Vikwazo:Sudan Kusini yaishtumu UN
Sudan Kusini imeushtumu Umoja wa Mataifa kwa kutishia kuwawekea vikwazo.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili24 Apr
UN yatishia vikwazo Sudan Kusini
Nchi wanachama wa baraza la usalama la Umoja wa Mataifa wanatafakari kuwawekea vikwazo wapinzani katika mzozo wa Sudan Kusini.
10 years ago
BBCSwahili31 Jan
Sudan Kusini yatishiwa vikwazo
AU yasema pande zote mbili za mzozo wa Sudan Kusini zitawekewa vikwazo iwapo hazipatani
9 years ago
BBCSwahili16 Sep
Urusi yazuia vikwazo vya UN Sudan Kusini
Urusi na Angola imezuia UN kuwekea vikwazo Paul Malong na Johnson Olony kwa mchango wao katika mapigano nchini Sudan Kusini.
10 years ago
BBCSwahili02 Jul
Vikwazo kwa makamanda wa S Sudan
Umoja wa Mataifa umeweka vikwazo hivyo dhidi ya makanda sita Sudan Kusini
10 years ago
BBCSwahili05 Nov
Sudani Kusini kukumbwa na vikwazo
Marekani imetoa Pendekezo la maazimio ya kuweka vikwazo kwa baadhi ya Watu wanaozorotesha hali ya siasa nchini Sudani Kusini
10 years ago
VijimamboMKATABA wa kujenga tena umoja na kukiunganisha upya Chama Tawala cha Sudan Kusini cha Sudan People’s Liberation Movement (SPLM)
MKATABA wa kujenga tena umoja na kukiunganisha upya Chama Tawala cha Sudan Kusini cha Sudan People’s Liberation Movement (SPLM) ulitiwa saini usiku wa jana, Jumatano, Januari 21, 2015, katika sherehe ya kufana iliyofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Hoteli ya Ngurdoto, Wilaya ya Arumeru, Mkoa wa Arusha.
Mkataba huo unaojulikana kama Agreement on the Re-unification of Sudan People’s Liberation Movement umepongezwa kuwa ni hatua muhimu katika kulitoa taifa changa la Sudan Kusini katika hali...
Mkataba huo unaojulikana kama Agreement on the Re-unification of Sudan People’s Liberation Movement umepongezwa kuwa ni hatua muhimu katika kulitoa taifa changa la Sudan Kusini katika hali...
10 years ago
MichuziUtiwaji saini mkataba wa kujenga tena umoja na kukiunganisha upya Chama Tawala cha Sudan Kusini cha Sudan People’s Liberation Movement (SPLM)
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza utiaji wa saini. Kutoka kulia ni Mhe. Salva Kiir Mayardit Rais wa Sudan Kusini ambaye pia ni Mwenyekiti wa SPLM na anayeongoza kundi linalojulikana kama SPLM in Government (SPLM-IG), Mhe Dkt. Riek Machar ambaye alikuwa Makamu Mwenyekiti wa SPLM na pia aliyekuwa Makamu wa Rais wa Sudan Kusini anayeongoza kundi la SPLM in Opposition (SPLM-IO) na Dkt. Deng Alor Kuol ambaye anaongoza kundi la SPLM Leaders- Former Detainees (SPLM Leaders – FD). Nyuma yao ni...
10 years ago
GPLUtiwaji saini mkataba wa kujenga tena umoja na kukiunganisha upya Chama Tawala cha Sudan Kusini cha Sudan People’s Liberation Movement (SPLM) jijini Arusha
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifurahia wakati Rais Salva
Kiir Mayardiy wa Sudan ya Kusini (kushoto) na Makamu wa Rais wa zamani
wa Sudan Dkt Riek Machar Teny (wa pili kulia) wakipeana mikono na
kubadilishana nyaraka baada ya kutia saini mkatana wa makubaliano ya
kukiunganisha upya chama cha SPLM cha Sudani Kusini katika hoteli ya…
...
11 years ago
BBCSwahili06 Apr
Rwanda yaishtumu Ufaransa kuhusu mauaji
Serikali ya Ufaransa imetangaza kuwa inajiondoa katika maadhimisho ya miaka 20 tangia mauaji ya halaiki nchini Rwanda.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania