Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


VIJANA WAOMBA KUUNGWA MKONO KATIKA VIKUNDI WANAVYOUNDA HAPA NCHINI

Mwanzilishi wa kikundi cha Tanzania Talents Organisation, Isaya  Msabila akizungumza na mwandishi wetu leo jijini Dar es Salaam katika eneo wanalofanyia mazoezi kata ya Kwembe jimbo la Kibamba. Kikundi hicho cha sanaa za maigizo na ngoma asilia hapa nchini ambapo wameungana vijana 26 ili kupunguza idadi ya vijana wasio na ajira wameona kujikusanya na kufanya maigizo na ngoma asilia ili kujikwamua kiuchumi.Vijana wa kikundi cha maigizo na ngoma asilia cha Tanzania Talents Organisation wakiwa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Kausta waomba kuungwa mkono shule za kata

UMOJA wa wanafunzi wa vyuo vikuu Tanzania kutoka mkoani Kagera (Kausta), umewaomba wadau wa sekta mbalimbali kujitokeza kuwaunga mkono ili waweze kwenda kujitolea katika shule za kata. Ombi hilo lilitolewa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Klabu za Ukimwi zaomba kuungwa mkono

SERIKALI imetakiwa kuvisaidia vikundi mbalimbali vinavyojitolea katika mapambano dhidi ya maambukizi ya virusi vya Ukimwi (VVU), ili viweze kutoa elimu katika jamii dhidi ya ugonjwa huo. Akizungumza jijini Dar es...

 

11 years ago

Mwananchi

Ukawa wataka kuungwa mkono Katiba Mpya

Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) nje ya Bunge wamewaomba wananchi kuwaunga mkono katika harakati za kudai Katiba Mpya yenye kujali masilahi ya Watanzania wote.

 

10 years ago

Michuzi

NHC LAFANYA UHAKIKI WA VIKUNDI VYA VIJANA KATIKA MKOA WA LINDI NA MTWARA

Uhakiki wa vikundi vya vijana vilivyopewa msaada wa mashine na NHC ili kujiajiri na kusaidia wananchi kupata matofali ya kujengea nyumba bora umeanza katika Mikoa mbalimbali ukianzia na Mkoa wa Lindi na Mtwara. Katika hali isiyotarajiwa Mkoa wa Mtwara ambao kwa muda mrefu umekuwa ukililia kuletewa maendeleo umeshindwa kutumia fursa ya msaada wa mashine kwa vijana waliyopewa na NHC hali iliyolifanya Shirika kutwaa baadhi ya mashine ili zipewe vikundi vingine vinavyofanya vizuri Fuatilia...

 

9 years ago

Michuzi

MCHAKAMCHAKA WA MWIGULU NCHEMBA WATUA SIMANJIRO,KONDOA NA KITETO,CCM YAENDELEA KUUNGWA MKONO KWA KISHINDO

Mjumbe wa timu ya Ushindi ya Chama cha Mapinduzi Ndg.Mwigulu Nchemba akiwasili Jimbo la Simanjiro na kupokelewa na Mbunge mtarajiwa wa Jimbo hilo Ndg.Ole Sendeka mapema hii leo.Mwigulu Nchemba akimnadi Ole sendeka kwa wananchi wake,Kubwa ni Ujasiri wa Ole sendeka kwenye kutetea maslahi ya taifa,Ufuatiliaji wa Miradi ya maendeleo kama barabara zinazokwenda kujengwa kwa kiwango cha rami kuunganisha na mikoa inayopakana na SImanjiro.Ole Sendeka akizungumza na Wananchi wake wa kata ya Engesbert...

 

5 years ago

Michuzi

WANANCHI WATAKIWA KUIUNGA MKONO SERIKALI KWA KUBORESHA HUDUMA ZA MATIBABU YA KIBINGWA HAPA NCHINI


Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Godwin Mollel akiwajulia hali wagonjwa wanaotibiwa katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakati wa ziara yake ya kikazi aliyofanya katika Taasisi hiyo leo jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuangalia huduma za matibu ya moyo zinazotolewa.


Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Godwin Mollel akimsikiliza Msimamizi wa wodi ya watoto Afisa Muuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI)...

 

10 years ago

Michuzi

Vijana nchini watakiwa kujitokeza katika maadhimisho ya Siku ya Vijana Dunia

Na Frank Shija, WHVUM
Vijana watakiwa kujitokeza katika maadhimisho ya Siku ya Vijana Duniani ambayo kitaifa yatafanyika tarehe 12 Agosti jijini Dar es Salaam huku kauli mbiu ya mwaka huu ikiwa ni “Ushiriki wa Vijana katika masuala ya Kiraia”
Wito huo umetolewa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi. Sihaba Nkinga alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam.
Bibi Sihaba amesema kuwa maadhimisho hayo yamekuwa yakifanyika kila mwaka...

 

9 years ago

Michuzi

AIRTEL FURSA YAENDELEA KUKWAMUA VIJANA HAPA NCHINI: Vijana wa Tanga wanufaika na mafunzo ya ujasiriamali kupitia Airtel Fursa

Wafanyabishara wadogo na wa kati zaidi ya 300 waliopo katika wilaya mbali mbali mkoani Tanga wameongezewa ujuzi wa elimu ya biashara ili waweze kufanya shughuli zao kwa ufanisi na kuweza kuongezaza kipato chao na kuchangia pato la taifa.  Kampuni ya Airtel Tanzania, kupitia mpango wake wa “Airtel Fursa Tunakuwezesha” imewapatia mafunzo ya ujasiriamali vijana wa manispaa ya Tanga kwa lengo la kuwawezesha kuboresha uendeshaji biashara na kukuza mitaji yao katika warsha iliyofanyika katika...

 

9 years ago

Michuzi

AIRTEL FURSA YAENDELA KUINUA VIJANA HAPA NCHINI

 Meneja wa Huduma kwa Jamii wa Airtel, Hawa Bayumi (kulia),akimkabidhi kijana Iddy Abdallah Chilumba, msaada wa mashine yakubangulia korosho vikiwemo meza, vifaa mbalimbali na pikipiki mpya,kupitia mpango wa Airtel ‘Fursa Tunakuwezesha’, katika haflailiyofanyika kwenye sehemu yake ya biashara iliyokarabatiwa na Airtelkatika Mtaa wa Relwe, Manispaa ya Mtwara jana. Wanaoshuhudia ni Meneja wa Airtel Mtwara, Bartholomew Masatu (wa pili kushoto), Meneja wa Huduma kwa Wateja wa Airtel, Happy John...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani