Video: Kisa cha Dimpoz kutomualika Diamond uzinduzi wa video yake
MSANII wa Bongo Fleva, Omari Nyembo “Ommy Dimpoz” amefunguka kisa cha yeye kutomualika staa mwenzake Diamond Platnumz kwenye uzinduzi wa video ya wimbo wake mpya uitwao “Achia Body”.
Dimpoz alizindua wimbo wake huo mpya wikiendi iliyopita kwenye Ukumbi wa Akemi uliopo ndani ya jengo la Golden Jubilee Tower, ambapo ulihudhuriwa na baadhi ya wasanii wenzake kibao.
Wasanii waliojitokeza kumpa nguvu Ommy Dimpoz ni pamoja na Joh Makini, Ben Pol, Chege, Madee, Vanessa Mdee, Navy Kenzo Christian...
Global Publishers
Habari Zinazoendana
9 years ago
Global Publishers19 Dec
Ommy Dimpoz afanikisha uzinduzi wa video yake
Ommy Dimpoz akiongea jambo wakati wa sherehe za uzinduzi wa video ya wimbo huo.
Mrembo aliyewahi kushiriki kwenye Big Brother Africa enzi hizo Abby akimpa kampani Ommy Dimpoz kwa kucheza kwenye uzinduzi huo.
Vanessa Mdee akiwa kwenye pozi mara baada ya kuwasili ukumbini hapo.
Wasanii wa Bongo Fleva Joh Makini na Ben Pol wakiwasili ukumbini hapo.
Baadhi ya warembo waliojitokeza kushuhudia uzinduzi huo wakiwa katika pozi.
Christian Bella akiimba kwenye uzinduzi huo
Mtangazaji wa Clouds...
10 years ago
Bongo514 Aug
New Video: Victoria kimani aachia video ya ‘Prokoto’ aliyoshoot Tanzania na kuwashirikisha Diamond na Dimpoz
9 years ago
Bongo519 Dec
Picha: Uzinduzi wa video mpya ya Ommy Dimpoz ‘Achia Body’
![Aika akizumza na Ommy](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/Aika-akizumza-na-Ommy-300x194.jpg)
Ommy Dimpoz amezindua video ya wimbo mpya ‘Achia Body’ Jumamosi hii kwenye hoteli ya Akemi jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na mastaa kibao na wadau wengine.
Ommy Dimpoz
Akizungumza na Bongo5, Ommy alisema ukimya wake ulitokana na kuwa busy na show nyingi za nje.
“Huu mwaka ulikuwa na mambo mengi sana lakini nashukuru Mungu hayo mambo yamesababisha nijiandae vizuri zaidi,” alisema. “Nilikuwa na show nyingi za nje. Lakini hii kazi ni nzuri na watu wataifurahia sana. Kwahiyo kuifanyia...
9 years ago
MillardAyo19 Dec
Kilivyohappen kwenye uzinduzi wa video ya single mpya ya Ommy Dimpoz ‘Achia Body’…..
Hatimaye Ommy Dimpoz usiku wa kuamkia leo Dec 19 ametambulisha rasmi video ya single yake mpya iitwayo Achia Body kwenye ukumbi wa Golden Jubilee Towers Dar es Salaam. Hizi ni baadhi ya picha za uzinduzi huo kama zilizovyonasa na ripota wa millardayo.com Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line […]
The post Kilivyohappen kwenye uzinduzi wa video ya single mpya ya Ommy Dimpoz ‘Achia Body’….. appeared first on TZA_MillardAyo.
9 years ago
MillardAyo17 Dec
Sentensi za Ommy Dimpoz kuhusu single mpya ‘Achia Body’ pamoja na uzinduzi wa video!!!
Inawezekana ni muda mrefu sana haujamsikia Ommy Dimpoz akizimiliki headlines kwenye ma Radio na TV, sasa time anatarajia kuachia single mpya iitwayo Achia Body iliyotayarishwa na Man Water & Mo Fire. Akiongea na ripota wa millardayo.com alisema..’Baada ya kimya cha muda mrefu kutokana na tours zangu kwahiyo imepita kipindi kirefu sana mashabiki zangu walikuwa wanasubiri […]
The post Sentensi za Ommy Dimpoz kuhusu single mpya ‘Achia Body’ pamoja na uzinduzi wa video!!! appeared first on...
10 years ago
GPL28 Aug