Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maalim Seif aridhishwa na ujenzi uwanja wa ndege

Maalim Seif Sharif HamadMAKAMU wa kwanza wa Rais Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad ameeleza kuridhishwa na kazi za ujenzi wa miradi mitatu ya uwanja wa ndege wa kimataifa wa Abeid Amaan Karume uliopo Zanzibar.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

maalim seif akagua maendeleo ya ujenzi uwanja wa ndege wa kimataifa wa amani karume, zanzibar

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, ameelezea kuridhishwa kwake na hatua iliyofikiwa katika ujenzi wa miradi mitatu inayoendelea kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume. 
Miradi hiyo inahusisha ukarabati na ujenzi wa njia za kupitia ndege wakati wa kuruka pamoja na sehemu ya maegesho ya ndege, ujenzi wa uzio wa eneo la uwanja wa ndege, pamoja na ujenzi wa jingo jipya la abiria (Terminal 2). 
Akizungumza katika ziara ya kutembelea miradi hiyo...

 

9 years ago

Vijimambo

MAKAMU WA KWANZA WA RAIS ZANZIBAR, MAALIM SEIF AKAGUA UWANJA WA NDEGE NA BANDARI YA MALINDI ZANZIBAR

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya ndege Zanzibar Bw. Said Ndubugani, akimueleza Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, juu ya hatua zinazochukuliwa na mamlaka hiyo katika kuimarisha viwanja vya ndege, alipofanya ziara ya kutembelea eneo hilo.Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akitembelea maeneo mbali mbali ya uwanja wa ndege wa Zanzibar katika ziara yake ya kutembelea eneo hilo.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe....

 

10 years ago

Michuzi

Balozi Seif Ali Idd akagua ujenzi wa Jengo jipya la Abiria wa usafiri wa Anga katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume, Zanzibar

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi wa Tatu kutoka kushoto akikagua maendeleo ya ujenzi wa jengo la Abiria { Terminal 11 } katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Zanzibar wa Abeid Amani Karume akiwa pamoja na uongozi wa Wizara ya Miundombinu na Mawasiliano Zanzibar. Kushoto ya Balozi Seif ni Katibu Mkuu Wizara ya Miundombinu na Mawasiliano Zanzibar Dr. Juma Malik Akio na Msimamizi wa ujenzi wa jengo la Abiria katika uwanja wa ndege wa Zanzibar upande wa Serikali ya...

 

5 years ago

Michuzi

UJENZI MRADI MKUBWA ENEO LA MAEGESHO YA NDEGE UWANJA WA NDEGE WAPAMBA MOTO ZANZIBAR

Kazi ya ujenzi wa mradi mkubwa wa eneo la maegegesho ya ndege kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar zimeanza kupamba moto baada ya kusita kwa muda mrefu.

Harakati za umwagaji wa zege katika sehemu za kupakia na kushukia abiria ziko katika hatua nzuri chini ya wahandisi wa kampuni ya kimataifa ya CRJ kutoka nchini China wakisaidiwa na wahandisi na washauri wazalendo waliobobea kutoka uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere wa Dar es Salam.

Makamu wa Pili wa...

 

9 years ago

Habarileo

Ujenzi uwanja ndege Karume wanukia

MGOMBEA urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk Ali Mohamed Shein amesema mipango imekamilika ya kujenga kiwanja cha ndege cha Karume kilichopo Pemba kuwa na hadhi ya kimataifa.

 

10 years ago

Habarileo

Ujenzi Uwanja wa Ndege wa Nyerere waendelea vizuri

UJENZI wa jengo la tatu la abiria katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Dar es Salaam, unaendelea vizuri. Hayo yalisemwa na Mkurugenzi Msaidizi wa Masuala ya Usalama wa Wizara ya Uchukuzi, Erasto Wapalila, jijini juzi.

 

9 years ago

Michuzi

Maalim seif ahutubia mkutano wa kampeni katika uwanja wa Masumbani jimbo la Chumbuni,

Na Khamis Haji, OMKR Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Wananchi CUF, Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad amesema akichaguliwa atakuza uwezo wa Serikali kujiongezea mapato na ataongeza kima cha chini cha mshahara hadi kufikia 400,000. Akihutubia mkutano wa hadhara wa kampeni katika uwanja wa Masumbani jimbo la Chumbuni, Maalim Seif amesema Sera ya CUF imeonesha maeneo mengi ya kukuza uchumi na kuziba mianya inayochangia kupotea mapato ya Serikali, hivyo hakuna kitakachozuia Serikali...

 

10 years ago

Vijimambo

BALOZI SEIF ATEMBELEA JENGO JIPYA LA ABIRIA UWANJA WA NDEGE ZANZIBAR

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi wa Tatu kutoka kushoto akikagua maendeleo ya ujenzi wa jengo la Abiria { Terminal 11 } katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Zanzibar wa Abeid Amani Karume akiwa pamoja na uongozi wa Wizara ya Miundombinu na Mawasiliano Zanzibar.Kushoto ya Balozi Seif ni Katibu Mkuu Wizara ya Miundombinu na Mawasiliano Zanzibar Dr. Juma Malik Akio na Msimamizi wa ujenzi wa jengo la Abiria katika uwanja wa ndege wa Zanzibar upande wa Serikali ya...

 

10 years ago

Vijimambo

BALOZI SEIF AKAGUA MAENDELEO YA AWALI YA UJENZI WA UWANJA WA MAO TSE TUNG

Eneo la Uwanja wa Michezo wa Mao Tse Tung likionekana kuwa katika maandalizi ya awali ya matayarisho ya ujenzi mpya unaotarajiwa kugharamiwa na Serikali ya Jamuhuri ya Watu wa China. Gari ya Kijiko likiwa katika harakati za uwekaji sawa eneo la Uwanja wa Mao Tse Tung ili kupatana udongo kwa ajili ya kufanyiwa utafiti wa kina kabla ya kuanza rasmi ujenzi wake. Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar kati kati akisalimiana na wataalamu wa Kichina wanaosimamia utafiti wa udongo katika uwanja wa Mao...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani