Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KAMATI KUU CCM YAWAPONGEZA WATANZANIA KWA KUADHIMISHA MIAKA 50 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha Kamati Kuu kilichofanyika Zanzibar leo. TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa imekuwa na kikao cha siku moja leo tarehe 13/01/2014 mjini Zanzibar chini ya uongozi wa Mwenyekiti wa Taifa wa CCM Dr. Jakaya Kikwete. Pamoja na mambo mengine Kamati Kuu imeipongeza sana Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Wazanzibari na Watanzania kwa ujumla kwa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

MOblog inaunga na Watanzania wote kuadhimisha miaka 42 ya kifo muasisi wa Mapinduzi ya Zanzibar Sheikh Abeid Amani Karume

1972376_497943327001958_2234576527659900752_n

Watanzania leo wanakumbuka kifo cha aliyekuwa Rais wa Kwanza wa Zanzibar, Abeid Amani Karume aliyeuawa kwa kupigwa risasi siku hiyo mwaka 1972. 

MOblog inakutakia mapumziko mema na tuyaenzi yale yote mema aliyoyafanya Hayati Abeid Amani Karume likiwemo la kudumisha Muungano wetu.

 

10 years ago

Vijimambo

MASHINDANO YA NGALAWA YA KUADHIMISHA MIAKA 51 YA MAPINDUZI ZANZIBAR

Waziri wa Uvuvi na Mifugo Mhe. Abdilah Jihad, akisalimiana na manahodha wa ngalawa zinazoshiriki resi za ngalawa yaliofanyika katika ufukwe wa pwani ya forodhamchanga Zanzibar. Ngalawa zinazoshiriki resi za ngalawa zikiwa katika matayarisho ya kuaza resi hizo.Jumla ya ngalawa 10 zimeshiriki resi hizo zilizofanyika katika ufukwe wa foromchanga. Ngalawa zinazoshiriki resi za ngalawa zikiwa katika matayarisho ya kuaza resi hizo.Jumla ya ngalawa 10 zimeshiriki resi hizo zilizofanyika katika...

 

5 years ago

Michuzi

MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM RAIS MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM JIJINI DODOMA


Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiendesha Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 10 Juni 2020.Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akicheza Wimbo wa Hamasa ya maendeleo pamoja na Wajumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 10 Juni 2020 kabla ya kuanza kwa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mjumbe wa Kamati kuu ya CCM Dkt. Bilal aongoza maadhimisho miaka 38 ya CCM Dar

IMG_0650

Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Wananchi na Wanachama wa CCM Mkoa wa Dar es salaam alipowasili Viwanja vya Tawi la CCM kwa Mwinjuma Kinondoni Dar es salaam jana Februari 02,2015 kwa ajili ya kuhudhuria Maadhimisho ya Miaka 38 ya CCM.

IMG_0683

Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipokea CD yenye mashairi  maalum ya...

 

10 years ago

Vijimambo

MJUMBE WA KAMATI KUU YA CCM NA MAKAMU WA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT. BILAL AONGOZA MAADHIMISHO YA MIAKA 38 YA CCM DAR ES SALAAM

 Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipokea CD yenye mashairi  maalum ya kukipongeza chama cha Mapinduzi CCM kwa kutimiza miaka 38 tangu kuanzishwa kwake kutoka kwa msanii Ahmad Amour Nyangany, kwenye maadhimisho ya miaka 38 ya CCM yajiyofanyika jana kwenye uwanja wa Tawi la CCM Mwinjuma Kinondoni Dar es salaam. Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed...

 

10 years ago

Vijimambo

Hotuba ya Rais, Dk Shein kuadhimisha miaka 51 ya Mapinduzi

Viongozi wa juu wa kitaifa wakiongozwa na Rais Jakaya Kikwete na Rais wa Zanzibar, Dkt. Ali Mohammed Shein, wakishuhudia gwaride likipita mbele ya jukwaa kuu
Mheshimiwa Dk. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania;

Mheshimiwa Dk. Mohamed Gharib Bilal, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania;

Mheshimiwa Mizengo Kayanza Peter Pinda, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania;

Mheshimiwa Maalim Seif Sharif Hamad, Makamu wa Kwanza wa Rais, Zanzibar;

Mheshimiwa Balozi...

 

10 years ago

Mwananchi

Vipeperushi vya kupinga Kamati Kuu CCM vyasambazwa Zanzibar

Kundi la Sauti Salama Z'bar lasambaza vipeperushi Unguja leo kupinga wakongwe kuenguliwa Dodoma

 

9 years ago

Vijimambo

Walioteuliwa na kamati kuu ya ACT kugombea Ubunge kwa Zanzibar MAJIMBO YA TANZANIA ZANZIBAR


1KondeNdugu Masoud Suleiman Bakari2MicheweniNdugu Juma Hamad Juma3TumbeNdugu Hamad Shehe Tahir4WingwiNdugu Mbaruok Ali Khamis5GandoNdugu Suleiman Ali Hassan6KojaniNdugu Ali Makame Issa7MtambweNdugu Salim Sheha Salim8MgogoniNdugu Husna Salim Omar9WeteNdugu Hassan Abdalla Omar10ChakeNdugu Asha Bakari Mohd11ChongaNdugu Ridhiwan Khamis Nasib12OleNdugu Ali Salum Humud13WawiNdugu Jabir Maalim Jabir14ZiwaniNdugu Said Ali Said15ChambaniNdugu Sharif Bakar Othman16KiwaniNdugu Jaffar Juma...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani