Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ngonjera za uwanja Simba zafikia patamu

Ngonjera kuhusu ujenzi wa uwanja wa kisasa wa klabu ya Simba zimehamia mwaka 2016, huku ikielezwa kuwa tayari klabu hiyo imepata mwekezaji. Uwanja huo ulioko Bunju, nje kidogo ya Dar es Salaam umegeuka hekaya za viongozi wa klabu hiyo kwa muda mrefu sasa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Mtanange wa Simba na JKT Ruvu Uwanja wa Taifa hivi sasa: Simba washalala kwa bao 2 - 0

Mchezaji wa Timu ya JKT Ruvu,Emmanuel Switta akimpeleka markiti Golikipa wa timu ya Simba, Yaw Berko kwa mkwaju mkali wa Penati na kuiandikia timu yake bao la pili katika Mchezo wa Ligi kuu Tanzania bara,unaoendelea hivi sasa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.hadi mapumziko Simba wamelala kwa Bao 2 - 0.kipindi cha pili kimeanza hivi punde na tutaendelea kujuzana kinachojili.
Wachezaji wa timu ya JKT Ruvu wakishangilia mara baada ya kuitandika Simba bao la pili.

 

10 years ago

Michuzi

Mchezo wa Kirafiki Kati ya Simba na Polisi Usiku Huu Uwanja wa Amaan Simba Ikiwa mbele kwa bao 2--0

Kamishna wa Polisi Zanzibar Kamishna Hamdan akisalimiana na wachezaji wa Timu ya Polisi Zanzibar kabla ya kuaza kwa mchezo wao wa kirafiki uliofanyika uwanja wa amaan.Kamishna wa Polisi Zanzibar Kamishna Hamdan akisalimiana na wachezaji wa Timu ya Polisi Zanzibar kabla ya kuaza kwa mchezo wao wa kirafiki uliofanyika uwanja wa amaan.
Kikosi cha timu ya Polisi Zanzibar kilichokubali kipigo cha bao 2--0 kutoka kwa timu ya Simba wakati wa mchezo wa kirafiki uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar.

 

9 years ago

Mwananchi

Uwanja wa Simba wavamiwa

Uwanja wa Simba uliopo Bunju B kitalu namba 226, umevamiwa na baadhi ya watu walioanza kugawana maeneo tayari kwa ujenzi wa makazi.

 

11 years ago

Bongo5

Video: Ngonjera ya wanafunzi wa shule ya Ketumbeine iliyowekwa Instagram na Terrence J yawakuna Wamarekani

Mtangazaji wa E! Entertainment, Terrence J na wageni wengine wa Marekani waliokuja Tanzania kwa mwaliko wa Rais Jakaya Kikwete, ameendelea kujionea uzuri wa nchi ya Tanzania kwa kutembelea maeneo mbalimbali ya kitalii. Wiki hii waliitembelea shule ya msingi Ketumbeine iliyopo jijini Arusha ambako walipokelewa kwa furaha kubwa na wanafunzi. Wanafunzi walitoa burudani mbalimbali mbele ya […]

 

9 years ago

Habarileo

Simba SC kuanza ujenzi wa uwanja

UJENZI wa Uwanja wa Simba uliopo maeneo ya Bunju nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam, unatarajia kuanza mapema Januari mwakani chini ya Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili wa klabu hiyo, Zakaria Hanspope.

 

11 years ago

Mwananchi

Simba yalalamikia mapato ya Uwanja wa Sokoine

Klabu ya Simba imedai kuhujumiwa mapato ya mechi yao ya Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Prisons iliyochezwa Jumapili iliyopita, kwenye Uwanja wa Sokoine mjini Mbeya.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Yanga, Maximo wafikia patamu

KOCHA mpya wa timu ya Yanga, Mbrazil Marcio Maximo, anatarajiwa kusaini mkataba mwishoni mwa wiki kwa ajili ya kuitumikia klabu hiyo yenye maskani yake mitaa ya Twiga na Jangwani jijini...

 

9 years ago

Habarileo

Ligi Kuu yaingia patamu

KIVUMBI cha Ligi Kuu Tanzania Bara, kinaendelea tena leo kwenye viwanja vitano tofauti, huku miamba ya soka Yanga na Simba ikirejea tena kusaka pointi tatu. Yanga ambayo kabla ya mechi ya Jumatano iliyotoka sare ya mabao 2-2 na Mwadui FC Uwanja wa Kambarage Shinyanga ilikuwa na pointi 19 sawa na Azam FC ikiongoza ligi hiyo, ilijikuta ikipata matokeo hayo ambayo yaliwapa majonzi mashabiki wao.

 

10 years ago

Habarileo

‘Barabara za lami zafikia asilimia 58’

SERIKALI imejenga barabara nchini kwa kiwango cha lami kwa asilimia 58. Pia, zipo barabara 11,154 zilizo katika viwango mbalimbali vya ujenzi kwa kiwango hicho cha lami katika maeneo mbalimbali.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani