Taarab Rasmi kuadhimisha miaka minne ya Uongozi wa Dk Shein.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kushoto) akiwa na Viongozi wengine katika Tamasha maalum la taarab ya kusherehekea miaka minne (4) ya ushindi wa CCM katika Ukumbi wa Salama Hall Bwawani jana.[Picha na Ikulu.]
Viongozi mbali mbali waliohudhuria katika Tamasha maalum la taarab ya kusherehekea miaka minne (4) ya ushindi wa CCM katika Ukumbi wa Salama Hall Bwawani jana wakifuatilia kwa makini wakati...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-djKiCcRyJqM/U4HmQ5lV9TI/AAAAAAAFk6w/fKoAFu23muk/s72-c/unnamed+(24).jpg)
Dkt.Shein Mgeni Rasmi Sherehe za "ZANZIBAR MODEN TAARAB"
![](http://2.bp.blogspot.com/-djKiCcRyJqM/U4HmQ5lV9TI/AAAAAAAFk6w/fKoAFu23muk/s1600/unnamed+(24).jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-Bgnz2EbHDgo/U4HmQ3z0xvI/AAAAAAAFk60/nMN8c4sDp1w/s1600/unnamed+(25).jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-uFaMLR2rPes/VLPfcdW0O7I/AAAAAAAAPDg/VzvItL9UAz0/s72-c/IMG_8764.jpg)
Hotuba ya Rais, Dk Shein kuadhimisha miaka 51 ya Mapinduzi
![](http://1.bp.blogspot.com/-uFaMLR2rPes/VLPfcdW0O7I/AAAAAAAAPDg/VzvItL9UAz0/s640/IMG_8764.jpg)
Mheshimiwa Dk. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania;
Mheshimiwa Dk. Mohamed Gharib Bilal, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania;
Mheshimiwa Mizengo Kayanza Peter Pinda, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania;
Mheshimiwa Maalim Seif Sharif Hamad, Makamu wa Kwanza wa Rais, Zanzibar;
Mheshimiwa Balozi...
11 years ago
MichuziDKT. SHEIN MGENI RASMI KATIKA HAFLA YA CHAKULA CHA MCHANA KWA WAPIGANAJI WALIOFANIKISHA SHEREHE ZA MIAKA 50 YA MAPINDUZI
![](http://4.bp.blogspot.com/-BlnF7IRNDdk/UwjUfV6WhyI/AAAAAAAFOtw/a2LeefdQO6w/s1600/TA1A4980.jpg)
9 years ago
Global Publishers29 Dec
Miaka Minne Ndani ya Mapango ya Amboni – 42
ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA:
Kikosi kingine cha askari kikaingizwa ndani ya pango hilo kuhakikisha kama wale watu tuliosema wameuawa, wameuawa kweli. Askari hao waliambiwa kama watakuta maiti zao watoke nazo.
Baada ya mawasilino kufanyika, gari la hospitali likawasili, Waandishi wa habari na wananchi walikuwa wametuzonga wakituhoji maswali lakini polisi waliwaondoa.
Tukapakiwa kwenye gari la hospitali na kupelekwa Hospitali ya Bombo ya jijini Tanga.
SASA ENDELEA…
Wakati tunafikishwa katika...
10 years ago
BBCSwahili30 Dec
Mtoto wa miaka minne atekwa Mwanza
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/IlN0UevPKmZxeYzDvGD7S57g4KfviwjCdYPq5RzPp31xkXGD3WzZ67aUsfd6mtbTj8GBsStiKRYKMiWzmglJJL9qLoho*mBc/mtoto.jpg?width=650)
NJEMBA YAMBAKA MTOTO WA MIAKA MINNE
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/saEvSFZMI0laKurIySupi1kUel7qyHuEZj*TKbpANImPnBv7virQ2lJwBRnCNs44kAM1EF6PwZ-ZuAYgf80xJGc26RVFKqC1/PANGONI.jpg?width=650)
AISHI KWENYE HANDAKI MIAKA MINNE
9 years ago
Global Publishers22 Dec
Miaka Minne Ndani ya Mapango ya Amboni – 41
ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA:
“Kaikush alikuwa amepata hasira,” Faiza aliniambia.
“Ni ile hasira ya kuniacha mimi.”
“Na pia ameona ninatoroshwa.”
Baada ya kuzipita zile maiti nne hatukutembea mwendo mrefu tukaanza kuona mwanga kwa mbali.“Naona tumeukaribia mlango wa pango!” nikamwambia Faiza kwa matumaini. SASA ENDELEA…
“Utakuwa ni ule kule mbele, kuna mwanga.” Faiza akaniambia.
“Sasa tukazane tufike.”
Ingawa tulikuwa tumechoka, tulipogundua kuwa tulikuwa tumeukaribia mlango wa pango hilo...
9 years ago
Global Publishers05 Jan
Miaka Minne Ndani ya Mapango ya Amboni – 43
ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA:
“Wewe ulimuona kwa macho yako huyo jini?”
“Ndiyo nilimuona”
“Yukoje?”
“Ni kama binadamu lakini anatisha.”
“Unajua ninakuuliza maswali mengi kwa sababu tukio lenu limehusisha vifo vya watu wengi. Kwa hiyo ni lazima tupate maelezo ya kina.”
SASA ENDELEA…
Kachero huyo aliendelea kuniambia.
“Tunataka tupate maelezo yanayoeleweka ili tuweze kuyaweka katika jalada la uchunguzi wa vifo vya watu wale. Na hata kama sisi wapelelezaji tunaulizwa nini kiliwaua watu wale,...