Vijisenti vyamfikisha kortini
SOMOE NKHOMEE, TUDARCO
MKAZI wa Dar es Salaam, Ally Mohammed, amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Mwanzo Kariakoo, akikabiliwa na shitaka la wizi wa sh. 55,000.
Mohammed (22), alifikishwa mahakamani hapo juzi na kusomewa shitaka na karani Lucy Rutabanzibwa, mbele ya Hakimu Mkazi Christina Luguru.
Lucy alidai mshtakiwa alitenda kosa hilo Septemba 4, mwaka huu, saa nane alasiri maeneo ya soko la samaki la Ferry, wilayani Ilala.
Alidai mshitakiwa aliiba sh 55,000 mali ya Khadija Hussein,...
Uhuru Newspaper
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima16 Jan
Hivi Mbowe ni wa kuhongwa vijisenti?
KIONGOZI wa watuhumiwa wa uasi na usaliti ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Zitto Kabwe, ameendelea kumshambulia kwa tuhuma za uongo Mwenyekiti wa taifa wa chama hicho, Freeman...