGE/default.jpg)
11 years ago
Dewji Blog06 Jun
VIDEO ya Haina Noma — Julio Batalia Ft Chege na Madee hii hapa
Hatimaye Video ya Haina Noma Ya – Julio Batalia ambaye alikuwa mshiriki wa shindano la BIGBROTHER AFRICA SEASON 7 (StarGame) mwaka 2012 imeshakwisha na video hiyo imekabidhiwa rasmi na director mkubwa wa kampuni ya NEXTLEVEL -Adam Juma (AJ) Akiwa na camera yenye vigezo vikubwa duniani REDCAMERA.
Video hii ambayo wameshirikishwa wasanii wakubwa wawili CHEGE CHIGUNDA kutoka TMK wanaume family na Madee ali Raisi wa Manzese kutoka TIPTOP Connection imeandaliwa katika location ya CLUB 601,...
11 years ago
MichuziTASWIRA MBALI MBALI WAKATI WA KUREKODI VIDEO MPYA YA CHEGE NA TEMBA KUTOKA TMK WANAUME
Wasanii wa Muziki wa Kizazi kipya kutoka TMK Wanaume Family,Temba na Chege wakiwa ndani ya ndege wakati wakiendelea Kurekodi Video yao mpya ambayo itatoka hivi karibuni.
Sehemu ya Wadau wa Muziki wanaoshiriki kwenye video hiyo ni pamoja na Julio,Madee na Jokate kama wanavyoonekana pichani hapa.
BOFYA HAPA KUONA PICHA KIBAO
11 years ago
Tanzania Daima21 Apr
Chege, Mh. Temba wafunika Coco Beach
KATIKA kusherehekea Sikukuu ya Pasaka, wasanii Chege Chigunda ‘Mtoto wa Mama Saidi’ na Mhe. Temba, wametoa burudani ya aina yake kwa wapenzi na mashabiki wa muziki katika tamasha maalumu la...
11 years ago
CloudsFM19 Jun
11 years ago
Tanzania Daima24 Dec
Madee, Chege kupagawisha mashabiki Coco Beach leo
KAMPUNI ya Vodacom imeandaa tamasha kwa wateja na mashabiki wa muziki katika viwanja vya fukwe za Coco wakati huu ikiwaleta wasanii mahiri kimuziki, Ahmad Ally ‘Madee’ na Juma Said ‘Chege’....
10 years ago
Bongo531 Dec
Professor Jay, Chege na Temba kutumbuiza kwenye tamasha la ‘Maisha Murua’ la Vodacom
11 years ago
Michuzi09 Mar