Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Video: Ngonjera ya wanafunzi wa shule ya Ketumbeine iliyowekwa Instagram na Terrence J yawakuna Wamarekani

Mtangazaji wa E! Entertainment, Terrence J na wageni wengine wa Marekani waliokuja Tanzania kwa mwaliko wa Rais Jakaya Kikwete, ameendelea kujionea uzuri wa nchi ya Tanzania kwa kutembelea maeneo mbalimbali ya kitalii. Wiki hii waliitembelea shule ya msingi Ketumbeine iliyopo jijini Arusha ambako walipokelewa kwa furaha kubwa na wanafunzi. Wanafunzi walitoa burudani mbalimbali mbele ya […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

WANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI MUHIMBILI 1988 WAIKUMBUKA SHULE YAO.

Mgeni Rasmi Balozi Kassimu Mwawado, akikata utepe ili kufungua Ofisi ya walimu wa shule ya msingi Muhimbili, iliyokarabatiwa na kuweka viti 29 na meza 8 na wanafuzi waliohitimu darasa la saba katika shule hiyo Mwaka 1988, pamoja na kiti na meza ya kisasa katika ofisi ya Mwalimu Mkuu wa Shule hiyo katika hafra fupi iliyoandaliwa na wanafunzi hao ikiwa imehudhuliwa na walimu wa shule hiyo wa tangu mwaka 1978. Walimu wa Shule ya Msingi Muhimbili wakifurahia kupewa viti vipya pamoja na meza na...

 

10 years ago

GPL

BAADA YA SHULE YA SEKONDARI YA IFUNDA KUFUNGWA KWA VURUGU UONGOZI WA SHULE HIYO WAWAITA WANAFUNZI 28

 Mkuu wa shule ya sekondari ya Ifunda akizungumza na wanafunzi hao hivi karibuni. Wanafunzi wa shule ya sekondari ya Ufundi Ifunda. Uongozi wa shule ya sekondari ya Ufundi Ifunda  mkoani  Iringa  imewaita wanafunzi 28 kufika shuleni hapo octoba 2 ikiwa ni baada ya  shule  hiyo …

 

10 years ago

Vijimambo

FNB YAKABIDHI MADARASA BAADA YA KUFANYIA UKARABATI NA MADAWATI NA MIKOBA YA SHULE KWA WANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI MSASANI B

Mkuu wa Idara ya ukaguzi wa Mahesabu FNB Baraka Thomas (kushoto) akikata utepe kwa ajili ya kumkabidhi MwalimuMkuu wa Shule ya Msingi Msasani B, Bw.Victor Kamuli madarasa baada ya kufanyiwa ukarabati pia ilikabidhi madawati na mikoba ya shule hivi karibuni jijini Dar as Salaam. Mfanyakazi wa FNB Bi Dora Bundala akimuelekeza kuchora mwanafunzi wa darasa la kwanza wakati FNB ilipokabidhi madarasa , mikoba ya shule , vitabu ,na rangi Katika shule ya Msingi Msasani B hivi karibuni jijini...

 

11 years ago

GPL

JHIKOMAN ATEMBELEA SHULE YA MUZIKI YA REUTLINGEN,UJERMANI : WANAFUNZI NA WAKUU WA SHULE WAAHIDI KUTEMBELEA BAGAMOYO ! KILA WAKATI

Darasa la muziki katika taasisi ya shule ya muziki Reutlingen,Ujerumani . Jhikoman akiwafundisha wanafunzi kutumia gitaa katika shule ya muziki Reutlingen.…

 

9 years ago

Mwananchi

Ngonjera za uwanja Simba zafikia patamu

Ngonjera kuhusu ujenzi wa uwanja wa kisasa wa klabu ya Simba zimehamia mwaka 2016, huku ikielezwa kuwa tayari klabu hiyo imepata mwekezaji. Uwanja huo ulioko Bunju, nje kidogo ya Dar es Salaam umegeuka hekaya za viongozi wa klabu hiyo kwa muda mrefu sasa.

 

11 years ago

Habarileo

Wanafunzi waharibu shule

WANAFUNZI wa shule ya msingi na sekondari ya St Anne Marie Academy ya Dar es Salaam, wamefanya vurugu zilizoambatana na uharibifu mkubwa wa mali ikiwamo kuvunja vioo vya magari, mabweni, madarasa na kompyuta, chanzo kikidaiwa kuwa ni hatua ya uongozi wa shule kuwapa walinzi mamlaka makubwa ya kuwaadhibu.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Asilimia 56 ya wanafunzi hawajaripoti shule

ASILIMIA 56 ya wanafunzi  waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza mwaka huu wilayani Nkasi hawajaripoti shuleni kutokana na sababu mbalimbali, ukiwamo mwamko mdogo wa elimu kwa wazazi. Wanafunzi hao hawaonekani...

 

10 years ago

Habarileo

Mtangani warejesha shule wanafunzi 63

SHULE ya Mtangani iliyopo jimbo la Kiwani mkoa wa Kaskazini Pemba imefanikiwa kuwarudisha wanafunzi 63 walioacha shule na kujiunga na ajira mbaya za watoto katika kipindi cha miaka miwili.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wanafunzi shule ya Rweikiza wang’aa

WANAFUNZI  wote waliohitimu elimu ya msingi mwa huu katika shule ya msingi Rweikiza, iliyopo Kata ya Maruku, Wilaya ya Bukoba  mkoani Kagera, wamepata kiwango cha alama ‘A’. Huu ni mwaka...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani