VIDEO YA SIKU: CHRIS BROWN - LOYAL (EXPLICIT) FT. LIL WAYNE, TYGA
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo504 Feb
New Video: Chris Brown & Tyga – Ayo (Explicit)
Chris Brown na Tyga wametoa video mpya ya wimbo wao “Ayo” ambao ndio wa kwanza kutoka kwenye project yao ya pamoja “Fan of a Fan: The Album”. Album hiyo imepangwa kutoka February 24.
9 years ago
Bongo528 Sep
Video: Chris Brown — Liquor / Zero (Explicit Version)
Msanii Chris Brown ameachia video mbili kwa pamoja ‘Liquor & Ziro’ nyimbo hizi zitakuwepo kwenye Album yake mpya ‘Loyality’ Nyimbo zote hizi zipo kwa mfumo wa video moja yenye urefu wa dakika 9 Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube […]
9 years ago
Bongo515 Dec
Video: Chris Brown – Back To Sleep (Explicit Version
![back3](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/back3-300x194.jpg)
Staa wa muziki wa R&B, Chris Brown ameachia video mpya ya single inaitwa “Back To Sleep”, Zikiwa zimebaki siku chache kufikia uzinduzi wa album yake mpya,”Royalty” hii itakuwa album yake ya saba ya Chris tarehe 18 December 2015, tarehe ambayo album hiyo itakuwa sokoni.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
9 years ago
Africanjam.ComNEW VIDEO: CHRIS BROWN - PICTURE ME ROLLIN' (Explicit Version)
Africanjam is website that was launched in December 2013 (with another domain) and on April 2014 the new domain Africanjam(dot)com came into use. It was found by John Kapela who is currently in Dar es Salaam Tanzania. This site provides news from Africa and all over the world in Politics, Sports and Entertainment. We also provide Technology tips, some Amazing Facts as well as Football updates from all over the world. Visit this site everyday for being in touch with everything happening in...
10 years ago
Bongo509 Oct
Video: Wizkid azungumzia collabo yake na Chris Brown ‘African Bad Girl’, pia kufanya video na Tyga
Japokuwa Wizkid alishathibitisha kupitia Twitter kuwa amefanya collabo na staa wa R&B Chris Brown wa Marekani, staa huyo wa Nigeria amezungumzia collabo hiyo alipofanya mahojiano na DJ Abrantee wa Capital Xtra ya Uingereza Jumamosi iliyopita. Wizkid ambae amekua na urafiki na Breezy toka walipokutana na kutumbuiza pamoja Nigeria na Ghana miaka miwili iliyopita, amesema hivi […]
9 years ago
GPL14 Nov
9 years ago
Bongo506 Oct
Lil Wayne adai Birdman amewaibia Drake, Nicki Minaj na Tyga mkwanja mrefu
Ugomvi kati ya Young Money na Cash Money unaendelea kuwa mkubwa zaidi baada ya Lil Wayne kutoa madai mapya. Kwa mujibu wa mtandao wa TMZ, Wayne anadai kuwa na maelezo kutoka kwa wawakilishi wa Drake na Tyga yakisema wameibiwa fedha nyingi. Kwa upande wa Nicki Minaj, anadai kuwa Young Money imemfanyia uhuni kwa kushindwa kuwalipa […]
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania