uzinduzi wa huduma mpya ya Chagua chochote Bayport italipia
Meneja Masoko na Mawasiliano wa Bayport Financial Services, Ngula Cheyo kushoto akizungumza jambo na waandishi wa habari hawapo pichani katika uzinduzi wa huduma mpya ya Chagua chochote Bayport italipia jana jijini Dar es Salaam. Kulia kwake ni Meneja Biashara, Thabit Mndeme.
Na Mwandishi Wetu, Dar es SalaamTAASISI ya kifedha ya Bayport Financial Services, imezindua tena huduma mpya inayojulikana kama ‘Chagua chochote unachotaka Bayport italipia’, ikiwa na lengo la kuwapatia mikopo ya bidhaa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima16 Oct
Bayport yazindua huduma mpya
TAASISI ya kifedha ya Bayport Tanzania imezindua huduma mpya ya mikopo ya bidhaa ikiwa na lengo la kurahisisha utendaji kazi wa watumishi wa umma na wafanyakazi wa kampuni zilizoidhinishwa na...
10 years ago
MichuziBayport yazindua huduma mpya ya Jibayportphonishe
Na Mwandishi Wetu, Dar es...
11 years ago
Michuzi.jpg)
Bayport Tanzania yazindua huduma mpya ya Mikopo ya bidhaa
10 years ago
MichuziBayport yaanzisha huduma mpya ya bima ya magari, pikipiki na bajaj
Na Mwandishi Wetu, Dar es SalaamTAASISI ya Kifedha ya Bayport Financial Services inayojihusisha na mambo ya mikopo, imezindua huduma mpya ya bima ya magari,...
10 years ago
Dewji Blog23 May
Bayport yazindua huduma mpya ya mikopo ya viwanja kwa Watanzania wote
Mkurugenzi wa Bayport Financial Services, John Mbaga, pichani, akizungumza jambo katika uzinduzi wa huduma mpya ya mikopo ya viwanja katika mradi wa Vikuruti, Kibaha, mkoani Pwani. Uzinduzi huo ulifanyika Ijumaa ya Mei 22, katika Hoteli ya Serena na kuhudhuriwa na watu mbalimbali, wakiwamo viongozi wa serikali. (Picha zote na Mpiga Picha Wetu).
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida, taasisi ya Kifedha ya Bayport Financial Services, inayojihusisha na mikopo,...
10 years ago
MichuziBayport Financial Services yazindua huduma mpya ya mikopo ya viwanja kwa Watanzania wote
Na Mwandishi Wetu, Dar es SalaamKATIKA hali isiyokuwa ya kawaida, taasisi ya Kifedha ya Bayport Financial Services, inayojihusisha na mikopo, imeanzisha huduma mpya ya kukopesha viwanja...
11 years ago
Michuzi05 Jun
10 years ago
Michuzi
Uzinduzi wa Huduma Mpya ya MaxMalipo kwa kutumia Simu ya Kiganjani.

Maxcom Africa maarufu kama MaxMalipo ni kampuni ya kitanzania iliyoanzishwa mwaka 2010 ambayo imewekeza...
10 years ago
GPL