Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TRUMP AFICHWA KATIKA HANDAKI KUHOFIA MAANDAMANO YA KIFO CHA MMAREKANI MWEUSI GEORGE FLOYD.

Usalama umeimarishwa katika Ikulu ya Whitehouse katika siku za hivi karibuniHaki miliki ya pichaREUTERSImage captionUsalama umeimarishwa katika Ikulu ya Whitehouse katika siku za hivi karibuniMaandamano na ghasia kufuatia kifo cha George Floyd yaliikaribia Ikulu ya Whitehouse.Tangu wiki iliopita, makao makuu ya ofisi hiyo na makaazi ya rais wa Marekani yalikuwa kitovu cha maandamano makubwa zaidi kufanyika nchini humo tangu yale yaliofanyika baada ya mauaji ya Martin Luther King 1968.Kifo cha Floyd baada ya afisa wa polisi kumwekea goti katika shingo yake kwa zaidi...

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Kifo cha George Floyd : Maandamano yatanda huku afisa akikamatwa kwa kifo cha raia mweusi wa Marekani

Afisa akamatwa kwa mauaji ya Mmarekani mweusi aliyekuwa amekamatwa na polisi

 

5 years ago

Michuzi

GEORGE FLOYD; MMAREKANI MWEUSI ALIYEKUSANYA MAMIA YA WATU KUPINGA KIFO CHAKE


Na Leandra Gabriel, Michuzi TV

"SIWEZI KUPUMUA" ni kauli ya mwisho ya George Floyd mmarekani mweusi aliyefariki baada ya kukandamizwa shingo kwa dakika takribani nane hadi kupoteza uhai na afisa wa polisi wa Minneapolis Derek Chauvin akituhumiwa kutoa pesa bandia ya dola ishirini katika duka moja akiwa ananunua sigara.

Floyd (46) alizaliwa Kaskazini mwa Carolina na kuishi Houston na Texas akiwa mdogo na alihamia Minneapolis miaka ya nyuma baada ya kutoka gerezani kwa lengo la kutafuta kazi...

 

5 years ago

BBCSwahili

George Floyd: Sababu 4 zilizofanya kifo cha M'marekani mweusi kusababisha maandamano makubwa Marekani

Wakati Donald Trump alipotoa onyo lake , pengine hakufikiria kwamba atalazimika kuishi na hali ngumu kama inayoendeelea nchini Marekani.

 

5 years ago

BBCSwahili

Maandamano London: Tulimsaidia mtu mmoja kutouwawa katika maandano ya Kifo cha George Floyd

Patrick Hutchinson amepongezwa sana baada ya picha yake akimsaidia mtu aliyejaruhiwa kusambaa, wakati wa makabiliano kati ya wafuasi wa Black Lives Matter dhidi ya wale wanaounga

 

5 years ago

BBCSwahili

George Floyd: Trump ashutumiwa kugawanya Wamarekani huku maafisa wanaouhishwa na kifo cha Floyd wakishtakiwa tena

Aliyekuwa Waziri wa Ulinzi wa Marekani James Mattis amemshutumu Rais Donald Trump, kwa kuleta mgawanyiko na kutumia vibaya mamlaka yake.

 

5 years ago

CCM Blog

UCHUNGUZI BINAFSI WABAINI MMAREKANI MWEUSI GEORGE FLOYD ALIKUFA KWA KUKOSA HEWA

Kaka wa Floyd: 'Hiyo haitamrejesha 'Image captionKaka wa Floyd: 'Hiyo haitamrejesha 'George Floyd, raia mweusi wa Marekani ambaye kifo chake kimesababisha maandamano makubwa Marekani, alikufa kutokana na ukosefu wa hewa safi ya (oksijeni), kwa mujibu wa uchunguzi binafsi wa maiti yake.Alifariki kwa kukandamizwa kwa goti shingoni na mgongoni na maafisa wa polisi wa Minneapolis, uchunguzi wa kimatibabu uliosimamiwa na familia ya Floyd umebaini hilo.Matokeo hayo yanatofautiana na matokeo ya uchunguzi wa mwili wake uliofanywa na...

 

5 years ago

BBCSwahili

Maandamano ya amani dhidi ya kifo cha George Floyd

Mwangalie wa pembeni yako umwambie unampenda, matumaini mapya na mabadiliko ndio yanahitajika sasa.

 

5 years ago

BBCSwahili

George Floyd: Maafisa wanne weupe wafutwa kazi kufuatia kifo cha mtu mweusi ambaye hakujihami

FBI inawachunguza polisi wa Minneapolis paada ya video inayomuonesha mtualiyeshikwa akisema "Siwezi kupumua".

 

5 years ago

CCM Blog

KIFO CHA MWAFRIKA GEORGE FLOYD: MAANDAMANO YATANDA KOTE MAREKANI KUDAI HAKI

Mwendesha mashtaka akizungumzia makosa ya mauaji na kuua bila kukusudia.Waandamanaji wakusanyika nje ya Ikulu pamoja na maeneo mengine juu ya kifo cha raia mweusi George Floyd.Waandamanaji wanakabiliana na polisi katika miji mbalimbali nchini Marekani juu ya mauaji ya raia mweusi wa Marekani ambaye hakuwa na silaha aliyekufa mikononi mwa polisi huko Minneapolis.Gavana wa Minnesota amesema kwamba kifo cha George Floyd aliyekuwa kizuizini kimeonesha mauaji ya kiholela.New York, Atlanta na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani