SSRA yashiriki maonesho ya Siku ya Usalama na Afya mahala pa kazi, mjini Dodoma
Ofisa Uhusiano na Uhamasishaji wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Fulgence Sebera akimpatia zawadi Naibu Waziri wa Kazi na Ajira, Dk. Makongoro Mahanga, wakati alipotembelea banda la mamlaka hiyo katika maonesho hayo, mjini Dodoma, yaliyofanyika kuanzia 26 - 28 April 2015. Ofisa Mwandamizi wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Utawala na Rasilimaliwatu, Amina Ally (kushoto) akimuaga Naibu Waziri wa Kazi na Ajira, Dk....
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziWanafunzi wapatiwa mafunzo ya usalama na Afya mahala pa kazi na barabarani
11 years ago
GPLWANAFUNZI WAPATIWA MAFUNZO YA USALAMA NA AFYA MAHALA PA KAZI NA BARABARANI
11 years ago
MichuziBARAZA LA WAKALA WA USALAMA NA AFYA MAHALA PAKAZI (OSHA) LA ZINDULIWA MJINI BAGAMOYO
9 years ago
MichuziSSRA YASHIRIKI MAONESHO YA SIKU YA BAHARI MKOANI MTWARA NA KUTOA ELIMU KWA MABAHARIA NA WAVUVI KUHUSU UMUHIMU WA KUJIUNGA NA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII
11 years ago
Dewji Blog01 May
Baraza la wakala wa Usalama na Afya mahala pakazi (OSHA) lazinduliwa
Naibu Waziri wa kazi na ajira Dr. Makongoro Mahanga, akiwa anakaribishwa na Henry Mpande ambaye ni Mwenyekiti wa Hoteli ya Kitalii ya Millennium iliyoko katika ufukwe wa Bahari ya Hindi mjini Bagamoyo Mkoa wa Pwani ambapo mkutano wa baraza la wakala wa usalama na afya katika mahala pakazi OSHA ulipofanyikia.
Naibu Waziri wa kazi na ajira Dr. Makongoro Mahanga, akibadilishana mawazo na Mtendaji Mkuu wa Wakala wa usalama na afya mahala pa kazi OSHA Dr. Akwilina Kayumba baada ya kuzindua...
10 years ago
MichuziWAKANDARASI WAASWA KULINDA AFYA ZA WAFANYAKAZI MAHALA PA KAZI-OSHA
11 years ago
MichuziMSD YASHIRIKI MAONESHO YA KITAIFA YA SIKU YA MALARIA DUNIANI KATIKA HOTELI YA HYATT JIJINI DAR ES SALAAM LEO
11 years ago
GPLNAIBU WAZIRI WA KAZI DK MAKONGORO MAHANGA AFUNGUA KONGAMANO LA AFYA NA USALAMA KATIKA MATUMIZI YA KEMIKALI SEHEMU ZA KAZI NDOGO
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10