Video: Future Ft. Drake — Where Ya At
Rapper wa muziki kutoka Marekani Future ameachia video yake mpya ya wimbo unaoitwa “Where Ya At” akiwa maemshirikisha Drake. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo528 Sep
Album ya Drake na Future yakamata namba 1 kwenye Billboard 200 Chart
9 years ago
Bongo520 Oct
Video: Drake — ‘Hotline Bling’
5 years ago
Bongo514 Feb
New Video: Nicki Minaj, Drake & Lil Wayne – No Frauds
Baada ya kutoonekana kwenye video wakiwa pamoja, Nicki Minaj, Lil Wayne na Drake wameachia video ya wimbo wao ‘No Frauds’. Utazame hapa chini.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!Share on Whatsapp
9 years ago
Bongo519 Nov
Video: Sikiliza gospel remix ya wimbo wa Drake ‘Hotline Bling’ iliyofanywa na kwaya ya kanisani
![drake](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/drake-300x194.jpg)
Zimetoka cover nyingi za hit song ya Drake ‘Hotline Bling’, lakini ulitarajia kama kuna watu wangeamua kufanya gospel remix ya wimbo huo?
Kwaya ya gospel ya kanisa la Destiny la Atlanta, Marekani iliamua kufanya remix ya wimbo huo kwa kubadili mashairi ya Drake na kuweka maneno ya kumsifu Mungu. Kuna video imesambaa ya kwaya hiyo ikitumbuiza remix hiyo kanisani huku shwangwe zikitawala kutoka kwa waumini.
Hotline Bling gospel remix inaanzia 1:30
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!!...
11 years ago
Bongo517 Jul
Video: Drake na Chris Brown waigiza pamoja kwenye ‘skit’ ya tuzo za ESPY 2014
9 years ago
Bongo520 Nov
Video: Future amtumia Blac Chyna kwenye video mpya ‘Rich $ex’, aitoa kwenye birthday ya Tyga
![future na Chyna](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/future-na-Chyna-300x194.png)
Rapper Future ameachia video mpya ya wimbo wake uitwao ‘Rich $ex’, na kwenye video hiyo amemtumia Blac Chyna kama mpenzi wake.
Japo kuwa Future ambaye ni ex na baby dady wa Ciara na Chyna ambaye ni ex na baby mama wa Tyga wamekuwa wakikanusha kuwa sio wapenzi, lakini video hii inalazimisha kuamini kuwa wanatoka.
Kingnie cha kushangaza ni hiki, October 25 ambayo ni siku aliyozaliwa Ciara, ndio siku ambayo Blac Chyna alionesha tattoo ya jina la Future mkononi na kufanya watu waamini kuwa ni...
10 years ago
Bongo525 Feb
New Video: Future Jnl — Without You