Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


VIJANA NCHINI TANZANIA WAMTAJA MWIGULU NCHEMBA KUWA NDIYE RAIS MPYA WANAYEMTEGEMEA,ASIFIKA KWA KUSIMAMIA KIDETE MASLAHI YA NCHI

 Nyota ya Mwigula yazidi kung'ara urais
*Vijana wataka chama chake kimpe nafasi

Claudia Kayombo
WAKATI vyama vya siasa havijatangaza majina ya wagombea urais katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu, vijana mbalimbali wameanza kutoa maoni ya nani anafaa kumrithi Rais Jakaya Kikwete.

Vijana wengi wamesema kuwa, Mbunge wa Iramba Magharibi, Mwigulu Nchemba, ndiye anayestahili kumrithi Rais Kikwete kutokana na utendaji wake wa kazi.

Hatua ya vijana kumtaja Nchemba, ni mwendelezo...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MWIGULU NCHEMBA ACHOTA BARAKA KWA MAMA MARIA NYERERE KUELEKEA SAFARI YAKE YA URAIS NCHINI TANZANIA

Mwigulu Nchemba akiwa na Mama Maria Nyerere hii leo Kijijini Butiama,Nyumbani kwa Hayati Baba wa Taifa Mwl.Julius Kambarage Nyerere alipokwenda kusalimia .Mwigulu Nchemba akiweka shada la Maua kwenye Kaburi la Baba wa Taifa Mwl.Nyerere,Nyerere anaendelea kukumbukwa kwa kuwa Muasisi wa Taifa letu na Kiongozi aliyeweka Misingi Imara ya Tanzania tuliyonayo sasa.
Mh.Mwigulu Nchemba akiteta jambo na Mama Maria nyerere hii leo,Nyumbani Butiama.Wakati wa kuchota Baraka za Mama Maria nyerere akiwa...

 

10 years ago

Vijimambo

FRELIMO WATUA NCHI TANZANIA NA KUKUTANA NA UONGOZI WA CCM TAIFA,MWIGULU NCHEMBA AZUNGUMZA NAO

Kushoto ni Balozi wa Msumbiji Nchini Tanzania,Katikati Mh:Mwigulu Nchemba Naibu katibu Mkuu CCM Bara na Kulia ni Bi,Nyeleti Mondlane ambaye ni Mjumbe wa kamati kuu ya chama cha FRELIMO Nchini Msumbiji.Ujumbe huu kutoka Msumbiji ulitembea Ofisi za CCM lumbumba jana Tar.18/09/2014 CCM na FRELIMO ni Vyama rafiki na vyote vimeshiriki katika harakati za Ukombozi.Hivi sasa Nchini Msumbiji wapo kwenye Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa RAIS,ambapo FRELIMO imemsimamisha Filipe Nyussi kuwa Mgombe ...

 

10 years ago

Vijimambo

WANAKIGOMA WAKESHA WAKIMSUBIRI MWIGULU NCHEMBA ILIWAMDHAMINI KWENYE MBIO ZA URAIS NCHINI TANZANIA


Ndugu Mwigulu Nchemba mgombea Urais ndani ya CCM akionesha Orodha ya WanaCCM waliomdhamini mkoa wa Kigoma hii leo.Mwigulu Nchemba akisalimiana na WanaCCM walioamua kwa dhati kumdhamini iliaweze kupitishwa na Chama cha Mapinduzi kugombea nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Baadhi ya Wadhamini wa Mwigulu Nchemba hapa Kigoma,Wadhamini hawa wametumiza Zaidi ya Masaa 7 kumsubiri Mwigulu Nchemba aliyekuwa akitokea Mkoa wa Kagera.Awali walitangaziwa kuwa Mwigulu atawasili saa 7...

 

5 years ago

Michuzi

RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AMUAPISHA DKT. MWIGULU LAMECK NCHEMBA KUWA WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA. CHATO MKOANI GEITA


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mbunge wa Iramba Magharibi) kuwa Waziri wa Katiba na Sheria. Hafla iliyofanyika Wilayani Chato Mkoani Geita , Mei 03, 2020.Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mbunge wa Iramba Magharibi) akila kiapo mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli kuwa Waziri wa Katiba na Sheria. Hafla iliyofanyika Wilayani Chato Mkoani Geita , ,...

 

10 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AMTEUA JOHN HAULE KUWA BALOZI MPYA WA TANZANIA NCHINI KENYA

Balozi mpya wa Tanzania nchini Kenya, Mhe. John Michael Haule.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani