AISHI KWENYE HANDAKI MIAKA MINNE
![](http://api.ning.com:80/files/saEvSFZMI0laKurIySupi1kUel7qyHuEZj*TKbpANImPnBv7virQ2lJwBRnCNs44kAM1EF6PwZ-ZuAYgf80xJGc26RVFKqC1/PANGONI.jpg?width=650)
Stori: Makongoro Oging’ DUNIA haiishi vituko! Chacha Makenge (36) mzaliwa wa Kijiji cha Kisangula, Mtukula, Serengeti mkoani Mara anaishi jijini Dar lakini ndani ya handaki aliloligeuza chumba kwa miaka minne sasa, ni ajabu lakini ni kweli. Akizungumza na mwandishi wetu hivi karibuni nje ya handaki hilo lililopo mita chache kutoka majengo ya biashara ya Mlimani City, Makenge alisema alichukua uamuzi huo baada ya...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi21 Dec
Aishi kwenye handaki kwa miaka minne
11 years ago
GPLSHABIKI WA CHELSEA ALIYEISHI KWENYE HANDAKI MIAKA MINNE JIJINI DAR
11 years ago
Mwananchi02 Jul
Mtoto aishi kwenye zizi la mbuzi miaka 10
11 years ago
Mwananchi22 May
Mtoto afichwa kwenye boksi miaka minne
11 years ago
Dewji Blog01 Jun
MTOTO Nasra aliyekuwa akiishi kwenye box kwa miaka minne afariki Dunia
MTOTO Nasra aliyekuwa akiishi kwenye box kwa miaka minne akidaiwa kuteswa na mama yake mkubwa baada ya mama yake kufariki, huku akikosa uangalizi wa karibu, chakula, tiba na huduma nyingine muhimu AFARIKI DUNIA katika Hospitali ya Taifa MUHIMBILI usiku wa kuamkia leo majira ya saa saba, tatizo ni Nimonia na homa ilipanda sana.
R.I.P NASRA wewe mbele sisi nyuma tutakufuata, Tulikupenda lakini Mungu amekupenda zaidi.
5 years ago
BBCSwahili05 Jun
Trump katika handaki: Tunachojua kuhusu handaki la Whitehouse linalotumika kuwaficha marais wakati wa dharura
11 years ago
CloudsFM02 Jun
MTOTO ALIYEWEKWA KWENYE BOKSI KWA MIAKA MINNE KUZIKWA KWA HESHIMA ZOTE,KUAGWA KATIKA UWANJA WA JAMHURI,MOROGORO
Msiba wa mtoto Nasra Mvungi (4), aliyeteswa kwa kufungiwa katika boksi kwa miaka minne, ambako ndiko alikokuwa akipewa chakula, kwenda haja kubwa na ndogo na kulala, imeibua simanzi jijini Dar es Salaam, Morogoro na katika maeneo mbalimbali nchini.
Jana taarifa za kufariki kwa Nasra aliyekuwa katika Chumba cha Wagonjwa Mahututi katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, zilisambaa katika maeneo mbalimbali nchini na baadaye kuthibitishwa na Msemaji wa hospitali hiyo, Aminiel Aligaeshi.
Mwishoni...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/IlN0UevPKmYFFBmLqwgg0QRTkJshxWi9xchavY66Kn85ro1V8SozCHZspaEcnPJ4FhVX0KL2zN6qT-VyuNQCTR6iOQWV5pit/maajabu.jpg?width=650)
ANAYEISHI KWENYE HANDAKI BALAA JIPYA!