VIPINDI VYA MAMA MISITU UPANDE WA RUNINGA VYAZINDULIWA LEO JIJINI DAR
Mgeni rasmi Kaimu Mkurugenzi wa Misitu na Nyuki kutoka Wizara ya Maliasili na Utalii, Gladness Mkamba akizungumza na wadau wa maliasili pamoja na waandishi wa habari ,ambapo alisisitiza kulinda misitu kwani uvunaji umekuwa mkubwa nahivyo kupelekea ukame katika nchi yetu pia alisisitiza kutoa elimu kwa jamii inayozungukwa na misitu hiyo katika uzinduzi wa kampeni ya mfululizo wa vipindi vipya vya runinga pamoja na uzalishaji endelevu wa mkaa vitarushwa hewani kupitia televisheni mbalimbali...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziVIPINDI VYA MAMA MISITU KUHUSU UZALISHAJI WA MKAA ENDELEVU KUFANYIKA KATIKA HOTELI YA NEW AFRIKAJIJINI DAR
9 years ago
CCM Blog01 Nov
VIDEO MBALIMBALI, WAKATI WA HAFLA YA DK. MAGUFULI NA MAMA SAMIA KUKABIDHIWA VYETI YAO VYA USHINDI LEO JIJINI DAR ES SALAAM
2. MKurugenzi wa NEC Ramadhan Kailima akitoa tathmini ya mchakato wa uchaguzi mkuu mwaka 2015;
BOFYA HAPA
3. Mwenyekiti wa NEC Jaji Mstaafu, Damian Lubuva akitoa taarifa za matokeo ya uchaguzi 2015 katika hafla ya kutangazwa mshindi wa urais 2015;
BOFYA...
5 years ago
MichuziVIWANDA VIWILI VYA MFANO VYA UCHENJUAJI DHAHABU VYAZINDULIWA NCHINI
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-kmZN0XGE77s/Xk4QSf447TI/AAAAAAALeZ8/X2irazU43XApi9PlfK9Xa3uhSOdSoH3PACLcBGAsYHQ/s72-c/index.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-GXkZuHVrHfo/U-oRNVhfu9I/AAAAAAAF-6g/UpkqD7iuicU/s72-c/1.jpg)
MAMA ASHA BILAL AZINDUA OMO FASTACTION JIJINI DAR LEO
![](http://4.bp.blogspot.com/-GXkZuHVrHfo/U-oRNVhfu9I/AAAAAAAF-6g/UpkqD7iuicU/s1600/1.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-FDbKY0vWS78/U-oRPQxXYcI/AAAAAAAF-6w/IuXkIcVd9E8/s1600/13.jpg)
Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Unilever kwa Afrika Mashariki,Marc Engel akitoa hotuba yake wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Sabuni ya kufulia ya OMO FastAction uliofanyika rasmi leo kwenye hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam.
![](http://4.bp.blogspot.com/-hoGjUzzJXrI/U-oRUxjbbaI/AAAAAAAF-74/KrQLXdS_dww/s1600/20.jpg)
Meneja ...
10 years ago
MichuziMCHUJO WA SHINDANO LA MAMA SHUJAA WA CHAKULA 2015 WAANZA LEO JIJINI DAR
11 years ago
Dewji Blog12 Aug
Mama Asha Bilal azindua “Omo Fast Action” jijini Dar leo
Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal akitoa hotuba yake wakati alipokuwa Mgeni Rasmi kwenye hafla ya Uzinduzi wa Sabuni ya kufulia ya OMO FastAction uliofanyika rasmi leo kwenye hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam.
Kampuni ya Unilever Tanzania Limited, leo hii imezindua rasmi toleo jipya la sabuni yake ya kufulia ya Omo ambayo inaondoa madoa sugu haraka zaidi na kuacha nguo zikinukia vizuri. Sabuni hiyo mpya ya ‘Omo Fast Action’ imezinduliwa katika...
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-DlU6aM_YHaM/U7bzO7dPPvI/AAAAAAAFvC4/RoqrVWXXG48/s72-c/unnamed+(1).jpg)
Mama Salma Kikwete atembelea maonesho ya sabasaba jijini Dar es salaam leo
![](http://4.bp.blogspot.com/-DlU6aM_YHaM/U7bzO7dPPvI/AAAAAAAFvC4/RoqrVWXXG48/s1600/unnamed+(1).jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-eHzggcnNmSs/U7bzQNc8okI/AAAAAAAFvDE/wVi99O46m4g/s1600/unnamed+(2).jpg)
11 years ago
Michuzi26 May
WAKALA WA HUDUMA ZA MISITU TANZANIA (TFS) YANYA ZIARA NA WAANDISHI WA VYOMBO VYA HABARI KUJIONEA UTUNZAJI WA MISITU YA CHOME, SHENGENA-KILIMANJARO