Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


VIFAA WANANCHI WA JIMBO LA RAHALEO

Wanafunzi wa Skuli ya msingi Rahale wakimpokea Waziri wa Uwezeshaji Ustawi wa Jamii Vijana Wanawake na Watoto Mhe Zainab Omar alipowasili katika viwanja vya Skuli hiyo kukabidhi Vifaa viliotolewa na Mwakilishi wa Rahaleo kwa Wananchi wa jimbo hilo.Waziri wa Uwezeshaji Ustawi wa Jamii Vijana Wanawake na Watoto Mhe. Zainab Omar akiwasili katika viwanja vya Skuli ya Msingi Rahaleo kuhudhuria hafla ya kukabidhi Vifaa kulia Mwakilishi wa Rahaleo na kushoto Mwenyekiti wa Kamati ya Skuli ya Rahaleo...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Mwakilishi wa Jimbo la Rahaleo Zanzibar akabidhi vifaa mbalimbali kwa Skuli ya Rahaleo

Mwakilishi wa Jimbo la Rahaleo Mhe Nassor Salim Jazira akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi Vifaa kwa Wananchi wa Jimbo lake iliofanyika katika Skuli ya Msingi Rahaleo Zanzibar.Waziri wa Uwezeshaji Ustawi wa Jamii Vijana Wanawake na Watoto Mhe. Zainab Omar, akizungumza na Wananchi wa Jimbo la Rahaleo na wanafunzi wa skuli hiyo katika hafla ya kukabidhi vifaa vilivyotolewa na Mwakilishi wa Jimbo hilo Mhe. Nassor Salim Jazira.
Waziri wa Uwezeshaji Ustawi wa Jamii Vijana Wanawake na Watoto...

 

10 years ago

Vijimambo

Kamanda wa Jimbo la Chumbuni Afutarisha Wananchi wa Jimbo hilo

Kamanda wa Jimbo la Chumbuni UVCCM Ndg Ussi Salum Pondeza Hanjad akikaribisha wageni wake katika futari aliowaandalia Wananchi wa Chumbuni ikiwa ni kawaida yake kila mwaka hujumuika na Wananchi hao katika futari katika mwezi mtukufu wa ramadhani.Wananchi wa Chumbuni wakijumuka katika futari ilioandakliwa na Kamanda Hamjad katika viwanja tawi la CCM Muembemakumbi Zanzibar.
                Wananchi wakijumuika katika futari ilioandaliwa kwa ajili yao.Mzee wa Chumbuni akitowa shukrani wakati wa...

 

9 years ago

Michuzi

Mgombea Ubunge Jimbo la Chumbuni Ussi Salum Pondeza AMJADI,Awahutubia Wananchi wa Jimbo Hilo katika Mkutano Wake wa Kampeni Viwanja vya Mabanda ya Ngombe Chumbuni Unguja.

Wagombea Ubunge Uwakilishi na Udiwani wakiwapungia mikono Wananchi waliohudhuria mkutano huo wa kampeni wakati msoma utenzi akitaja majina ya Wagombea.Wanachama wa CCM wakishangilia wakati wa mkutano huo wa Kampeni ya Jimbo la Chumbuni Unguja.KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

 

10 years ago

Michuzi

Dkt. Shein Agawa Vifaa vya Michezo Jimbo la Uzini

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimkabidhi Kikombe Mwenyekiti wa Jimbo la Uzini CCM Ali Shaaban wakati hafla ya Sherehe ya kukabidhi vifaa vya Michezo kwa Timu 40 za Jimbo la Uzini vilivyotolewa na Mwakilishi wa Jimbo Mohamed Raza katika uwanja wa Mpira Bambi leo.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimkabidhi Mahmoud Ame seti ya jezi wakati hafla ya Sherehe ya kukabidhi vifaa vya Michezo kwa Timu 40 za Jimbo...

 

9 years ago

Michuzi

Mbunge wa Jimbo la Chumbuni aanza Kutekeleza Ahadi Zake kwa Wananchi wa Jimbo la Chumbuni kwa Ujenzi wa Ukuta Kituo cha Afya Chumbuni

Mbunge wa Jimbo la Chumbuni Zanzibar na Kamanda wa Vijana Jimbo la Chumbuni Mhe. Ussi Salum Pondeza AMJAD akiwahutubia Vijana wa UVCCM Tawi la Chumbuni wakati wa Ziara ya Katibu Mkuu wa Vijana Mhe Shaka Hamdu Shaka kutembelea Jumuiya za Vijama katika Majimbo ya Zanzibar.Vijana wa CCM wakimsikiliza Mbunge wao wakati wa mkutano ziara ya Katibu Mkuu wa UVCCM Tanzania Mhe Shaka Hamdu Shaka,mkutanom huo wa Vijana umefanyika tawi la CCM Chumbuni KarakanaMbunge wa Chumbuni Mhe Ussi Salum Pondeza...

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO JIMBO LA UZINI

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi mbali mbali wakati alipowasili katika viwanja vya Mpira Bambi katika sherehe ya kukabidhi vifaa vya Michezo kwa kwa Timu za Jimbo la UziniRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi mbali mbali wakati alipowasili katika viwanja vya Mpira Bambi katika sherehe ya kukabidhi vifaa vya Michezo kwa kwa Timu za Jimbo la Uzini.Mwakilishi wa...

 

9 years ago

Mwananchi

Wananchi wateketeza vifaa vya kupiga kura Sumbawanga

Watu wapatao 200 wameteketeza  kwa moto vifaa vya kupiga kura  huku wengine wakiwajeruhi wasimamizi wa uchaguzi kwa kile kinachoonekana kuwa ni hofu ya kusambazwa kwa kura feki.

 

5 years ago

Michuzi

WANANCHI WILAYANI MWANGA WATAKIWA KUVITUNZA VIFAA VYA KUJIKINGA NA CORONA

Charles James, Michuzi TV

WANANCHI wametakiwa kuvitunza na kuvithamini vifaa vya kujikinga na maambukizi ya ugonjwa wa Corona vinavyotolewa na wadau mbalimbali nchini katika kusaidia kujikinga na ugonjwa huo.

Kauli hiyo imetolewa wilayani Mwanga Mkoani Kilimanjaro na Mkurugenzi wa Taasisi ya Dk Msuya, Dk Ombeni Msuya wakati akikabidhi mashine za kisasa za kunawia mikono kwenye Misikiti na Zahanati wilayani humo.

Taasisi hiyo ya Dk Msuya imekua ikiiunga mkono serikali katika sekta mbalimbali...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Walimu Rahaleo walalamika

 WALIMU wa shule ya msingi ya Viziwi Rahaleo, iliyopo Manispaa ya Mtwara/Mikindani, wanalalamikia mazingira magumu ya kazi kutokana na kutumia chumba kimoja cha darasa kama ofisi na wanafunzi tangu kuanzishwa kwake...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani