Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Van Gaal asema wachezaji wake wanajaribu

Mkufunzi wa kilabu ya Manchester United Louis Van Gaal amekiri kwamba wachezaji wa timu hiyo wanajitahidi kuelewa mbinu zake.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Van Gaal akubali kubeba lawama, awataka mashabiki wasiwatupie lawama wachezaji wake

Kocha wa Manchester United, Louis Van Gaal

Kocha wa Manchester United, Louis Van Gaal.

Na Rabi Hume

Kocha wa Manchester United, Louis Van Gaal amewataka mashabiki wa klabu hiyo ya Manchester United kuacha kuwatupia lawama wachezaji wake na anaestahili kubeba lawama hizo ni yeye mwenyewe.

Van Gaal ameyasema hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari kuelekea kwa mchezo wa Ligi kuu ya Wingereza ambapo timu yake inatarajiwa kucheza na klabu ya West Bromwich Albion mchezo unaotarajiwa kucheza katika uwanja wa Old Trafford siku ya...

 

9 years ago

BBCSwahili

Van Gaal: Waacheni wachezaji, nizomeeni mimi

Meneja wa Manchester United Louis van Gaal amewaambia mashabiki wamzomee na kumkosoa yeye badala ya wachezaji.

 

10 years ago

BBCSwahili

Sijakosana na Van Gaal, asema Ryan Giggs

Naibu mkufunzi katika timu ya Manchester United Ryan Giggs amepinga madai ya mkwaruzano kati yake na mkufunzi wa kilabu hiyo

 

9 years ago

MillardAyo

Ni kweli wachezaji wa Man United hawamtaki Louis van Gaal? David de Gea kajibu hapa …

Headlines za wachezaji wa Man United kuhusishwa kutomtaka kocha Louis van Gaal aendelee kukitumikia kikosi hiko zinazidi kuchukua nafasi kila siku, kuna wakati Louis van Gaal alisema ni kweli ataondoka Man United kama wachezaji hawatomtaka aendelee kuwepo. Stori za uchunguzi au tetesi zilikuwa nyingi kuwa Louis van Gaal hapatani na wachezaji wake. ila December 16 […]

The post Ni kweli wachezaji wa Man United hawamtaki Louis van Gaal? David de Gea kajibu hapa … appeared first on...

 

9 years ago

MillardAyo

Kauli ya Wayne Rooney kuhusu ajira ya Louis van Gaal na walichoamua wachezaji wa Man United …

Bado hali sio nzuri ndani ya klabu ya Man United, haikatishi siku bila mitandao ya kijamii, magazeti na tovuti kujadili juu ya kibarua cha kocha wa sasa wa Man United Louis van Gaal, mengi yameandikwa na kwakuwa Uingereza ndio Ligi inayopendwa na vyombo vya habari vya nchi hiyo vina nguvu, basi usishangae kuona nakuletea stori nyingine […]

The post Kauli ya Wayne Rooney kuhusu ajira ya Louis van Gaal na walichoamua wachezaji wa Man United … appeared first on TZA_MillardAyo.

 

9 years ago

Bongo5

David Moyes ametoa mtazamo wake kuhusu kocha Louis van Gaal

2FAFDCED00000578-3379123-David_Moyes_has_placed_his_support_behind_Manchester_United_bele-a-108_1451493821789

Kocha wa zamani wa Everton na Manchester United, David Moyes ameeleza mtazamo wake kuhusu kocha wa sasa wa United Louis van Gaal. David Moyes amesema Van Gaal anastahili kupewa muda zaidi huku akiamini kuwa Manchester United inaweza kuzoa mafanikio chini ya Mdachi huyo.

2FAFDCED00000578-3379123-David_Moyes_has_placed_his_support_behind_Manchester_United_bele-a-108_1451493821789

Mashabiki wa United tayari wamepoteza imani kwa Van Gaal huku wakishuhudia klabu yao iliyokosa soka la kuburudisha ikifunga magoli 13 tu msimu huu kwenye Premier League. Lakini licha ya shutuma za mashabiki na wachambuzi wa...

 

11 years ago

BBCSwahili

VAN GAAL : FIFA IMETUONEA

Mkufunzi wa Uholanzi Louis va Gaal ameikashifu ratiba ya mechi za mkondo wa pili akisema inapendelea mataifa mengine

 

10 years ago

BBCSwahili

Hatufikirii ubingwa:Van gaal

meneja wa Manchester United Louis van Gaal amegoma kujitumbukiza katika mbio za ubingwa

 

9 years ago

BBCSwahili

Van Gaal:Tutashinda Wolfsburg

Mkufunzi wa kilabu ya Manchester United Louis Van Gaal amekiri kwamba klabu hiyo inakabiliwa na mechi ngumu itakapokutana na Worlfsburg.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani