Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vipeperushi vya kupinga Kamati Kuu CCM vyasambazwa Zanzibar

Kundi la Sauti Salama Z'bar lasambaza vipeperushi Unguja leo kupinga wakongwe kuenguliwa Dodoma

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

KAMATI MAALUM YA HALMASHAURI KUU YA CCM (NEC) ZANZIBAR YAKUTANA LEO

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) mara walipoingia katika ukumbi wa mikutano wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja leo katika kikao cha kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM NEC ya Zanzibar,(kulia) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi(kushoto). Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai alipokuwa akitoa taarifa ya kikao...

 

11 years ago

GPL

KAMATI KUU CCM YAWAPONGEZA WATANZANIA KWA KUADHIMISHA MIAKA 50 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha Kamati Kuu kilichofanyika Zanzibar leo. TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa imekuwa na kikao cha siku moja leo tarehe 13/01/2014 mjini Zanzibar chini ya uongozi wa Mwenyekiti wa Taifa wa CCM Dr. Jakaya Kikwete. Pamoja na mambo mengine Kamati Kuu imeipongeza sana Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Wazanzibari na Watanzania kwa ujumla kwa...

 

5 years ago

Michuzi

RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AONGOZA DUA YA KUMUOMBEA RAIS WA KWANZA WA ZANZIBAR MAREHEMU MZEE ABEID AMANI KARUME ILIOFANYIKA VIWANJA VYA AFISI KUU YA CCM ZANZIBAR

VIONGOZI wa Madhehemu  (kushoto) Askofu wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Zanzibar. Hafidh Michael na Kiongozi wa Madhehebu ya Hindu Zanzibar. Pramuk  Yoges  wakielekea katika eneo la kaburi la Marehemu Mzee Abeid Amani Karume, kwa ajili ya  kumuombea dua iliofanyika leo katika kaburi la marehemu viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui.RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akihudhuria hafla ya dua ya kumuombea Marehemu Mzee Abeid Amani...

 

11 years ago

Dewji Blog

Kamati Kuu CCM yamteua Mangula kuongoza kamati maalum kuandaa ilani ya CCM uchaguzi wa Serikali za Mitaa

2

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na Waandishi wa Habari katika ukumbi wa Sekretarieti, Makao Makuu ya CCM Ofisi Ndogo Lumumba, ambapo aliwaeleza kuwa Kamati Kuu imemteua  Ndugu Philipo Mangula kuongoza Timu ya Kamati Maalum ya CCM itakayoandaa Ilani ya CCM katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa  pia Kamati Kuu imemteua Ndugu Adam Kimbisa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Uhuru Media tarehe 16 Julai 2014.

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

 

9 years ago

Michuzi

DKT SHEIN AONGOZA MKUTANO WA SIKU MOJA KAMATI MAALUM YA HALMASHAURI KUU YA CCM ZANZIBAR(NEC)


 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi wa Chama wakati alipowasili Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja katika Mkutano wa Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) Zanzibar leo Baadhi ya wajumbe wa Mkutano wa siku moja wa Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) Zanzibar wakiwa katika mkutano chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi...

 

10 years ago

Michuzi

Mwenyekiti wa CCM Rais Kikwete aongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Dodoma

 Mwenyekiti wa CCM Taifa ,Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba Mhe Samwel Sitta alioowasili kuongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kwenye ukumbi wa NEC, Makao Makuu ya CCM Dodoma Agosti 19, 2014. Kulia ni Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda, kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, (Utawala Bora), Mhe George Mkuchika akifuatiwa na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt Rehema Nchimbi Mwenyekiti wa CCM Taifa ,Rais Jakaya Mrisho Kikwete...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani