Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


VIONGOZI WAKUU EAC KUJADILI MGOGORO WA BURUNDI DAR ES SALAAM

William Samoei Ruto, Rais Jakaya Mrisho Kikwete na wakuu wenzie wa EAC wakisimama kwa wimbo wa Mataifa ya Jumuiya ya Afrika Mashariki Waziri wa Mashauri ya Kigeni na Ushirikiano wa Kimataifa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amesema kuwa, wakuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) wanatarajiwa kukutana hivi karibuni kwa ajili ya kujadili mgogoro wa kisiasa unaoikabili Burundi. Mh. Benard Membe ambaye ni kiongozi wa ujumbe wa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Rais aitisha kikao cha wakuu wa EAC kujadili Burundi

Ikulu-tz

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Mkutano wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, ameitisha mkutano wa wakuu wenzake wa nchi hizo tano wa EAC, Jumatano ijayo, Mei 13, 2015,  kujadili hali ilivyo katika Burundi, kwa kadri nchi hiyo inavyojiandaa kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu Juni 26, mwaka huu.

Rais Kikwete ametangaza habari ya kuitisha mkutano huo wakati alipozungumza na waandishi wa habari katika Makao...

 

10 years ago

BBCSwahili

EAC kushughulikia mgogoro wa Burundi

Ujumbe wa mawaziri wa mambo ya nje wa Afrika Mashariki kushughulikia mgogoro wa Burundi

 

9 years ago

Vijimambo

VIONGOZI WA KIDINI KUTOKA NCHI 17 ZA MASHARIKI NA KUSINI MWA AFRIKA WAKUTANA JIJINI DAR ES SALAAM KUJADILI MIKAKATI YA KUMALIZAMA AMBUKIZI MAPYA YA VVU/UKIMWI

Mshereheshaji wa mkutano huo Prof. Venant Nantulya akiwa katika hatua ya uendeshaji wa mkutano wa Viongozi wa ngazi ya juu wa dini katika kupambana na kuweka mikakati ya kuharakisha kumalizama ambukizi mapya ya VVU/UKIMWI.Picha na Geofrey AdrophMufti mkuu wa Zambia, Sheikh Assadullah Mwale akifungua kwa dua katika mkutano wa viongozi wa dini wa nchi za mashariki na kusini mwa Afrika uliofanyika leo jijini Dar.Bi. Vanessa Anyoti kutoka YWCA Tanzania(kushoto) akizungumza kuhusiana masuala ya...

 

10 years ago

Vijimambo

MAWAZIRI WA EAC WAWASILISHA MAAMUZI YA WAKUU WA NCHI KWA RAIS WA BURUNDI

Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki na Mwenyekiti wa Baraza la Mawaziri la Jumuiya ya Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (Mb), akiwasilisha kwa Rais wa Burundi, Mhe. Pierre Nkurunziza maamuzi ya Mkutano wa Wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki uliofanyika tarehe 31 Mei, 2015 Jijini Dar es Salaam. Mhe. Mwakyembe aliongoza ujumbe wa Mawaziri wa Jumuiya ya Afrika Mashariki katika ziara ya kikazi nchini Burundi tarehe 15 Juni, 2015.Rais Nkurunziza akisalimiana na...

 

10 years ago

Michuzi

JUST IN: MAWAZIRI WA EAC WAWASILISHA MAAMUZI YA WAKUU WA NCHI KWA RAIS WA BURUNDI

  Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki na Mwenyekiti wa Baraza la Mawaziri la Jumuiya ya Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (Mb), akiwasilisha kwa Rais wa Burundi, Mhe. Pierre Nkurunziza maamuzi ya Mkutano wa  Wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki uliofanyika tarehe 31 Mei, 2015 Jijini Dar es Salaam. Mhe. Mwakyembe  aliongoza ujumbe wa Mawaziri wa Jumuiya ya Afrika Mashariki katika ziara ya kikazi nchini Burundi tarehe 15 Juni, 2015.Rais Nkurunziza akisalimiana na...

 

10 years ago

Michuzi

Rais Kikwete aongoza Mkutano wa Pili wa Dharura wa Wakuu wa Nchi wa EAC kuhusu Burundi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete (wa kwanza kulia) kwa pamoja na Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museven (wa pili kulia), Rais wa Afrika Kusini, Mhe Jacob Zuma (wa tatu kutoka kulia), Waziri wa Mambo ya Nje wa Burundi, Mhe. Alain Nyamitwe (wa tatu kushoto) na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Dkt. Richard Sezibera (wa pili kushoto), wakiimba wimbo wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, kabla ya kuanza rasmi kwa...

 

10 years ago

Michuzi

Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi wa EAC kuhusu Burundi kufanyika mwishoni mwa mwezi Mei

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) akizungumza na Waandishi wa Habari (hawapo pichani) tarehe 25 Mei, 2015 kuhusu Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki unaotarajiwa kufanyika Jijini Dar es Salaam tarehe 31 Mei, 2015 kuhusu masuala ya amani na usalama nchini Burundi. Mkutano huo ambao umeitishwa na Mwenyekiti wa Jumuiya ya EAC, Mhe. Rais Jakaya Mrisho Kikwete utatanguliwa na Mkutano wa Baraza la Mawaziri.Mhe. Membe...

 

10 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AWAAPISHA MAKATIBU WAKUU, MABALOZI,WAKUU WA MIKOA NA MAKATIBU TAWALA WAPYA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Mhe Samwel William Shellukindo kuwa Balozi na Msaidi wa Rais Masuala ya Diplomasia leo Ikulu jijini Dar es salaam Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Mhe John Vianney Mongella kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera leo Ikulu jijini Dar es salaam.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani