Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


VIPINDI VYA MAMA MISITU KUHUSU UZALISHAJI WA MKAA ENDELEVU KUFANYIKA KATIKA HOTELI YA NEW AFRIKAJIJINI DAR

 Mkurugenzi wa Taasisi ya Natural Resource Forum (TNRF), Joseph Olila, akizungumza na wanahabari wakati akitoa taarifa chokozi katika uzinduzi wa mfululizo wa vipindi vipya vya runinga kuhusu uzalishaji endelevu wa mkaa vitarushwa hewani kupitia televisheni mbalimbali nchini uliofanyika Hoteli ya New Africa Dar es Salaam leo asubuhi.Mshauri wa Ufundi Weizara ya Maliasili na Utalii, Thomas Sellaine (kulia), akizungumza katika uzinduzi huo. Balozi wa Mama Misitu, Asha Salimu (kushoto),...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

VIPINDI VYA MAMA MISITU UPANDE WA RUNINGA VYAZINDULIWA LEO JIJINI DAR

 Mgeni rasmi Kaimu Mkurugenzi wa Misitu na Nyuki kutoka Wizara ya Maliasili na Utalii, Gladness Mkamba akizungumza na wadau wa maliasili pamoja na waandishi wa habari ,ambapo alisisitiza kulinda misitu kwani uvunaji umekuwa mkubwa nahivyo kupelekea ukame katika nchi yetu pia alisisitiza kutoa elimu kwa jamii inayozungukwa na misitu hiyo katika uzinduzi wa kampeni ya mfululizo wa vipindi vipya vya runinga pamoja na uzalishaji endelevu wa mkaa vitarushwa hewani kupitia televisheni mbalimbali...

 

9 years ago

Michuzi

MKUTANO WA NNE WA BARA LA AFRIKA KUJADILI MIPANGO ENDELEVU NA MAFUNZO KUANZA KUFANYIKA KESHO HOTELI YA GIRRAFE JIJINI DAR ES SALAAM

Na Dotto MwaibaleMKUTANO wa Nne wa Bara la Afrika wa kujadili mipango endelevu  katika eno la mafunzo kwa vijana na wataalamu  wasiojiweza na ushirikji wao katika soko la ajira, unatarajiwa kuanza kufanyika kesho Hoteli ya Girrafe jijini Dar es Salaam.
Mkutano huo ambao utashirikisha nchi mbalimbali tisa unatarajiwa kuhudhuriwa na wageni 50 kutoka katika nchi hizo za Afrika.
Akizungumza na waaandishi wa habari kuhusu Dar es Salaam jana kuhusu mkutano huo, Meneja Mipango wa Ofisi ya Maendeleo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mkaa wateketeza misitu 150,000

TANZANIA inapoteza misitu 150,000 kwa mwezi kutokana na matumizi mbalimbali ikiwemo mkaa kwa ajili ya matumizi ya nyumbani. Akizungumza na Tanzania Daima Jumapili jana jijini Dar es Salaam, Ofisa Uenezi...

 

9 years ago

Mwananchi

Mkaa endelevu kuokoa mazingira

Dar es Salaam. Serikali ya Finland kwa kushirikiana na Wizara ya Maliasili na Utalii, wameanzisha mradi wa mkaa endelevu utakaozalishwa kwa njia za kisasa wenye lengo la kupunguza uharibifu wa mazingira na kuongeza ajira.

 

10 years ago

StarTV

Serikali yaruhusu mradi wa mkaa endelevu.

Na Jackson Monela,

Morogoro.

 

Serikali imeruhusu kuendelea kutekelezwa kwa mradi wa mkaa endelevu wilayani Kilosa mkoani Morogoro licha ya baadhi ya wadau wa mazingira kupinga kwa madai kuwa umeleta athari ya kupoteza misitu mingi.

 

Awali mradi huo ulisitishwa kwa muda mara baada ya kuona ukichangia uharibifu wa mazingira kutokana na kukithiri kwa ukataji miti hatua ambayo iliilazimu Serikali kutaka mradi huo usitishwe kwa muda ili kupisha uchunguzi maalum.

 

Kwa muda mrefu nishati ya mkaa...

 

10 years ago

Mwananchi

Mkaa endelevu mkombozi wa wananchi Kilosa

Tafiti zinaonyesha kuwa asilimia 90 ya Watanzania wanategemea mkaa katika matumizi mbalimbali.

 

9 years ago

Vijimambo

MKUTANO WA NNE WA BARA LA AFRIKA KUJADILI MIPANGO ENDELEVU NA MAFUNZO KWA VIJANA WAFANYIKA HOTELI YA GIRRAFE JIJINI DAR ES SALAAM

Mkurugenzi wa Maendeleo wa Don Bosco toka Ubeligiji, Filip Lammens (kushoto), akizungumza na waandishi wa habari katika Mkutano wa kujadili Uwezeshaji kwa vijana ulioandaliwa na Don Bosco Kanda ya Afrika Dar es Salaam leo asubuhi.Mkurugenzi wa Fedha na Uchumi wa Don Bosco, Afrika Mashariki, Padri Eric Mairura (kushoto), akizungumza na wanahabari kuhusu mkutano huo.
Mkurugenzi wa Ofisi ya Mipango na Maendeleo Afrika Magharibi wa Don Bosco, Tsedi Yao Ati akizungumza na wanahabari.
Mkurugenzi wa...

 

10 years ago

Michuzi

Mkutano wa Trévo kufanyika hoteli ya Serena jijini Dar Februari 27, 2015

Karibu kwenye mkutano wa Trevo utakaifanyika Dar es salaam tarehe 27 Feb kuanzia SAA kumi jioni.kiingilio ni bure.Karibu kusikiliza fursa ya biashara toka kwa Mark Stevens ,mwanzilishi wa Trévo . Kutakuwa na mkutano pia mkiani Arusha tarehe 28 Feb

 

9 years ago

Michuzi

UHIFADHI WA MISITU NA UZALISHAJI WA MAZAO

Kuimarika kwa uhifadhi wa misitu katika misitu ya tao la Mashariki iliyoko kwenye milima ya Usambara kumesaidia kuboresha shughuli za kijamii kwa wananchi wanaoishi kwenye vijiji kuzunguka misitu hiyo katika wilaya ya Muheza na Korogwe mkoani Tanga, mashamba haya ya mpunga ni katika kijiji cha Mkwakwani kata ya Mnyuzi wilaya ya Korogwe yamestawi vizuri kutokana na juhudi hizo za uhifadhi wa misitu, zinazofanywa na wadau mbalimbali wa uhifadhi ikiwemo wakala wa huduma za misitu nchini TFS na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani