Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Simba SC kuanza ujenzi wa uwanja

UJENZI wa Uwanja wa Simba uliopo maeneo ya Bunju nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam, unatarajia kuanza mapema Januari mwakani chini ya Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili wa klabu hiyo, Zakaria Hanspope.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

Mazishi ya kiongozi wa kikosi cha wataalamu wa China katika mpango wa ushirikiano wa ujenzi wa uwanja wa taifa na uwanja wa Uhuru

 Mke wa marehemu Eng. QI XIN wa pili kutoka kulia akitoa heshima zake za mwisho katika mazishi ya mume wake ambaye alikuwa Kiongozi wa Kikosi cha Wataalam wa kichina katika mpango wa Ushirikiano katika ujenzi wa Uwanja wa Taifa na Uwanja wa Uhuru akiuaga mwili wa mpendwa wake katika mazishi yaliyofanyika jijini Dar es Salaam   Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Sihaba Nkinga wa kwanza kushoto akitoa heshima zake za mwisho kwa mwili wa marehemu Eng. QI XIN ambaye...

 

11 years ago

Michuzi

KAGASHEKI CUP 2014: HATUA YA ROBO FAINALI KUANZA KUTIMUA VUMBI LEO KATIKA UWANJA WA KAITABA, MABINGWA WATETEZI BILELE FC KUANZA NA KAHORORO FC

Na Faustine Ruta, BukobaTimu nane zilizosonga mbele kwenye hatua ya Robo Fainali KAGASHEKI CUP 2014 leo zinaanza kuonyeshana ubabe kati ya Mabingwa Watetezi Bilele Fc na Kahororo Fc kwenye uwanja wa Kaitaba Bukoba mjini. Kwa ajili ya kuwania nafasi nne za kuingia hatua ya nusu fainali ya Ligi ya KAGASHEKI CUP Inayotarajiwa kuanza  wiki ijayo.  Timu ya Bakoba Fc ilipoteza na kutupwa nje kwenye Mashindano baada ya matokeo ya timu ya Kitendaguro kwenda vibaya katika hatua ya Makundi mtanange wa...

 

11 years ago

Michuzi

Mtanange wa Simba na JKT Ruvu Uwanja wa Taifa hivi sasa: Simba washalala kwa bao 2 - 0

Mchezaji wa Timu ya JKT Ruvu,Emmanuel Switta akimpeleka markiti Golikipa wa timu ya Simba, Yaw Berko kwa mkwaju mkali wa Penati na kuiandikia timu yake bao la pili katika Mchezo wa Ligi kuu Tanzania bara,unaoendelea hivi sasa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.hadi mapumziko Simba wamelala kwa Bao 2 - 0.kipindi cha pili kimeanza hivi punde na tutaendelea kujuzana kinachojili.
Wachezaji wa timu ya JKT Ruvu wakishangilia mara baada ya kuitandika Simba bao la pili.

 

10 years ago

Michuzi

Mchezo wa Kirafiki Kati ya Simba na Polisi Usiku Huu Uwanja wa Amaan Simba Ikiwa mbele kwa bao 2--0

Kamishna wa Polisi Zanzibar Kamishna Hamdan akisalimiana na wachezaji wa Timu ya Polisi Zanzibar kabla ya kuaza kwa mchezo wao wa kirafiki uliofanyika uwanja wa amaan.Kamishna wa Polisi Zanzibar Kamishna Hamdan akisalimiana na wachezaji wa Timu ya Polisi Zanzibar kabla ya kuaza kwa mchezo wao wa kirafiki uliofanyika uwanja wa amaan.
Kikosi cha timu ya Polisi Zanzibar kilichokubali kipigo cha bao 2--0 kutoka kwa timu ya Simba wakati wa mchezo wa kirafiki uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar.

 

9 years ago

Habarileo

Ujenzi uwanja ndege Karume wanukia

MGOMBEA urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk Ali Mohamed Shein amesema mipango imekamilika ya kujenga kiwanja cha ndege cha Karume kilichopo Pemba kuwa na hadhi ya kimataifa.

 

10 years ago

BBCSwahili

Japan:Ujenzi wa uwanja wa Olimpiki wafutwa

Japan inasema kuwa itafutilia mbali mpango mzima wa ujenzi wa uwanja mpya wa kitaifa wa michezo ya maandalizi ya mashindano ya Olimpiki mwaka 2020, na kuuanza upya.

 

10 years ago

Habarileo

Ujenzi Uwanja wa Ndege wa Nyerere waendelea vizuri

UJENZI wa jengo la tatu la abiria katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Dar es Salaam, unaendelea vizuri. Hayo yalisemwa na Mkurugenzi Msaidizi wa Masuala ya Usalama wa Wizara ya Uchukuzi, Erasto Wapalila, jijini juzi.

 

11 years ago

Habarileo

Maalim Seif aridhishwa na ujenzi uwanja wa ndege

Maalim Seif Sharif HamadMAKAMU wa kwanza wa Rais Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad ameeleza kuridhishwa na kazi za ujenzi wa miradi mitatu ya uwanja wa ndege wa kimataifa wa Abeid Amaan Karume uliopo Zanzibar.

 

9 years ago

Mwananchi

Ahadi ya JPM ya ujenzi wa reli kuanza

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameanza ziara mkoani Kigoma huku akiahidi kuanza ujenzi wa reli mpya ya kisasa ya viwango vya ‘standard gauge’, itakayosaidia kuimarisha biashara ya kusafirisha mizigo kutoka Dar es Salaam kwenda nchi za Burundi na Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC), kupitia Bandari ya Kigoma.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani