RELP TV: HANDAKI NAMBA 1 NA 2 LAELEKEA UKINGONI KUKAMILIKA, UCHORONGAJI WAHAMIA HANDAKI NAMBA 3 NA 4.
![](https://img.youtube.com/vi/uJuz7o36yfo/default.jpg)
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili05 Jun
Trump katika handaki: Tunachojua kuhusu handaki la Whitehouse linalotumika kuwaficha marais wakati wa dharura
Maandamano na ghasia kufuatia kifo cha George Floyd yaliikaribia Ikulu ya Whitehouse.
9 years ago
Mzalendo Zanzibar25 Oct
‘Wataicheza namba’ au ‘Wataisoma Namba’?
Tukiwa tuko ukingoni kumaliza upigaji kura wa uchaguzi 2015 mengi yametokea na tumejifunza. CCM na nyimbo yao maarufu Wataisoma Namba. Kwangu mimi nikuwa Wataicheza Namba. CCM imekuwa ikijigamba kuwa na mbinu kadhaa za kushinda. Hoja ambayo […]
The post ‘Wataicheza namba’ au ‘Wataisoma Namba’? appeared first on Mzalendo.net.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/saEvSFZMI0laKurIySupi1kUel7qyHuEZj*TKbpANImPnBv7virQ2lJwBRnCNs44kAM1EF6PwZ-ZuAYgf80xJGc26RVFKqC1/PANGONI.jpg?width=650)
AISHI KWENYE HANDAKI MIAKA MINNE
Stori: Makongoro Oging’
DUNIA haiishi vituko! Chacha Makenge (36)Â mzaliwa wa Kijiji cha Kisangula, Mtukula, Serengeti mkoani Mara anaishi jijini Dar lakini ndani ya handaki aliloligeuza chumba kwa miaka minne sasa, ni ajabu lakini ni kweli. Akizungumza na mwandishi wetu hivi karibuni nje ya handaki hilo lililopo mita chache kutoka majengo ya biashara ya Mlimani City, Makenge alisema alichukua uamuzi huo baada ya...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/IlN0UevPKmYFFBmLqwgg0QRTkJshxWi9xchavY66Kn85ro1V8SozCHZspaEcnPJ4FhVX0KL2zN6qT-VyuNQCTR6iOQWV5pit/maajabu.jpg?width=650)
ANAYEISHI KWENYE HANDAKI BALAA JIPYA!
Stori: Makongoro Oging’ na Haruni Sanchawa CHACHA Makenge (38) aliyeripotiwa awali kuishi ndani ya handaki katika eneo la pori la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam sehemu ya Mlimani, amepatwa na balaa jipya baada ya makazi yake kuvamiwa na askari, kukamatwa na mwishowe kupelekwa Muhimbili kitengo cha wagonjwa wa akili kwa ajili ya matibabu. Chacha Makenge (38) akiota moto nje ya handaki lake katika eneo la pori la Chuo Kikuu...
11 years ago
Mwananchi21 Dec
Aishi kwenye handaki kwa miaka minne
>Tunaposikia handaki, fikra zinatupeleka moja kwa moja kwenye vita kwani aghalabu, mahandaki hutumiwa na watu kujificha wakati wa vita.
11 years ago
GPLSHABIKI WA CHELSEA ALIYEISHI KWENYE HANDAKI MIAKA MINNE JIJINI DAR
Chacha Makenge akikaribisha wageni.
Chacha akiongea na wageni wake Saleh Ally (kulia) na Makongoro Oging' (kushoto). • Yanga, Simba zamvutia lakini ashindwa kuchagua aipende ipi
• Asisitiza kama vipi, bora ziwe zinatoka sare kila mechi…
5 years ago
CCM Blog06 Jun
TRUMP AFICHWA KATIKA HANDAKI KUHOFIA MAANDAMANO YA KIFO CHA MMAREKANI MWEUSI GEORGE FLOYD.
![Usalama umeimarishwa katika Ikulu ya Whitehouse katika siku za hivi karibuni](https://ichef.bbci.co.uk/news/660/cpsprodpb/166E1/production/_112737819_433de1ea-9b4c-4d2b-a692-13abafeae66d.jpg)
9 years ago
Mwananchi30 Nov
‘Hazard si namba 10 wa Chelsea’
Jose Mourinho amemwambia Eden Hazard yeye si mchezaji wa kucheza namba 10 katika kikosi cha Chelsea.
10 years ago
Mwananchi11 Aug
Lowassa: Wameisoma namba
Mgombea urais kwa tiketi ya Chadema anayewakilisha vyama vinavyounda Ukawa, Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa amesema maelfu ya wananchi waliojitokeza kumsindikiza wakati akienda Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuchukua fomu ni salamu kwa CCM na ‘wameisoma namba’ kwamba Watanzania wanataka mabadiliko.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania