Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mzungu Kichaa aachia single mpya “Together As One” ft Juma Nature and Karen Mukupa

mzungu kichaa ft juma nature

TOGETHER AS ONE – UMOJA NI NGUVU

Mzungu Kichaa atoa single yake ya pili kutoka kwenye CD yake mpya iitwayo RELAX. Katika wimbo huu amemshirikisha Juma Nature na Karen Mukupa. Mzungu Kichaa alikuwa na haya ya kusema kuhusu wimbo wake mpya.

“Juma Nature ndiye aliyenipa jina langu la kisanii nilivyokuwa nikifanya featuring kwenye nyimbo kadhaa za Bongo Flava mwaka 1999 na 2000. Pia niliweka vocals pamoja na TID kwenye wimbo wa Nature uitwao Hili Game. Kwahiyo nina furaha kubwa kupata fursa ya...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

Mzungu Kichaa na Rico Single kuwachizisha wazanzibar tamasha la ZIFF 2014 usiku wa leo

DSC_0087

Music Coordinator wa ZIFF, Edward Lusala akiwatambulisha wasanii watakaotumbuiza usiku wa leo kwenye tamasha la 17 la ZIFF 2014 ndani ya viunga vya Mambo Club – Ngome Kongwe visiwani Zanzibar wakati wa mkutano na waandishi wa habari. Katikati ni msanii wa muziki nchini almaarufu kama Mzungu Kichaa na Kulia ni Msanii Grace Matata.(Picha zote na Zainul Mzige wa MOblog).

DSC_0099

Mzungu Kichaa akizungumza na waandishi wa habari wakati wa mkutano na waandishi wa habari kwenye hoteli ya Doubletree by...

 

11 years ago

GPL

MZUNGU KICHAA NA RICO SINGLE KUWACHIZISHA WAZANZIBAR TAMASHA LA ZIFF 2014 USIKU WA LEO‏

Music Coordinator wa ZIFF, Edward Lusala akiwatambulisha wasanii watakaotumbuiza usiku wa leo kwenye tamasha la 17 la ZIFF 2014 ndani ya viunga vya Mambo Club - Ngome Kongwe visiwani Zanzibar wakati wa mkutano na waandishi wa habari. Katikati ni msanii wa muziki nchini almaarufu kama Mzungu Kichaa na Kulia ni Msanii Grace Matata. Mzungu Kichaa akizungumza na waandishi wa habari wakati wa mkutano na waandishi wa habari kwenye...

 

10 years ago

Dewji Blog

Uzinduzi wa video mpya ya Mzungu Kichaa FT Malfred — “Twajiachia” kufanyika klabu Paparazzi, Slipway Jumatano hii

Twajiachia Flyer

LAUNCH PARTY: WEDNESDAY 17 JUNE 2015 / DOORS OPEN 20:00 HRS  PAPARAZZI CLUB SLIPWAY / SPECIAL MEDIA EVENT AT19:00 HRS INVITE ONLY

Twajiachia ni video ya muziki wa Mzungu Kichaa & Malfred ambayo inaadhimisha safari ya wanamuziki wa Tanzania katika nyanja ya muziki wa kimataifa.

Ilirikodiwa kwenye studio ya “Tao Records” kwa kushirikiana na  bendi ya Bongo Beat na mzalishaji/producer Flo Bauer wakati wa ziara yao ya Ulaya mwishoni mwa mwaka 2014. Video iliongozwa na Zeki Oguz Teoman ndani ya...

 

10 years ago

CloudsFM

WAKATI FELA ANA MPANGO WA KUMALIZA BIFU NA JUMA NATURE, NATURE ACHOMOA MCHONGO

Mkurugenzi wa kituo cha kukuza vipaji vya wasanii “Mkubwa na Wanae”, Saidi Fela ambaye pia ni kiongozi wa kundi la TMK Wanaume Family, kundi ambalo lilianzishwa mwanzoni mwa miaka ya 2000 baadaye likaja kuvunjika vipande viwili likazaliwa kundi la TMK Halisi chini ya Juma Nature, hiyo ilikuwa mwaka 2006.Hivi karibuni Said Fela amefunguka kuwa ana mpango wa kumfuata Juma Nature ili wakae chini na kushirikiana kikazi kama zamani. Lakini alipoulizwa Juma Nature kama yuko tayari kufanya kazi na...

 

9 years ago

Bongo5

Video: Adele aachia single mpya ‘Hello’ na tracklist ya album yake ijayo ‘25’

Mwimbaji wa Uingereza, Adele amerejea na wimbo mpya, video mpya pamoja na album mpya anayotarajia kuitoa mwezi ujao. ‘Hello’ ndio single yake ya kwanza aliyoiachia kutoka kwenye album yake mpya. Album hiyo iitwayo ‘25’ itatoka November 20. Track list to Adele’s ‘25’: 1. Hello 2. Send My Love (To Your New Lover) 3. I Miss […]

 

10 years ago

Bongo5

New Song: Chris Brown aachia single mpya inayobeba jina la album yake ‘X’

Kuelekea Septemba 16, tarehe ambayo Chris Brown anatarajia kuachia album yake mpya, Jana (August 22) ameachia single mpya inayobeba jina la album hiyo ‘X’. X imetengenezwa na producer aitwaye Diplo.

 

11 years ago

Michuzi

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani