Van Gaal:Sina wasiwasi kuhusu wadhfa wangu
Mkufunzi Louis Van Gaal amesema kuwa hana wasiwasi kuhusu wadhfa wake na kwamba kikosi chake kinafaa kujaribu kushinda taji la Yuropa.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili12 Jan
Van Gaal ajitetea kuhusu Falcao
9 years ago
Bongo531 Dec
David Moyes ametoa mtazamo wake kuhusu kocha Louis van Gaal
![2FAFDCED00000578-3379123-David_Moyes_has_placed_his_support_behind_Manchester_United_bele-a-108_1451493821789](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/2FAFDCED00000578-3379123-David_Moyes_has_placed_his_support_behind_Manchester_United_bele-a-108_1451493821789-300x194.jpg)
Kocha wa zamani wa Everton na Manchester United, David Moyes ameeleza mtazamo wake kuhusu kocha wa sasa wa United Louis van Gaal. David Moyes amesema Van Gaal anastahili kupewa muda zaidi huku akiamini kuwa Manchester United inaweza kuzoa mafanikio chini ya Mdachi huyo.
Mashabiki wa United tayari wamepoteza imani kwa Van Gaal huku wakishuhudia klabu yao iliyokosa soka la kuburudisha ikifunga magoli 13 tu msimu huu kwenye Premier League. Lakini licha ya shutuma za mashabiki na wachambuzi wa...
9 years ago
MillardAyo24 Dec
Kauli ya Wayne Rooney kuhusu ajira ya Louis van Gaal na walichoamua wachezaji wa Man United …
Bado hali sio nzuri ndani ya klabu ya Man United, haikatishi siku bila mitandao ya kijamii, magazeti na tovuti kujadili juu ya kibarua cha kocha wa sasa wa Man United Louis van Gaal, mengi yameandikwa na kwakuwa Uingereza ndio Ligi inayopendwa na vyombo vya habari vya nchi hiyo vina nguvu, basi usishangae kuona nakuletea stori nyingine […]
The post Kauli ya Wayne Rooney kuhusu ajira ya Louis van Gaal na walichoamua wachezaji wa Man United … appeared first on TZA_MillardAyo.
9 years ago
MillardAyo27 Dec
Yalioandikwa Dec 27 kuhusu Van Gaal, Wenger na Pep Guardiola kupigiwa simu na Rais wa PSG
VKama kawaida kila linalonifikia siachi kukujuza, ninazo headlines za stori za soka za Ulaya, ninazo headlines kuhusu maendeleo ya stori za maisha ya Louis van Gaal ndani ya Man United, ninazo stori kuhusu anayetajwa kuwa kocha ghali zaidi duniani Pep Guardiola, bila kusahau headlines za mkali wa Man United Michael Carrick. Haya ndio yalioandikwa leo December 27. […]
The post Yalioandikwa Dec 27 kuhusu Van Gaal, Wenger na Pep Guardiola kupigiwa simu na Rais wa PSG appeared first on...
11 years ago
Mwananchi06 Jun
BRAZIL 2014: Van Persie aitia wasiwasi Uholanzi
9 years ago
BBCSwahili26 Nov
Van Gaal:Tutashinda Wolfsburg
10 years ago
BBCSwahili15 Dec
Hatufikirii ubingwa:Van gaal
10 years ago
BBCSwahili25 Oct
Mourinho amsifu Van Gaal
11 years ago
BBCSwahili24 Jun
VAN GAAL : FIFA IMETUONEA