Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Van Gaal awawakia waandishi wa habari, sababu ipo hapa!

louis-van-gaal-press-conference

Na Rabi Hume, Modewjiblog

Kocha wa Manchester United, Louis Van Gaal (pichani) amewalalamikia waandishi wa habari kwa kuandika habari kuhusu yeye ambazo sio sahihi kuhusu hatma yake ndani ya Manchester United kutokana na matokeo mabovu wanayoyapata.

Van Gaal aliingia katika mkutano na wanahabari na kuanza kuzungumza kuwa wamekuwa wakiandika habari ambazo hazina ukweli ambazo zinakuwa hazipendezi kwa kuandika kitu kisicho sahihi na kudanganya wasomaji kuhusu hali halisi iliyopo.

“Mnatakiwa...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Louis van Gaal awapasha waandishi.

Meneja wa Manchester United Louis van Gaal ambaye kwa sasa yuko katika hali mbaya ndani ya klabu hiyo.

 

10 years ago

Bongo5

Louis van Gaal azitaja sababu za kutaka kumtema Victor Valdes

Kocha wa Manchester United, Louis van Gaal anaonekana kumwonyesha mlango wa kutokea Old Trafford mlinda mlango, Victor Valade baada ya kuonekana hana nidhamu. Louis van Gaal akiongea na waandishi wa habari nchini Marekani Kocha huyo alibainisha kuwa Valdes alikataa kuichezea timu ya pili msimu uliopita. Anadai kuwa Valdes ameshindwa kuendana na falsafa zake ndani ya […]

 

9 years ago

MillardAyo

Haya ndio maswali yaliyomkera Van Gaal na kuondoka katika mkutano na waandishi (+Video)

Kocha wa klabu ya Manchester United Louis van Gaal tayari anaonekana kukosa raha juu ya headlines za maisha yake ndani ya Man United, licha ya kuwa ni tetesi kuhusu koch huyo kuwa hatiani kufukuzwa ila kuna kila dadlili ya uongozi wa Man United kumfuta kazi wakati wowote kuanzia sasa na nafasi yake kupewa Jose Mourinho. […]

The post Haya ndio maswali yaliyomkera Van Gaal na kuondoka katika mkutano na waandishi (+Video) appeared first on TZA_MillardAyo.

 

9 years ago

MillardAyo

Sababu nne za kwa nini Man United wanatakiwa wamfukuze Louis van Gaal na kumuajiri Jose Mourinho …

Hizi ni stori au mkusanyiko wa mawazo ya waandishi wa habari wa Uingereza na wchambuzi wa masuala ya soka Uingereza, Jose Mourinho na Louis van Gaal ndio makocha ambao walikuwa wanahusishwa kwa kiasi kikubwa kupewa nafasi ya kufukuzwa kazi kutokana na mwenendo wa timu zao. Tayari Jose Mourinho kafukuzwa Chelsea ila hatujui Man United wataamua […]

The post Sababu nne za kwa nini Man United wanatakiwa wamfukuze Louis van Gaal na kumuajiri Jose Mourinho … appeared first on...

 

9 years ago

MillardAyo

Ni kweli wachezaji wa Man United hawamtaki Louis van Gaal? David de Gea kajibu hapa …

Headlines za wachezaji wa Man United kuhusishwa kutomtaka kocha Louis van Gaal aendelee kukitumikia kikosi hiko zinazidi kuchukua nafasi kila siku, kuna wakati Louis van Gaal alisema ni kweli ataondoka Man United kama wachezaji hawatomtaka aendelee kuwepo. Stori za uchunguzi au tetesi zilikuwa nyingi kuwa Louis van Gaal hapatani na wachezaji wake. ila December 16 […]

The post Ni kweli wachezaji wa Man United hawamtaki Louis van Gaal? David de Gea kajibu hapa … appeared first on...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mourinho amsifu Van Gaal

Mkufunzi wa timu ya Manchester Louis van Gaal amesisitiza kuwa hakuchukuwa jukumu kubwa la kumboresha Mourinho

 

11 years ago

BBCSwahili

VAN GAAL : FIFA IMETUONEA

Mkufunzi wa Uholanzi Louis va Gaal ameikashifu ratiba ya mechi za mkondo wa pili akisema inapendelea mataifa mengine

 

10 years ago

BBCSwahili

Hatufikirii ubingwa:Van gaal

meneja wa Manchester United Louis van Gaal amegoma kujitumbukiza katika mbio za ubingwa

 

9 years ago

BBCSwahili

Van Gaal:Tutashinda Wolfsburg

Mkufunzi wa kilabu ya Manchester United Louis Van Gaal amekiri kwamba klabu hiyo inakabiliwa na mechi ngumu itakapokutana na Worlfsburg.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani