Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hotuba ya Rais, Dk Shein kuadhimisha miaka 51 ya Mapinduzi

Viongozi wa juu wa kitaifa wakiongozwa na Rais Jakaya Kikwete na Rais wa Zanzibar, Dkt. Ali Mohammed Shein, wakishuhudia gwaride likipita mbele ya jukwaa kuu
Mheshimiwa Dk. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania;

Mheshimiwa Dk. Mohamed Gharib Bilal, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania;

Mheshimiwa Mizengo Kayanza Peter Pinda, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania;

Mheshimiwa Maalim Seif Sharif Hamad, Makamu wa Kwanza wa Rais, Zanzibar;

Mheshimiwa Balozi...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MASHINDANO YA NGALAWA YA KUADHIMISHA MIAKA 51 YA MAPINDUZI ZANZIBAR

Waziri wa Uvuvi na Mifugo Mhe. Abdilah Jihad, akisalimiana na manahodha wa ngalawa zinazoshiriki resi za ngalawa yaliofanyika katika ufukwe wa pwani ya forodhamchanga Zanzibar. Ngalawa zinazoshiriki resi za ngalawa zikiwa katika matayarisho ya kuaza resi hizo.Jumla ya ngalawa 10 zimeshiriki resi hizo zilizofanyika katika ufukwe wa foromchanga. Ngalawa zinazoshiriki resi za ngalawa zikiwa katika matayarisho ya kuaza resi hizo.Jumla ya ngalawa 10 zimeshiriki resi hizo zilizofanyika katika...

 

11 years ago

GPL

KAMATI KUU CCM YAWAPONGEZA WATANZANIA KWA KUADHIMISHA MIAKA 50 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha Kamati Kuu kilichofanyika Zanzibar leo. TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa imekuwa na kikao cha siku moja leo tarehe 13/01/2014 mjini Zanzibar chini ya uongozi wa Mwenyekiti wa Taifa wa CCM Dr. Jakaya Kikwete. Pamoja na mambo mengine Kamati Kuu imeipongeza sana Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Wazanzibari na Watanzania kwa ujumla kwa...

 

10 years ago

Vijimambo

Taarab Rasmi kuadhimisha miaka minne ya Uongozi wa Dk Shein.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kushoto) akiwa na Viongozi wengine katika Tamasha maalum la taarab ya kusherehekea miaka minne (4) ya ushindi wa CCM katika Ukumbi wa Salama Hall Bwawani jana.[Picha na Ikulu.] Viongozi mbali mbali waliohudhuria katika Tamasha maalum la taarab ya kusherehekea miaka minne (4) ya ushindi wa CCM katika Ukumbi wa Salama Hall Bwawani jana wakifuatilia kwa makini wakati...

 

11 years ago

Michuzi

Rais wa Zanzibar Dk Ali Shein Atembelea Mnara wa Kumbukumbu ya miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar Michezani na Uwanja wa mabembea wa Kariakoo Mjini Unguja

 Uwanja wa mabembea wa Kariakoo Mjini Unguja ukiwa katika hatua za mwisho katika matengenezo,ambapo Rais wa wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, aliahidiwa kumalizika hivi karibuni wakati alipofanya ziara leo ya kuona maendeleo ya ujenzi huo.    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,atembelea maendeleo ya Ujenzi wa Mnara wa Kumbukumbu ya miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar unaojengwa katika viwanja wa Kisonge Michenzani...

 

11 years ago

Dewji Blog

MOblog inaunga na Watanzania wote kuadhimisha miaka 42 ya kifo muasisi wa Mapinduzi ya Zanzibar Sheikh Abeid Amani Karume

1972376_497943327001958_2234576527659900752_n

Watanzania leo wanakumbuka kifo cha aliyekuwa Rais wa Kwanza wa Zanzibar, Abeid Amani Karume aliyeuawa kwa kupigwa risasi siku hiyo mwaka 1972. 

MOblog inakutakia mapumziko mema na tuyaenzi yale yote mema aliyoyafanya Hayati Abeid Amani Karume likiwemo la kudumisha Muungano wetu.

 

9 years ago

Vijimambo

DR. SHEIN AZINDUA MNARA WA MIAKA 50 YA MAPINDUZI MATUKUFU YA ZANZIBAR

Haiba ya Mnara wa Kumbukumbu ya Miaka Hamsini ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar ya Mwaka 1964 inavyoonekana baada ya kumalizika kujengwa hapo katika Majumba ya Maendeleo Michenzani Mjini Zanzibar. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dr. Ali Mohammed Shein akikata utepe kuashirika kuufungua Rasmi Mnara wa Kumbu kumbu ya Miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar ya Mwaka 1964 hapo Michenzani Mjini Zanzibar. Mshauri wa Ujenzi wa Mnara wa wa Kumbu kumbu ya Miaka 50 ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani