Uzinduzi wa video mpya ya Mzungu Kichaa FT Malfred — “Twajiachia” kufanyika klabu Paparazzi, Slipway Jumatano hii
LAUNCH PARTY: WEDNESDAY 17 JUNE 2015 / DOORS OPEN 20:00 HRS PAPARAZZI CLUB SLIPWAY / SPECIAL MEDIA EVENT AT19:00 HRS INVITE ONLY
Twajiachia ni video ya muziki wa Mzungu Kichaa & Malfred ambayo inaadhimisha safari ya wanamuziki wa Tanzania katika nyanja ya muziki wa kimataifa.
Ilirikodiwa kwenye studio ya “Tao Records” kwa kushirikiana na bendi ya Bongo Beat na mzalishaji/producer Flo Bauer wakati wa ziara yao ya Ulaya mwishoni mwa mwaka 2014. Video iliongozwa na Zeki Oguz Teoman ndani ya...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL20 Jun
10 years ago
Dewji Blog21 Jun
Brand New Audio and Video: #Twajiachia by Mzungu Kichaa ft. Malfred
I am very please to be able to share a brand new song and video with you. Twajiachia was recorded at Tao Studio in Hamburg, together with German producer Flo Bauer during the Mzungu Kichaa and Malfred tour at the end of 2014. Their Tanzanian backing band Bongo Beat also joined them for the recording session. All musicians are featured in the music video, which was directed and shot on location in Hamburg by Zeki Oguz Teoman. The video represents the journey of 6 musicians from Tanzania, who...
10 years ago
Vijimambo10 years ago
MichuziReminder: 8pm @ Paparazzi club (Slipway) 17th June, 2015 Mzungu kichaa video release not to be missed!!
10 years ago
MichuziIntroducing Brand New Release #Twajiachia by Mzungu Kichaa ft. Malfred
10 years ago
Michuzi9 years ago
Bongo519 Oct
Video: Mzungu Kichaa — Silver Fish
11 years ago
Dewji Blog28 Jun
Mzungu Kichaa aachia single mpya “Together As One” ft Juma Nature and Karen Mukupa
TOGETHER AS ONE – UMOJA NI NGUVU
Mzungu Kichaa atoa single yake ya pili kutoka kwenye CD yake mpya iitwayo RELAX. Katika wimbo huu amemshirikisha Juma Nature na Karen Mukupa. Mzungu Kichaa alikuwa na haya ya kusema kuhusu wimbo wake mpya.
“Juma Nature ndiye aliyenipa jina langu la kisanii nilivyokuwa nikifanya featuring kwenye nyimbo kadhaa za Bongo Flava mwaka 1999 na 2000. Pia niliweka vocals pamoja na TID kwenye wimbo wa Nature uitwao Hili Game. Kwahiyo nina furaha kubwa kupata fursa ya...
9 years ago
Michuzi