VIONGOZI WA KAMATI ZA AFYA ZA SHEHIYA WAPATIWA MAFUNZO JUU YA MIKAKATI YA AFYA YA JAMII ZANZIBAR
MKUU wa Wilaya wa Magharibi, Hassan Mussa Takrima amewataka watendaji wa wizara ya afya kushirikiana na masheha katika kuelimisha wananchi juu ya utekelezaji wa mpango wa afya kwa jamii ili uweze kutatua changamoto za kifya nchini.
Amesema kuwa endapo mpango huo ukihamasishwa kwa jamii utaweza kuwasaidia wananchi katika kujikwamua na matatizo ya kujikinga na maradhi mbalimbali yanayojitokeza katika maeneo yao .
Akizungungumza katika ufunguzi wa mafunzo juu ya mkakati wa afya ya jamii...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi10 years ago
MichuziNAIBU WAZIRI WA AFYA ZANZIBAR MAHMOUD THABIT KOMBO AFUNGA MAFUNZO YA SIKU 10 YA MFUMO WA UKUSANYAJI TAARIFA ZA AFYA
11 years ago
MichuziRC RUVUMA AWATAKA VIONGOZI KAMATI YA FEDHA ,UCHUMI NA MIPANGO NYASA KUHAMASISHA WANANCHI KUJIUNGA NA MFUKO WA AFYA YA JAMII (CHF )
mkuu wa mkoa wa Ruvuma Said...
11 years ago
MichuziWanafunzi wapatiwa mafunzo ya usalama na Afya mahala pa kazi na barabarani
11 years ago
GPLWANAFUNZI WAPATIWA MAFUNZO YA USALAMA NA AFYA MAHALA PA KAZI NA BARABARANI
11 years ago
Michuziwaendesha bodaboda lindi wapatiwa mafunzo, wapima afya kwa hiari
9 years ago
MichuziSERIKALI YAHAIDI KUZIDI KUPIGA JEKI WAFANYAKAZI WA AFYA YA JAMII KUBORESHA AFYA YA JAMII VIJIJINI
Akizungumza wakati wa ufunguzi wa semina ya wadau wa mradi wa mafunzo ya wafanyakazi wa afya ya jamii (Community Health Worker Learning Agenda Project - CHW-LAW) jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi Mtendaji (idara ya uzazi na afya ya mtoto)...
5 years ago
MichuziWATAALAMU WA AFYA ENDELEZENI USIMAMIZI SHIRIKISHI WA AFYA MAZINGIRA SHULENI NA KWENYE JAMII-DKT.GWAJIMA
Naibu Katibu Mkuu akizungumza na uongozi pamoja na wananchi mara baada yakukagua kituo hicho cha Afya kilicho pokea kiasi cha Mil.200 kwaajili ya ujenzi huo (Picha zote na OR-TAMISEMI)
Naibu Katibu Mkuu OR-TAMISEMI, anayeshughulikia Afya, Dkt. Dorothy Gwajima akipata chakula na kuhakiki ubora wa chakula...