Video: Nikistaafu, nitapenda kuupanda mlima Kilimanjaro — Obama
Rais wa Marekani, Barack Obama amesema pindi akimaliza muhula wake wa pili, atapenda kuja Tanzania kwa mara ya pili na kuupanda mlima Kilimanjaro. Obama alisema hayo juzi kwenye mahojiano exlusive na kituo cha redio cha Capital FM cha Kenya. Mtangazaji wa kituo hicho, Olive Burrows alimuuliza swali la ni maeneo gani anayopenda kutembelea kipindi akienda […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
CloudsFM28 Jul
Nitapenda Kuupanda Mlima Kilimanjaro — Obama
Rais wa Marekani, Barack Obama amesema pindi akimaliza muhula wake wa pili, atapenda kuja Tanzania kwa mara ya pili na kuupanda mlima Kilimanjaro.
Obama alisema hayo juzi kwenye mahojiano mahsusi na kituo cha redio cha Capital FM cha Kenya.
Mtangazaji wa kituo hicho, Olive Burrows alimuuliza swali la ni maeneo gani anayopenda kutembelea kipindi akienda Kenya kama raia wa kawaida na Obama kusema angependa kutembea Masai Mara na Serengeti pamoja na kwenda kuukwea mlima mrefu zaidi barani...
10 years ago
MichuziWIZARA YA MALIASILI YABARIKI KUANZISHWA KWA MFUKO WA KULINDA MLIMA KILIMANJARO NA MLIMA MERU
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-PQLi7CFm3_0/VVQxeL0FhGI/AAAAAAAAPgk/ESbXHxt6Jnc/s72-c/E86A7406%2B(800x533).jpg)
HIFADHI YA MLIMA KILIMANJARO YATANGAZA OFA YA KUPANDA MLIMA HUO KWA WATALII WA NDANI WA AFRIKA MASHARIKI.
![](http://1.bp.blogspot.com/-PQLi7CFm3_0/VVQxeL0FhGI/AAAAAAAAPgk/ESbXHxt6Jnc/s640/E86A7406%2B(800x533).jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-nk0KZCcGQN4/VVQxgn_gTwI/AAAAAAAAPg8/7xN5938A0zA/s640/E86A7410%2B(800x533).jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-GlZpcsbrQw0/VVQxh9G8W4I/AAAAAAAAPhE/UPUw9RgUWu8/s640/E86A7429%2B(800x533).jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-enM6rRU2dM8/VVQxizBL0aI/AAAAAAAAPhM/p5osEa44hGU/s640/E86A7444%2B(800x533).jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-4aKvL6XrIiI/VVQxjbG9bzI/AAAAAAAAPhQ/ugq5vjzVRTI/s640/E86A7450%2B(800x533).jpg)
10 years ago
MichuziSERIKALI KILIMANJARO YAPONGEZA JITIHADA ZA WAFANYABIASHARA KUTANGAZA HIFADHI YA MLIMA KILIMANJARO
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-T822_ihh3YI/VQmZfanPRsI/AAAAAAAAM6g/VXWUfVWT2Ok/s72-c/11000684_10153157453085421_6232313785599446303_n.jpg)
MFANYABIASHARA MASHUHURI MIKOA YA ARUSHA NA KILIMANJARO VICENT LASWAI APANDA MLIMA KILIMANJARO
![](http://2.bp.blogspot.com/-T822_ihh3YI/VQmZfanPRsI/AAAAAAAAM6g/VXWUfVWT2Ok/s1600/11000684_10153157453085421_6232313785599446303_n.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-PqsBE1IXs88/VQmZguEwTaI/AAAAAAAAM60/U2q2gDdTXtE/s1600/11054409_10153157453355421_5880297756316236386_n.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-k4ExRAU62n8/VKy_RQnYhwI/AAAAAAACxMI/kRE0-N6myQQ/s72-c/innocent%2Bme.jpg)
VIJANA Kilimanjaro watakiwa kusimama imara na kudai fursa mbalimbali zikiwamo za kupewa kipaumbele katika ajira zinazotokana na mlima Kilimanjaro
![](http://3.bp.blogspot.com/-k4ExRAU62n8/VKy_RQnYhwI/AAAAAAACxMI/kRE0-N6myQQ/s1600/innocent%2Bme.jpg)
Kauli hiyo ilitolewa jana jijini na Naibu Kamanda wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), wilaya ya Moshi Vijijini, Innocent Melleck alipokuwa akizungumza na waandishi wahabari juu ya mkakati wa kupambana na wimbi la vijana walio mitaani kwa kukosa ajira katika mkoa wa Kilimanjaro . Melleck alisema anatarajia kuitisha...
9 years ago
Habarileo21 Aug
UN yapanda miti mlima Kilimanjaro
MASHIRIKA ya Umoja wa Mataifa yaliyopo nchini yameadhimisha miaka 70 ya kuundwa kwa chombo hicho kwa kupanda miti zaidi ya 2,000 katika miteremko ya mlima Kilimanjaro.
11 years ago
Habarileo17 Jun
Mlima Kilimanjaro wapoteza theluji
MLIMA Kilimanjaro umepoteza takribani asilimia 30 ya theluji kuanzia mwaka 1912 mpaka sasa, Bunge limeelezwa.
10 years ago
Habarileo03 Oct
Mjapan aliyepooza apanda Mlima Kilimanjaro
RAIA wa Japan , Eiju Murakami (65) aliyepooza upande wa kushoto, ameweza kupanda Mlima Kilimanjaro na kufika kituo cha Gillmans kwa kutumia siku sita. Murakami aliongozana na raia mwenzake wa nchi hiyo, Umori Kamji anayefanya shughuli zake za utalii katika miji ya Arusha na Moshi .