Wanafunzi wapatiwa mafunzo ya usalama na Afya mahala pa kazi na barabarani

Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Naibu Kamishna wa Polisi Mohamed Mpinga akizungumza wakati wa semina ya mafunzo ya usalama mahala pa kazi na usalama barabarani iliyoandaliwa na Vodacom Tanzania kwa wanafunzi wa shule za msingi Oyster Bay, Msasani na Mbuyuni. Kulia ni Mkuu wa Idara ya Usalama, Afya na Mazingira wa Vodacom Karen Lwakatare.
Meneja wa Mamlaka ya Usalama na Afya mahala pa kazi (OSHA) kanda ya Pwani Jerome Materu akizungumza wakati wa semina ya mafunzo ya usalama mahala...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
WANAFUNZI WAPATIWA MAFUNZO YA USALAMA NA AFYA MAHALA PA KAZI NA BARABARANI
10 years ago
MichuziSSRA yashiriki maonesho ya Siku ya Usalama na Afya mahala pa kazi, mjini Dodoma
11 years ago
Dewji Blog01 May
Baraza la wakala wa Usalama na Afya mahala pakazi (OSHA) lazinduliwa
Naibu Waziri wa kazi na ajira Dr. Makongoro Mahanga, akiwa anakaribishwa na Henry Mpande ambaye ni Mwenyekiti wa Hoteli ya Kitalii ya Millennium iliyoko katika ufukwe wa Bahari ya Hindi mjini Bagamoyo Mkoa wa Pwani ambapo mkutano wa baraza la wakala wa usalama na afya katika mahala pakazi OSHA ulipofanyikia.
Naibu Waziri wa kazi na ajira Dr. Makongoro Mahanga, akibadilishana mawazo na Mtendaji Mkuu wa Wakala wa usalama na afya mahala pa kazi OSHA Dr. Akwilina Kayumba baada ya kuzindua...
11 years ago
MichuziVIONGOZI WA KAMATI ZA AFYA ZA SHEHIYA WAPATIWA MAFUNZO JUU YA MIKAKATI YA AFYA YA JAMII ZANZIBAR
Amesema kuwa endapo mpango huo ukihamasishwa kwa jamii utaweza kuwasaidia wananchi katika kujikwamua na matatizo ya kujikinga na maradhi mbalimbali yanayojitokeza katika maeneo yao .
Akizungungumza katika ufunguzi wa mafunzo juu ya mkakati wa afya ya jamii...
11 years ago
Michuzi.jpg)
BARAZA LA WAKALA WA USALAMA NA AFYA MAHALA PAKAZI (OSHA) LA ZINDULIWA MJINI BAGAMOYO
.jpg)
.jpg)
10 years ago
Michuzi
WANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI MLIMANI WAPATIWA MAFUNZO.


10 years ago
Michuzi
WAKANDARASI WAASWA KULINDA AFYA ZA WAFANYAKAZI MAHALA PA KAZI-OSHA



11 years ago
Michuzi.jpg)
waendesha bodaboda lindi wapatiwa mafunzo, wapima afya kwa hiari
11 years ago
GPLAIRTEL, BARAZA LA USALAMA BARABARANI KUHAMASISHA USALAMA BARABARANI MSIMU WA SIKUKUU
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10