Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Japan:Ujenzi wa uwanja wa Olimpiki wafutwa

Japan inasema kuwa itafutilia mbali mpango mzima wa ujenzi wa uwanja mpya wa kitaifa wa michezo ya maandalizi ya mashindano ya Olimpiki mwaka 2020, na kuuanza upya.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

Mazishi ya kiongozi wa kikosi cha wataalamu wa China katika mpango wa ushirikiano wa ujenzi wa uwanja wa taifa na uwanja wa Uhuru

 Mke wa marehemu Eng. QI XIN wa pili kutoka kulia akitoa heshima zake za mwisho katika mazishi ya mume wake ambaye alikuwa Kiongozi wa Kikosi cha Wataalam wa kichina katika mpango wa Ushirikiano katika ujenzi wa Uwanja wa Taifa na Uwanja wa Uhuru akiuaga mwili wa mpendwa wake katika mazishi yaliyofanyika jijini Dar es Salaam   Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Sihaba Nkinga wa kwanza kushoto akitoa heshima zake za mwisho kwa mwili wa marehemu Eng. QI XIN ambaye...

 

9 years ago

Habarileo

Simba SC kuanza ujenzi wa uwanja

UJENZI wa Uwanja wa Simba uliopo maeneo ya Bunju nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam, unatarajia kuanza mapema Januari mwakani chini ya Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili wa klabu hiyo, Zakaria Hanspope.

 

10 years ago

Dewji Blog

Tanzania, Japan watiliana saini ujenzi wa kituo cha ufundi stadi Ileje

1

Signing the grant contract, witnessed by Hon. Janet Mbene, Deputy Minister of Industry and Trade, and Hon. Rosemary Senyamule, Ileje District Commissioner. Front line from the left: Mr. Mussa Otieno, District Executive Director, Mr. Simon Mwango’nda, Executire Director of the recipient organisation, Integrated Rural Development Organisation, Mr. Kazuyoshi Matsunaga, Chargé d’affaires of the Embassy of Japan.

Na Mwandishi wetu

MKATABA wa Ujenzi wa kituo cha mafunzo ya ufundi stadi katika...

 

9 years ago

Habarileo

Ujenzi uwanja ndege Karume wanukia

MGOMBEA urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk Ali Mohamed Shein amesema mipango imekamilika ya kujenga kiwanja cha ndege cha Karume kilichopo Pemba kuwa na hadhi ya kimataifa.

 

10 years ago

Habarileo

Ujenzi Uwanja wa Ndege wa Nyerere waendelea vizuri

UJENZI wa jengo la tatu la abiria katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Dar es Salaam, unaendelea vizuri. Hayo yalisemwa na Mkurugenzi Msaidizi wa Masuala ya Usalama wa Wizara ya Uchukuzi, Erasto Wapalila, jijini juzi.

 

11 years ago

Habarileo

Maalim Seif aridhishwa na ujenzi uwanja wa ndege

Maalim Seif Sharif HamadMAKAMU wa kwanza wa Rais Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad ameeleza kuridhishwa na kazi za ujenzi wa miradi mitatu ya uwanja wa ndege wa kimataifa wa Abeid Amaan Karume uliopo Zanzibar.

 

10 years ago

Vijimambo

BALOZI WA JAPAN ASAINI MKATABA WA MRADI WA UJENZI WA KIWANDA CHA KUKAMULIA MAFUTA YA ALIZETI WILAYANI CHATO.

BALOZI wa Japan nchini Masaki Okada leo ametiliana saini na halmashauri ya wilaya ya chato mkoani geita ujenzi wa kiwanda cha kukamulia mafuta ya alizeti kitakachojengwa wilayani chato mkoani geita.Akizungumza katika hafla hiyo balozi Okada amesema serikali ya japan imeamua kutoa msaada wa dola za Marekani 95,124 sawa na shilingi milioni 165 za Tanzania kugharamia mradi huo.“Mradi huu ni wa kipekee katika miradi toka mfoko wa grant assistance for grassroots human security projects GGHSP...

 

5 years ago

Michuzi

CHINA YAANZA UJENZI UWANJA WA MPIRA UTAKAOGHARIMU DOLA BILIONI 1.7


Na Leandra Gabriel, Michuzi TV
WAKATI vizuizi vikipungua nchini China ikiwa ni sehemu ya kupambana na virusi vya Corona (Covid -19)  klabu moja ya mpira wa miguu nchini humo imeeleza nia yake ya kurudisha mambo katika hali ya kawaida.
Klabu ya Guangzhou Evergrande imetangaza kuanza kazi ya kujenga uwanja wa mpira utakaobeba watazamaji  100,000, na utakua uwanja mkubwa zaidi ulimwenguni.
Imeelezwa kuwa uwanja huo umejengwa katika umbo la ya aina ya lotus  utagharimu dola za kimarekani...

 

10 years ago

Vijimambo

BALOZI SEIF AKAGUA MAENDELEO YA AWALI YA UJENZI WA UWANJA WA MAO TSE TUNG

Eneo la Uwanja wa Michezo wa Mao Tse Tung likionekana kuwa katika maandalizi ya awali ya matayarisho ya ujenzi mpya unaotarajiwa kugharamiwa na Serikali ya Jamuhuri ya Watu wa China. Gari ya Kijiko likiwa katika harakati za uwekaji sawa eneo la Uwanja wa Mao Tse Tung ili kupatana udongo kwa ajili ya kufanyiwa utafiti wa kina kabla ya kuanza rasmi ujenzi wake. Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar kati kati akisalimiana na wataalamu wa Kichina wanaosimamia utafiti wa udongo katika uwanja wa Mao...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani