Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Video: Pia Mia — Touch

pm-touch

After hitting the beach with Chris Brown and Tyga (“Do It Again”), Pia Mia turns up the heat once again in the video for “Touch.” Directed by Dave Meyers (Janet Jackson, Missy Elliott), the smoldering clip finds the 19-year-old blonde beauty performing against the colorful backdrop of Venice, Calif.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Music: Pia Mia — Touch

Msanii Pia Mia baada ya kufanya vizuri na wimbo ‘Do It Again’ ambao amewashirikisha Chris Brown na Tyga, msanii huyo ametoa wimbo mpya unaitwa “Touch.” Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

11 years ago

GPL

PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI YA MASHINDANO YA DANSI MIA MIA

Majaji wa shindano la Dansi 100% wakifuatilia kwa makini kutoka kushoto ni Super Nyamwela,Queen Doreen na mtangazaji wa EATV, Lotus Kyamba.…

 

10 years ago

Bongo5

Niko sawa tu — asema Collo kwenye picha akiwa na noti za kutisha za dola mia mia!

Rapper wa Kenya, Collo anaweza kuwa amepotea kwa kiasi kwenye mawimbi ya redio na TV licha ya kuwa na ngoma mpya za hapa na pale, lakini haimaanishi kuwa amepigika. Pengine anataka kudhihirisha hilo kwa mashabiki wake ndio maana ameamua kupost picha Instagram akiwa ameshika lundo la kutisha la noti za dola mia mia! “Sina ubaya […]

 

10 years ago

GPL

WASHINDI WA DANCE MIA MIA WATEMBELEA GLOBAL

Washindi wa dance mia mia mwaka 2014, kundi la Wakali Sisi wakiwa katika ofisi ya Global Publishers. W akifafanua jambo kwa wanahabari wa Global (hawapo pichani) kupitia Global.…

 

10 years ago

Mwananchi

Yanga mia mia, Simba ni shiida!

Dar/mikoani. Yanga imerejea kileleni mwa Ligi Kuu baada ya kuichapa  Kagera Sugar kwa mabao 2-1, huku Mgambo JKT ikiendeleza ubabe wake kwa Simba kwa kuichapa 2-0 kwenye Uwanja wa Mkwakwani, Tanga.

 

11 years ago

GPL

MASHINDANO YA DANSI MIA MIA YAENDELEA

  Makundi mbalimbali yakiwa kwenye pozi. Kundi la Inter Crew toka Temeke wakionesha ufundi wao.…

 

10 years ago

Bongo5

Video: Wizkid azungumzia collabo yake na Chris Brown ‘African Bad Girl’, pia kufanya video na Tyga

Japokuwa Wizkid alishathibitisha kupitia Twitter kuwa amefanya collabo na staa wa R&B Chris Brown wa Marekani, staa huyo wa Nigeria amezungumzia collabo hiyo alipofanya mahojiano na DJ Abrantee wa Capital Xtra ya Uingereza Jumamosi iliyopita. Wizkid ambae amekua na urafiki na Breezy toka walipokutana na kutumbuiza pamoja Nigeria na Ghana miaka miwili iliyopita, amesema hivi […]

 

9 years ago

MillardAyo

Video ya H.Baba alivyozitoa tuzo zake za mwaka 2015… kaongea pia

Usiku wa Dec 20 2015 mastaa wa Bongo H.Baba pamoja na mke wake Flora Mvungi walizitoa tuzo zao za mwaka 2015 kama walivyofanya mwaka uliopita, H Baba amekua akisema tuzo anazozitoa yeye ni tuzo zisizo na upendeleo tofauti na tuzo nyingine ndio maana anaona asawazishe, tazama hapa chini. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa […]

The post Video ya H.Baba alivyozitoa tuzo zake za mwaka 2015… kaongea pia appeared first on TZA_MillardAyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani