Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


GEORGE FLOYD; MMAREKANI MWEUSI ALIYEKUSANYA MAMIA YA WATU KUPINGA KIFO CHAKE


Na Leandra Gabriel, Michuzi TV

"SIWEZI KUPUMUA" ni kauli ya mwisho ya George Floyd mmarekani mweusi aliyefariki baada ya kukandamizwa shingo kwa dakika takribani nane hadi kupoteza uhai na afisa wa polisi wa Minneapolis Derek Chauvin akituhumiwa kutoa pesa bandia ya dola ishirini katika duka moja akiwa ananunua sigara.

Floyd (46) alizaliwa Kaskazini mwa Carolina na kuishi Houston na Texas akiwa mdogo na alihamia Minneapolis miaka ya nyuma baada ya kutoka gerezani kwa lengo la kutafuta kazi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

TRUMP AFICHWA KATIKA HANDAKI KUHOFIA MAANDAMANO YA KIFO CHA MMAREKANI MWEUSI GEORGE FLOYD.

Usalama umeimarishwa katika Ikulu ya Whitehouse katika siku za hivi karibuniHaki miliki ya pichaREUTERSImage captionUsalama umeimarishwa katika Ikulu ya Whitehouse katika siku za hivi karibuniMaandamano na ghasia kufuatia kifo cha George Floyd yaliikaribia Ikulu ya Whitehouse.Tangu wiki iliopita, makao makuu ya ofisi hiyo na makaazi ya rais wa Marekani yalikuwa kitovu cha maandamano makubwa zaidi kufanyika nchini humo tangu yale yaliofanyika baada ya mauaji ya Martin Luther King 1968.Kifo cha Floyd baada ya afisa wa polisi kumwekea goti katika shingo yake kwa zaidi...

 

5 years ago

CCM Blog

UCHUNGUZI BINAFSI WABAINI MMAREKANI MWEUSI GEORGE FLOYD ALIKUFA KWA KUKOSA HEWA

Kaka wa Floyd: 'Hiyo haitamrejesha 'Image captionKaka wa Floyd: 'Hiyo haitamrejesha 'George Floyd, raia mweusi wa Marekani ambaye kifo chake kimesababisha maandamano makubwa Marekani, alikufa kutokana na ukosefu wa hewa safi ya (oksijeni), kwa mujibu wa uchunguzi binafsi wa maiti yake.Alifariki kwa kukandamizwa kwa goti shingoni na mgongoni na maafisa wa polisi wa Minneapolis, uchunguzi wa kimatibabu uliosimamiwa na familia ya Floyd umebaini hilo.Matokeo hayo yanatofautiana na matokeo ya uchunguzi wa mwili wake uliofanywa na...

 

5 years ago

BBCSwahili

Kifo cha George Floyd : Maandamano yatanda huku afisa akikamatwa kwa kifo cha raia mweusi wa Marekani

Afisa akamatwa kwa mauaji ya Mmarekani mweusi aliyekuwa amekamatwa na polisi

 

5 years ago

BBCSwahili

George Floyd: Je ni kipi kilichotokea dakika 30 za mwisho kabla ya kifo chake?

Msururu wa matukio kabla ya kifo cha George Floyd Mmarekani mweusi wa alieuawa na maafisa wa polisi umefichuliwa na mamlaka

 

5 years ago

BBCSwahili

George Floyd: Maafisa wanne weupe wafutwa kazi kufuatia kifo cha mtu mweusi ambaye hakujihami

FBI inawachunguza polisi wa Minneapolis paada ya video inayomuonesha mtualiyeshikwa akisema "Siwezi kupumua".

 

5 years ago

BBCSwahili

George Floyd: Sababu 4 zilizofanya kifo cha M'marekani mweusi kusababisha maandamano makubwa Marekani

Wakati Donald Trump alipotoa onyo lake , pengine hakufikiria kwamba atalazimika kuishi na hali ngumu kama inayoendeelea nchini Marekani.

 

5 years ago

BBCSwahili

George Floyd: Wachezaji mbalimbali duniani walivyozungumzia kifo cha Floyd

Wachezaji wa Liverpool walipiga goti katikati ya uwanja wa Anfield kufikisha ujumbe wa kupinga mauaji ya raia wa Marekani mwenye asili ya Afrika George Floyd mjini Minneapolis.

 

5 years ago

BBCSwahili

Kifo cha George Floyd: "Babangu amebadilisha dunia", ujumbe wa hisia uliotumwa na Gianna Floyd

Gianna ni mwana wa kike wa George Floyd , mwanamume ambaye alifariki wakati alipokamatwa na maafisa wa polisi wa Minneapolis wakati afisa mmoja alipowekelea goti lake katika shiko yake kwa daikia nane.

 

5 years ago

BBCSwahili

George Floyd: Trump ashutumiwa kugawanya Wamarekani huku maafisa wanaouhishwa na kifo cha Floyd wakishtakiwa tena

Aliyekuwa Waziri wa Ulinzi wa Marekani James Mattis amemshutumu Rais Donald Trump, kwa kuleta mgawanyiko na kutumia vibaya mamlaka yake.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani