Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Video: Show ya Shilole mbele ya Wazanzibari

Januari 2 2016 staa wa Bongo fleva na Bongo Movie Shilole aliungana na baadhi ya wasanii wenzake akiwemo Linah, Bonge la Nyau, Baba Levo, Bill Nass na wengine kisha kudondosha burudani kwa mashabiki wa Zanzibar. Hapa nimekusogezea full video ya show kuanzia mwanzo hadi mwisho, kuitazama bonyeza Play hapa chini. Unataka kutumiwa MSG za habari […]

The post Video: Show ya Shilole mbele ya Wazanzibari appeared first on TZA_MillardAyo.

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

Shilole: Msipende Kudandia Treni Kwa Mbele Mtagongwa

Katika hali ya kujiamini kabisa, jana kwenye kipindi cha  Televisheni  Cha Friday Night Live kinachorushwa na kituo cha East Africa Television (EAT), Mwanamama Shiole alifunguka na kuwataka baadhi ya watu na mashabiki wake ambao wamekuwa wakimshabulia yeye na mchumba wake Nuh Mziwanda kutokana na kitendo ya Shilole kumzaba kibao mchumbawake huyo mbele za watu.

Shilole akionhea kwa nyodo na kujiamini aliwataka watu waasipende kudandia treni kwa mbele mtagongwa , kwani watu wameshupalia ishu...

 

9 years ago

GPL

HEEE! SHILOLE, AUNT WAJISHEBEDUA NA VISERENGETI BOY MBELE YA JK

Waandishi Wetu ISHU! Katika kitu kinachoweza kutafsiriwa kama kituko, wasanii wawili wanaofanya vizuri kwenye filamu na Bongo Fleva, Aunt Ezekiel na Zuwena Mohamed ‘Shilole’ juzikati walionekana wakijishebedua na wapenzi wao wanaotajwa kuwa ‘majanki’ kuliko wao, mbele ya Rais Jakaya Kikwete wakati wa hafla ya fainali ya Kinondoni Talent Search, iliyofanyika katika ukumbi wa Kisanga, Millenium Tower,...

 

10 years ago

Dewji Blog

Yamoto Band wazindua video yao kwa bonge la show Maisha Club, hizi ni picha za show nzima

Usiku wa Kuamkia leo Yamoto Band ambao wanafanya vizuri sana katika anga la Muziki kwa sasa, wamepiga Bonge la show ndani ya New Maisha Club wakiwa wanazindua Video ya wimbo wao Mpya “Niseme nisiseme” video ambayo imefanywa na Pabro kutoka kampuni ya D360,

Raymond Msanii kutoka Tiptop Connection nae alikuwepo kutoa sapoti kwa Yamoto Band.

IMG_9221

 

10 years ago

Vijimambo

SHILOLE NA NUH MZIWANDA WATUA UBELGIJI TAYARI KWA SHOW YA JUMAMOSI 9.5.2015

 Wasanii wawili wanaotamba Bongo hivi sasa Shilole na Nuh Mziwanda wametua leo nchini Ubelgiji tayari kwa show yao ya jumamosi.Wakiwa na nyuso za furaha hotelini walipofikia wameahidi kufanya bonge la  show kwa pamoja.wameomba wapenzi wao wajitokeze kwa wingi kuja kushuhudia burudani.Nuh Mziwanda kushoto akiwa na Shilole a.k.a Shishi Baby wakiwa tayari kuwapagawisha wapenzi wao jumamosi hii hapo Antwerpen.
                                                 [picha na Maganga One...

 

10 years ago

GPL

NUH MZIWANDA NA SHILOLE WATUA NCHINI UBELGIJI TAYARI KWA SHOW YAO YA JUMAMOSI 9.5.2015

  Wasanii wawili wanaotamba Bongo hivi sasa Shilole na Nuh Mziwanda wametua leo nchini Ubelgiji tayari kwa show yao ya nguvu siku ya Jumamosi nchini Ubelgiji.Wakiwa na nyuso za furaha hotelini walipofikia wameahidi kufanya bonge la  show kwa pamoja.Wameomba wapenzi wao wajitokeze kwa wingi kuja kushuhudia burudani ya uhakika toka Bongo. Nuh Mziwanda kushoto akiwa na Shilole a.k.a Shishi Baby wakiwa tayari kuwapagawisha...

 

10 years ago

Dewji Blog

Shilole Shishi Baby atua Ubelgiji kwa kishindo…Ijumaa atafanya show Leuven na Jumamosi Brussel

DSCF9899

Furaha ilishika nafasi pale mwanadada Shilole alipowasili uwanja wa kimataifa wa ndege wa Zaventem jijini Brussel.

 Msanii Shilole akiwa na furaha baada ya kupokelewa na wenyeji wake uwanja wa ndege wa kimataifa wa Zaventem jijini Brussel. The Big Boss Mohammed akiwa na msanii Shilole muda mfupi tu baada ya kuwasili uwanjani Brussel 

Msanii Shishi Baby Shilole akipata picha na mmoja wa sapota wake bidada Latifa

 Chantel akiwa na msanii Shilole baby Shilole akipata picha na mmoja wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Yakhe wakimbia nini? Mjumbe Bunge la #Katiba adai Wazanzibari wakiitosa Bara watakosa makazi [VIDEO]

Hoja mpya kuhusu mustakabali wa Muungano yaibuka leo katika Bunge Maalum la Katiba linaloendelea mjini hapa.

 

10 years ago

Bongo5

New Video: Shilole — Namchukua

Video mpya kutoka kwa Shilole wimbo unaitwa “Namchukua” video imeongozwa na Kevin Bosco Jnr kutoka Kenya

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani