Virusi vya corona: Wagonjwa 14 wapya wathibitishwa Tanzania
Wizara ya afya nchini Tanzania imetangaza kuwepo kwa wagonjwa 14 wapya wa corona nchini humo.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili14 Apr
Virusi vya Corona: Wagonjwa wapya wanane wathibitishwa Kenya, Tanzania wanne
Shule na taasisi za elimu kuendelea kufungwa Tanzania mpaka itakapotolewa taarifa mpya.
5 years ago
BBCSwahili30 Apr
Virusi vya Corona: Wagonjwa 12 wapya wathibitishwa Kenya
watu walioambukizwa nchini kenya wamefikia 396
5 years ago
BBCSwahili21 Apr
Virusi vya Corona: Wagonjwa wapya 15 wathibitishwa Kenya
Wagonjwa 11 ni raia wa Kenya na wanne ni raia wa kigeni ambao walikuwa miongoni mwa watu 545 waliofanyiwa vipimo katika kipindi cha saa 24 zilizopita.
5 years ago
BBCSwahili16 Apr
Virusi vya Corona: Wagonjwa 9 wapya wathibitishwa Kenya
Rais Kenyatta amethibitisha kwamba uwezo wa kupima virusi hivyo unaendelea kuimarika na kwamba upimaji wa watu wengi kwa wakati mmoja utaanza katika maeneo yaliyolengwa kwanza kabla ya kupelekwa hadi maeneo mengine.
5 years ago
BBCSwahili19 Apr
Virusi vya corona: Wagonjwa 23 wa corona wathibitishwa Zanzibar, wawili wafariki
Serikali ya Zanzibar imethibitisha kuwepo kwa wagonjwa wapya 23 wa virusi vya corona na vifo vya watu wawili.
5 years ago
BBCSwahili15 Apr
Virusi vya Corona: Tanzania yathibitisha wagonjwa 29 wapya
Wagonjwa wapya 29 wathibitishwa kuwa na virusi vya corona Tanzania
5 years ago
BBCSwahili29 Apr
Virusi vya corona: Tanzania imethibitisha wagonjwa wapya 196
Idadi ya wagonjwa wa virusi vya Corona nchini Tanzania imefikia 480
5 years ago
BBCSwahili28 Apr
Virusi vya corona: Tanzania yatangaza wagonjwa 7 wapya kisiwani Zanzibar
Wizara ya Afya kisiwani Zanzibar imetangaza wagonjwa saba wapya wa virusi vya corona .
5 years ago
BBCSwahili15 Apr
Virusi vya Corona: Wakenya watishia kutoroka karantini, wagonjwa 9 zaidi wathibitishwa
Makumi ya watu waliokuwa katika karantini ya lazima nchini Kenya wamefanya mgomo na kutishia kutoroka katika kituo hicho katika mji mkuu wa Nairobi.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania