UZINDUZI WA ACT NA MKUTANO MKUU KUFANYIKA MACHI 28 NA 29
![](http://api.ning.com:80/files/UQSvRDwuxJJAP3s2WWBLAFucOQfLHpht*NuibuDKJUlII5jGuJry5QrMdO3VzukAFXQsIv4ykP1SXDNrBsJ7sIx5AonKFXgG/ACT.jpg)
KAMA mnavyofahamu, Chama cha Wazalendo ACT-Tanzania kitafanya mkutano wake mkuu na uzinduzi wa chama mnamo tarehe 28 na 29 Machi 2015. Katika mkutano Mkuu chama kitapitisha katiba mpya ya chama na kufanya uchaguzi wa nafasi mbalimbali za uongozi ikiwemo Kiongozi wa chama, Mwenyekiti wa Chama, Makamu wenyeviti, Katibu Mkuu na Manaibu makatibu wakuu. Pia chama kitachagua wajumbe wa Kamati Kuu na Halmashauri Kuu. Katika Uzinduzi wa...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi12 Mar
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-hEfyesP0w8A/Vd4zgdpHbkI/AAAAAAAH0Q8/nxLOx4_IzEg/s72-c/unnamed%2B%25282%2529.jpg)
10 years ago
VijimamboMKUTANO MKUBWA WA KIMATAIFA WA TAASISI YA USAFIRISHAJI NA UCHUKUZI TANZANIA (CILT) KUFANYIKA MACHI, 3 JIJINI ARUSHAâ€
10 years ago
GPLMKUTANO MKUBWA WA KIMATAIFA WA TAASISI YA USAFIRISHAJI NA UCHUKUZI TANZANIA (CILT) KUFANYIKA MACHI, 3 JIJINI ARUSHA
11 years ago
Mwananchi24 Jan
Mkutano Mkuu wa Simba Machi 23
10 years ago
Tanzania Daima16 Nov
ACT kufanya mkutano mkuu Novemba 20 mwaka huu
CHAMA Cha Alliance for Change and Transparance, (ACT-Tanzania), kinatarajia kufanya mkutano mkuu maalum wa Taifa wa chama hicho Novemba 20 mwaka huu. Kauli hiyo ilitolewa jana na Katibu Mkuu wa muda...
10 years ago
MichuziACT WALIPOFANYA MKUTANO WAO MKUU JIJINI DAR
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-NwD6p9-fkyM/VMg3oD1NbEI/AAAAAAAAH1A/RCdzK9vDd3A/s72-c/logochaukidu1.png)
Mkutano Mkuu wa CHAUKIDU na Tamasha la ukuzaji Kiswahili kufanyika Washington DC
![](http://2.bp.blogspot.com/-NwD6p9-fkyM/VMg3oD1NbEI/AAAAAAAAH1A/RCdzK9vDd3A/s1600/logochaukidu1.png)
Hayo yatafanyika hapa Washington DC.
Septemba mwaka jana nilipata fursa ya kuhudhuria mkutano wa awali uliojadili mikakati ya mkutano na tamasha lijalo.
Baada ya hapo nilipata fursa kuzungumza na viongozi wa CHAUKIDU
Dr Leornard Muaka. Yeye ni Mkurugenzi Mtendaji wa Chaudiku. Na ni mwalimu wa lugha katika Chuo Kikuu cha Wiston Salem jimbo...